Nyanda lunduma
Senior Member
- Apr 10, 2015
- 187
- 68
Habari za asubuhi wanaJF,
Nimekaa ktk mahusiano na mwanamke fulani mpaka sasa tuna miezi mitatu ila tangu tuanze mahusiano yetu tulikuwa tunatumia kondomu kusex.
Siku moja mwenzangu tukiwa tunasex alinivua kondomu na akasema tufanye bila kondomu. Nilikataa nikamwambia mpaka tupime. Baada ya kupima tarehe 23/5/2017 nilisex naye ila 29/5/2017 akaenda kupima mimba kipimo kilionyesha mimba ipo.
Ni sahihi kabisa ndani ya siku sita mimba inaweza kuonyesha vipimo vyake sahihi au amesex na mtu mwingine nyuma?
Ushauri kwenu wanaJF.