Chiropractic ni nini?

Spinal Health

Member
Sep 19, 2023
12
6
Ni sayansi ambayo ina tibu uti wa mgongo kwaku-focus kwenye ufanyaji sahihi wa kazi wa uti wa mgongo wenywe, nyonga, mpangilio wa pingili za uti wa mgongo (Alignment) na athari zake kwenye mishipa ya fahamu.

Tiba hii ya chiropractic, daktari hu-focus kwenye kurudisha mpangilio wa pingili za uti wa mgongo kwenye sehemu ambayo kuna mpishano (Misalignment), na kwakufanya hivo mwili hurudishwa katika hali ya awali na hujitibu wenyewe (Restoration of body to heal itself) Matokeo yake huwa ni kukoma kwa maumivu makali ya mgongo, nyonga, kiuni, mabega, miguu na sehemu nyingine za mwili na nk.

Wakati tiba nyingine za mgongo zina focus kwenye misuli ( Muscles) Tiba ya Chiropractic ina focus na mifupa (Bones) ya uti wa mgongo (Discs) moja kwa moja.

Nakaribisha maulizo na michango wenu.
 
Back
Top Bottom