Walio pona madhara ya punyeto

Walio pona madhara ya punyeto

inama

Senior Member
Joined
Oct 9, 2021
Posts
181
Reaction score
357
Habarini wana JF naomba msaada kwa waliofanikiwa kupona madhara yanayosababishwa na upigaji wa punyeto kwa mdaa mrefuu mbinu walizo tumia matibabu na dawa walizotumia mpaka kurudisha uwezo wao wa kawaida wa kufanya mapenzi , kwa sasa nimesha achaa nanimeoa ila uwezo wakushiriki tendo ndiochangamoto naombeni msaada
Nina patikana moshi Kilimanjaro
 
Ukishaacha punyeto serious kabisa! Utapona taratibu na uwezo wako utarudi automatically. Huenda hujaacha serious una kautaratibu ka kushtua mara mojamoja... hiyo itakumaliza 😊

Achana na punyeto! Panga ratiba mpya ya mwenendo wa shughuli na maisha yako upya!...na uifuate, Fanya mazoezi! Kula matunda sana na zingatia lishe bora! Get busy! You'll be a new-man kama ulivozaliwa.
 
Hivi ni kweli nyeto inamadhara kiasi hicho?!.. sitanii niko seriuos. Mimi nyeto nimeanza kupiga kabla sijaanza hata kuproduce shahawa. Nilikuwa nikikitupa hakitoki kitu. Mpaka siku ya kwanza nimepiga nyeto, wazungu wakatoka naikumbuka. My point is nimeanza kupiga nyeto nikiwa mdogo sana, hadi sasa. Ila sijawahi kukutana na changamoto kwenye tendo kabisa.

Am in my early 30s, married with one kid.
 
Punyeto haina madhara kama ukiifanya ipasavyo
 
Habarini wana JF naomba msaada kwa waliofanikiwa kupona madhara yanayosababishwa na upigaji wa punyeto kwa mdaa mrefuu mbinu walizo tumia matibabu na dawa walizotumia mpaka kurudisha uwezo wao wa kawaida wa kufanya mapenzi , kwa sasa nimesha achaa nanimeoa ila uwezo wakushiriki tendo ndiochangamoto naombeni msaada
Nina patikana moshi Kilimanjaro
Kwanza Kabisa ,Acha kuangalia picha za ngono kama unaangalia, then acha kuangalia picha zozote zinazoweza kupelekea kupata hamasa ya tendo ,
Then inatakiwa upate vyakula asilia visivyo na mafuta sana , kunywa maji mengi kila siku , then tumia Tiba lishe zilizo na Madini ya Zinc na protein zakutosha , Anza kufanya zoezi moja la tumia mkono kuubana mkojo ukiwa unakojoa unaubana unaachia , unaubana , unaachia hadi uweze kuubana bila kutumia mkono hapo misuri itakuwa imeanza kuwa vizuri do it consistent
 
Habarini wana JF naomba msaada kwa waliofanikiwa kupona madhara yanayosababishwa na upigaji wa punyeto kwa mdaa mrefuu mbinu walizo tumia matibabu na dawa walizotumia mpaka kurudisha uwezo wao wa kawaida wa kufanya mapenzi , kwa sasa nimesha achaa nanimeoa ila uwezo wakushiriki tendo ndiochangamoto naombeni msaada
Nina patikana moshi Kilimanjaro
Moshi huko ma vitimoto ndiyo sababu
 
Back
Top Bottom