Jamii Health (Jukwaa la Afya)

We care about your health! Uliza swali lolote la kiafya na wanachama wetu watakusaidia haraka iwezekanavyo. Kumbuka: Mficha maradhi, kifo humuumbua!

On JF:

Hi jf members. Nipo katika programm ya kufanya mazoezi ya viungo na kucheza mpira. Ni week sasa, tangu nianze tunafanya mazoezi asubuhi (viungo) na jioni (tunasakata kabumbu). Mwili umevunda...
0 Reactions
2 Replies
4K Views
Jamani msaada wenu utanipa jibu. kuna kijana kaniiijia kuniomba msaada kwa tatizo alilonalo. ingawa amehuzunika sana kunieleza, maana kwa jinsi anavyoniheshimu hakuwa na jinsi...
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Juzi nimeshuhudia Mgonjwa anayekaa Mongola Ndege Jirani na Hospitali akitaabika Kupata Huduma ya Kwanza, Huku Hospitali iliyo Jengwa na Serikali na imekamilika ipo na haijaanza kutumika mpaka...
0 Reactions
8 Replies
3K Views
Just curious to know if women works or lives together does their period syncronise to come at the same time?
0 Reactions
2 Replies
1K Views
:A S-rose:Ni bandeji zitumiwazo sana na majeshi ya marekani, mahususi kwa kuzuia uvujaji mwingi wa damu(BLEEDING) huokoa maisha kiurahisi hasa wakati wa dharula The Emergency Bandage -...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
:A S-rose:Ni bandeji zitumiwazo sana na majeshi ya marekani, mahususi kwa kuzuia uvujaji mwingi wa damu(BLEEDING) huokoa maisha kiurahisi hasa wakati wa dharula The Emergency Bandage -...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
With friends, kibia cha jioni baada ya kazi safi, the problm is nikinywa msosi haupandi, no apetite, mbaya zaidi ikifika usku wa ma 8, usingizi kwa heli. Kuanzia saa 12 usingiz unarudi kwa ari...
0 Reactions
10 Replies
2K Views
Help plz, what is right time for a woman after abdoman surgery to resume her sexaulintecourse,4,6 or 8 weeks?
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Ngugu zanguni mwaka jana mwezi wa kumi nilifanya mapenz na mwanamke fulani sasa kufikia mwezi december sehem zangu za siri zikaanza kutoka vipele vidooogo sana kama vya joto hivi ambavyo havikui...
0 Reactions
10 Replies
2K Views
Jaman kunarafiki yangu moja alikuja kuniomba ushauri kwn anadai kuwa kila aki sex na girlfrnd wake inafikia wkt anazimia,ikishatokea hali hiyo jamaa anampepea mpaka anakuwa sawa! Jaman kma kuna...
0 Reactions
14 Replies
7K Views
Ndg wana jf, hv yaweza ktokea kwa msichana kutotoka hedhi hata pale sku zake za mwez alizo zizoea zinapo fika na kupita? Kama ndiyo, hali hiyo husababishwa na nini kama msichana husika si...
0 Reactions
5 Replies
4K Views
Kuna baadhi ya watu wakivaa cheni za English Gold hata kwa masaa mawili tu wanawashwa sana na kutokwa vipele vingi shingoni ambavyo ukiona utadhani ugonjwa wa ngozi. Je kuna uhusiano gani hapo?
0 Reactions
9 Replies
6K Views
mahips, mawowowo, mashepu yanatudatisha kinyama wakati tukiingia kwenye sita kwa sita konsetresheni yetu yote ni kwenye kitumbua.
1 Reactions
32 Replies
9K Views
Habari wandugu! ningependa madaktari waliopo hapa wanisaidie kama kuna dawa yeyote ambayo imetengenezwa kwa ajili ya kuzuia mhemko? ( ambayo inaweza kuwasaidia wale ambao hawana mpango wa...
0 Reactions
11 Replies
5K Views
Dawa Ya Mchungaji Ambilikile Mwasapile a.k.a Babu. Je Ni Ulaghai? Asalaam Aleikum, Aman iwe nanyi...! Wana JF, habari za miangaiko ya kila siku... Poleni na majukumu na miangaiko ya hapa na...
0 Reactions
91 Replies
18K Views
Jamani nawashauri wale wenye miili ipana na vitambi vitumbo punguza hiyo kitu kwa kunywa maziwa ya mgando kila siku. Download hio file hapo uzisome faida zake
0 Reactions
4 Replies
16K Views
A US man who was paralysed from the chest down after being hit by a car is now able to stand with electrical stimulation of his spinal cord. Rob Summers, from Oregon, said standing on his own was...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Habari wandugu? Naomba madaktari waliopo hapa wanisaidie,hivi duniani humu kuna dawa ambayo ina uwezo wa kuzuia mhemko?( ambayo inaweza kuwasaidia wale ambao hawana mpango wa kuyaingia maisha ya ndoa)
0 Reactions
3 Replies
2K Views
FW: Heart Attacks And Hot Water..... Oh......... and did I mention the garlic? Heart Attacks And Hot Water A very good article which takes two minutes to read. Heart Attacks And...
3 Reactions
1 Replies
1K Views
watu wa aina hii wanahitaji msaada
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Back
Top Bottom