Jamii Health (Jukwaa la Afya)

We care about your health! Uliza swali lolote la kiafya na wanachama wetu watakusaidia haraka iwezekanavyo. Kumbuka: Mficha maradhi, kifo humuumbua!

On JF:

Hello wadau, Naombeni kufaham kiwango cha hormone ya testosterone kikiwa juu Sana kwa mwanamke Kuna faida zipi Na hasara zipi
3 Reactions
4 Replies
517 Views
Happy new year beautiful people. Dear nutritionists mlioko JF naomba mnishauri diet itakayonisaidia kurudisha kilo zangu zilizopotea. Nimekonda hadi nahisi watu wanahisi nina umeme(God forbid)...
22 Reactions
260 Replies
16K Views
Miaka 2 iliyopita nimekua nikiishi kwa kutumia bisacodl Nimeteseka sana. Mwaka huu nilisafr kwenda nyumban kwa wazazi nilikaa huko miezi 3 nilipokua NYUMBANI choo nilikua napata vzuri kabisa 💯%...
4 Reactions
10 Replies
852 Views
Wanabodi habari za mchana. Nimepata tatizo la kupata ganzi katika miguu wakati wa kukaa especially wakati wa kujisaidia katika choo cha kukaa!nikiinuka nakua napata ganzi sana! Naomba msaada...
0 Reactions
1 Replies
525 Views
CHANZO CHA PICHA,ISTOCK/BBC THREE Inawezekana ukafikiria kuwa ni jambo la ajabu kunywa mkojo wako kama 'kipimo cha kuishi' katika dharura kama hiyo lakini watu wengi katika maeneo mbali mbali...
1 Reactions
9 Replies
2K Views
Natafakari sana mchakato wa maji ya chupa pamoja na ubora wake kwenye mwili baada ya kughoshiwa, sina hakika kama yana tija kwenye afya ya mwili na naona wanywaji wakiongezeka sana wataalamu...
0 Reactions
29 Replies
12K Views
Habari za leo wakuu, Nasikia watu mtaani wakisema matumizi ya njia za uzazi wa mpango kama kuweka vijiti huchangia wanawake kuwa na matumbo makubwa, Je, wataalamu, Kuna ukweli wowote...
0 Reactions
12 Replies
2K Views
Kuna MTU ana shida ya ngozi anatokewa na kipele kidogo kwenye ngozi baada ya Muda kidogo kinabadilika kinakuwa kikubwa kiasi chenye majimaji NDANI yake, akikitumbua kinapona baada ya Muda mfupi...
0 Reactions
0 Replies
414 Views
Kando na pipi za pamba, unajua ni bidhaa gani nyingine zinazoweza kusababisha saratani? Maelezo ya picha, Uuzaji wa pipi za pamba umepigwa marufuku katika jimbo moja huko India Uchunguzi...
0 Reactions
1 Replies
706 Views
Mambo 5 ya kujua kuhusu nimonia Pneumonia ni maambukizi kwenye mapafu. Mara nyingi husababishwa na bakteria au virusi. Ni ugonjwa unaoathiri mfumo wa kupumua. Watoto lakini pia watu wazima...
1 Reactions
0 Replies
2K Views
Habari zenu wana jamvi wa urembo na mitindo na kadharika. Poleni kwa majukumu ya hapa na pale. Ningependa kuwauliza kwa wenyeji wa Makambako huku Njombe, Protein Powder au Whey Protein ntaipata...
1 Reactions
4 Replies
786 Views
A lancet study has revealed that obesity is now greater risk to grobal health than hunger. According to the telegraph, the number of clinically obese people has passed one billion for first...
0 Reactions
1 Replies
622 Views
Unakuta mtumishi wa umma anadai madai mengi sana,kama posho za masaa ya kazi,pesa za kujikimu,posho za uhamisho,pesa za likizo,pesa za safari n.k Ila kila siku ni danadana mara pesa hakuna mara...
1 Reactions
6 Replies
530 Views
Habari wana jamvi, naomba kueleweshwa namna bora ya kusoma kipimo Cha HIV (rapid test). Nimenunua kipimo, nikasafisha kidole Kisha nikatoboa na kupima damu, kwenye kifaa hicho, ndani ya dk 10-20...
1 Reactions
10 Replies
7K Views
Habari waungwana,binamu yangu alifanyiwa operation,akawekewe mpira wa mkojo(Catheter)toka wamtoe mpira ule anamaumivu makali kama ya mtu mwenye U.T.I inakaribia siku ya tatu sasa. Naomba kujua...
0 Reactions
7 Replies
8K Views
Nimejitahidi sana kujikinga dhidi ya huu ugonjwa lakini naona imeshindikana na kwasasa nimenasa. Tangu jana usiku nilipo anza kuhisi dalili za ugonjwa huu na hapa ninapo andika tayari jicho moja...
0 Reactions
3 Replies
420 Views
Habari wakuu, Niko hospital kumleta mjamzito kaskia Hali ya uchungu...watu wakuzalisha wamemchek wanasema njia ya uzazi ndo inaanza kufunguka, nauliza inachukua mda gani njia ya uzazi kufunguka...
8 Reactions
33 Replies
3K Views
Nina tatizo la kuota chunusi usoni, nimeshauriwa na mtu nitumie unga wa dengu. Hii itasaidia kumaliza tatizo?
0 Reactions
22 Replies
29K Views
Habari, Ndugu zangu nina mtoto wa kiume wa miezi 3 ananyonya sana mpaka mama yake anachoka na hashibi, ukimtoa analia. Na clinic wameshaur mtoto anyonye tu maziwa ya mama hadi afikishe miezi 6...
8 Reactions
77 Replies
6K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…