naomba msaada wa kitabibu zaidi! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

naomba msaada wa kitabibu zaidi!

Discussion in 'JF Doctor' started by gudgirl, Feb 1, 2011.

 1. g

  gudgirl Member

  #1
  Feb 1, 2011
  Joined: Jan 5, 2011
  Messages: 49
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Habari wana JF!Naomba mnisaidie kwa hili mwenzenu napenda kutafuna sana mchele mbichi uwe umelowekwa kwenye maji au hata mkavu.je kuna madhara yoyote??natamani sana kuacha maana naona dah nimezidisha sasa!je nitawezaje kuacha???au labda nina upungufu wa kitu fulani mwilini manake nikiuona tu lazima nitauchukua.plse help
   
Loading...