Treatment ya Fungus, Kunuka mwili na Uvivu.

Developer

JF-Expert Member
Jan 8, 2011
442
496
Jamani wakuu mi nna tatizo kubwa la fungus, ni la siku nyingi sana, nakumbuka nimeli note kwa mara ya kwanza wakati niko darasa la tano, back in 1998. Nimekuwa wakati fulani zikizidi nikienda hospitali na kuwa prescribed na dawa lakini nothing has changed.

Though kwa sasa hazinisumbui kwa maana ya kuwashwa labda na kuchubuka mikononi, maana miaka hiyo nilipokuwa sekondari mpaka nilikuwa naficha viganja vya mikono wenzangu wasivione, jinsi inavyotoka ngozi, japokuwa miguuni bado infections zaonekana, ila hili sasa nimelichukua kama part and parcell of my life! Wadau msaada, ushauri.............

Halafu yaani ni kama niko tofauti na wengine kwenye swala la mwili kunuka, yaani niko campus na rafiki yangu yeye nguo anabadilisha jumapili asubuhi akiwa anaenda kanisani kubadilisha tena mpaka jumapili nyingine lakini humsikii(kuhisi) akinuka, mi nguo siku ya pili tu kosa, na nilivo mvivu kufua, kuvaa nguo siku moja siwezi.

Au kuna relation kati ya fungus na kunaka mwili. Yaani....

Halafu kitu kingine mi mvivu sana and i dont seem to care, kunaweza kuwa na lecture mi nisiuzurie bila sababu ya msingi, lecture anaweza akawa anafundisha mi nikatoka tu alafu nkaenda kulala room, japokuwa niko mwaka wa mwisho chuo na sijawahi kufanya supplementary lakini hili linanitesa sana ndani, yaani natamani kubadilika lakini nashindwa, nikibadilika siku ya kwanza, ya pili ya tatu yale yale, napenda sana kulala lakini sidhani kama naumwa ugonjwa wa usingini.
Nakumbuka wakati niko primary nilikuwa very smart kwa maana ya kufuata timetable, lkn sasa mhhh mpaka nakereka!

Wakuu msaada tafadhali
 
nakushauri wahi uonane na madaktari wa ngozi haraka iwezekanavyo kwani fungus zako haziko tropical ziko kwenye damu hivyo nenda na uonane na MaDermatologosit wao watakusaidia sana, kuhusu swali la uvivu najua uko sycological affected na hizo fungus ndo maana unakosa confidence so unaamua kwenda kulala. ni kweli kabisa ukilishughulikia tatizo la fungus na ukawa fungus free basi utatamani ukae hata 24 hrs chuoni ili watu wakuone tu
 
Jamani wakuu mi nna tatizo kubwa la fungus, ni la siku nyingi sana, nakumbuka nimeli note kwa mara ya kwanza wakati niko darasa la tano, back in 1998. Nimekuwa wakati fulani zikizidi nikienda hospitali na kuwa prescribed na dawa lakini nothing has changed.
Though kwa sasa hazinisumbui kwa maana ya kuwashwa labda na kuchubuka mikononi, maana miaka hiyo nilipokuwa sekondari mpaka nilikuwa naficha viganja vya mikono wenzangu wasivione, jinsi inavyotoka ngozi, japokuwa miguuni bado infections zaonekana, ila hili sasa nimelichukua kama part and parcell of my life! Wadau msaada, ushauri.............

Halafu yaani ni kama niko tofauti na wengine kwenye swala la mwili kunuka, yaani niko campus na rafiki yangu yeye nguo anabadilisha jumapili asubuhi akiwa anaenda kanisani kubadilisha tena mpaka jumapili nyingine lakini humsikii(kuhisi) akinuka, mi nguo siku ya pili tu kosa, na nilivo mvivu kufua, kuvaa nguo siku moja siwezi. Au kuna relation kati ya fungus na kunaka mwili. Yaani....

Halafu kitu kingine mi mvivu sana and i dont seem to care, kunaweza kuwa na lecture mi nisiuzurie bila sababu ya msingi, lecture anaweza akawa anafundisha mi nikatoka tu alafu nkaenda kulala room, japokuwa niko mwaka wa mwisho chuo na sijawahi kufanya supplementary lakini hili linanitesa sana ndani, yaani natamani kubadilika lakini nashindwa, nikibadilika siku ya kwanza, ya pili ya tatu yale yale, napenda sana kulala lakini sidhani kama naumwa ugonjwa wa usingini.
Nakumbuka wakati niko primary nilikuwa very smart kwa maana ya kufuata timetable, lkn sasa mhhh mpaka nakereka!
Wakuu msaada tafadhali
pole sana best, fangus hizo pia zinahitaji usafi wa mavazi, kama mvivu kufua na uwezi kuvaa nguo kwa siku moja hilo nalo ni tatizo. Kama mjumbe alivyochangia hapo juu, inabidi uende hospital ukawaone specialist wa skin diseases watakusaidia, ila kabla ya hiyo atua em jaribu dawa hii mi ilinisaidia sana nilikua na tatizo la fungus wa muda mrefu sehemu za pumbu lakini zimepona kabisa na sina fungus kabisa, pia nilikua nawashwa sana hasa baada ya kuoga na nikiwa kitandani nataka kulala. JINA LA HIZO DAWA NI AZITHRAL-250
 
Suala la Kunuka sina uhakika nao ni bacteria kwnye ngozi yako au nini, ila tatizo la kulala ina wezekana ni stress ndio zina kupelekea kulala, mimi ninalo hilo tatizo, nikiwa na stress huwa na sikia usingizi hapo hapo, mfano kama ninakipindi asubuhi na labda natakiwa nifanye presentation huwa kuamka asubuhi ni kazi sana na hata kama nikia njiani kwnda shule huwa na sikai usingizi na huwa mara nyingi na kwepa na kurudi kulala, hapo na dhani kuna uhusiano wa stress na usingizi. Waone wataalamu utasaidiwa.
 
Tatizo umeshalisema tayari. Lifanyie kazi utapona bila ya kunywa dawa. Umesema ni mvivu, that means, mvivu wa kuoga, kufua. Jitahidi uanze kuoga kutwa mara 3 kwa kujisugua vizuri siyo kujimwagia maji tu, ukishaoga jipanguse na taulo safi na liwe linafuliwa kila siku. Jitahidi uwe na taulo zile ndogo za watoto angalau 3. Make sure unakausha maji yote mwilini kwa taulo hasa hasa kwenye vidole. Tumia doudlant kwa ajili ya kikwapa
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom