Jamii Health (Jukwaa la Afya)

We care about your health! Uliza swali lolote la kiafya na wanachama wetu watakusaidia haraka iwezekanavyo. Kumbuka: Mficha maradhi, kifo humuumbua!

On JF:

Jamani wakuu mi nna tatizo kubwa la fungus, ni la siku nyingi sana, nakumbuka nimeli note kwa mara ya kwanza wakati niko darasa la tano, back in 1998. Nimekuwa wakati fulani zikizidi nikienda...
0 Reactions
6 Replies
5K Views
Hivi kuna madhara yoyote ya chumvi mwilini? Wengine tunapenda kuongeza chumvi kila tunapokula, ila hatujui madhara yake!
0 Reactions
4 Replies
4K Views
Now that you've planned and made up your mind to get pregnant, you wish it happens as soon as possible! However, don't get impatient if it takes time. There are a couple of things you should do...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Kampala The risk of people developing breast and colon cancers can be significantly reduced if people exercise more and change their diet, the World Health Organisation has recommended in...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Helo jf memberz.. I biliv in grit thnkerz in the forum.. I knw we have profesional doktaz and traditional healerz here.. Pliz help me, my tooth aches so much, it has decayd.. Its the upper jaw...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Wana JF, Nimekuwa nikila pilipili kwa mazoea muda mrefu umepita bila kufahamu mbali na hiyo ladha kali iliyonayo, ina kazi nyingine mwilini kitaalamu? Naomba wadau wenye upeo na hili wanijuze...
0 Reactions
17 Replies
6K Views
huwa nasikia eti mtu akijifungua kisha wazazi wa mtoto yeyote kati yao akiwa na uhusiano nje ya ndoa ili hali mtoto ananyonyeshwa humfanya mtoto alemae,awe kama ana mtindio wa ubongo na hatakua...
0 Reactions
14 Replies
6K Views
WanaJF nisaidieni kwa hili, nimepita some where nimesikia kuwa ARV's zinaongeza hamu ya kufanya mapenzi je hili linaukweli wowote ndani yake?
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Hivi mkijifungua kwanini mkandwe??maji chini??simuache tu!! mnywe antibiotics basi.
0 Reactions
22 Replies
9K Views
Kuna madhara yoyote kwa mjamzito wa 8months kujichua....
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Jamani nahitaji mtu anisaidie, nikilala usiku nikilalia mkono nakuta kuna sehemu nakuta nimevilia damu kwa ndani, plz help
0 Reactions
1 Replies
6K Views
Scientists find gene that could help body cure itself of HIV 4th February 2011 Scientists may have found a way for the body to cure itself of HIV. In a series of tantalising...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Wana-jf juzi nilinunua losheni iitwayo CLAIRMEN FOR MEN. Kabla sijanza kuitumia nilisoma ingredients zake na jinsi ya kuitumia, nikakuta kuwa sitakiwi nikae juani pindi nitakapopakaa hiyo losheni...
0 Reactions
9 Replies
7K Views
Nina rafiki yangu wa karibu ameoa hivi karibuni alikuja kuniomba ushauri kwa vile nipo kwenye ndoa yangu kwa zaidi ya miaka 10. Akanieleza kuwa mke wake ana tatizo la kutokwa majimaji yenye harufu...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Habari wana JF! Naomba mnisaidie kwa hili mwenzenu napenda kutafuna sana mchele mbichi uwe umelowekwa kwenye maji au hata mkavu.je kuna madhara yoyote?? natamani sana kuacha maana naona dah...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Wadau,nina kaka ambaye ana miaka 31 na bado hajatahiriwa kutokana na sababu nyingi ikiwemo mila na desturi za kwetu. Kwa kuwa tumezoeana sana tumekuwa tukijadili sana suala hili,ili aweze...
0 Reactions
10 Replies
2K Views
Msaada:,mtoto wangu alichomwa chanjo ya ndui mara tu alipozaliwa,baada ya mwezi mmoja sehemu alochanjwa begani imevimba na imejaa usaa,je nikiikamua ina madhara?
0 Reactions
0 Replies
3K Views
salama wakubwa na wadogo mimi jamani nina tatizo moja...sauti yangu inakua ya kukwaruza sana nikiongoea natumia nguvu sana nakua nachoka.Mpaka sasa nina mwezi mmoja....Naomba msaada wenu...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Mimi nina matatizo yanayonisumbua kwa muda mrefu bila ya kujijua, niliona kua ni hali ya kawaida kama ilivyo kwa binadamu wengine lakini kumbe sivyo. 1. Mimi ninakua na uwoga sana kwa kila kitu...
0 Reactions
8 Replies
4K Views
Wakuu naomba mnifahamishe kama huyu dr anatibu kweli kisukari. Huwa namsikia mara nyingi kwenye vyomba vya habari akijinadi kuwa anadawa za kutibu kisukari. Ni kweli anatibu??,,make dawa zipo za...
0 Reactions
1 Replies
5K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…