Faida za maziwa ya mgando tele tu... download

LOOOK

JF-Expert Member
May 17, 2011
3,389
672
Jamani nawashauri wale wenye miili ipana na vitambi vitumbo punguza hiyo kitu kwa kunywa maziwa ya mgando kila siku. Download hio file hapo uzisome faida zake
 
Holding other factors constant, maziwa yanasaidia kupunguza mafuta. Mnisaidie jamani, hivi kunatofauti kati ya kupunguza mwili na kupunguza mafuta mwilini???
Pia kama kuna mmoja wetu anaweza kutoa mfano wa jamii ipi ya ki tz wanapenda haya maziwa na ni wembamba?
 
Sidhani kama ni kweli mimi nilikwa ni mpenzi wa maziwa mgando yaliyo safi na salama,juisi yangu ilikuwa maziwa mgando,hata nikiwa na kiu nilipenda kuyanywa nilinenepa nikapoteza mvuto,na hata uzito wangu ulikuwa mkubwa sana.
 
Wamasai
 
kwa upande nakuunga mkono, maziwa mgando yaliyotengenezwa kutokana na full cream milk yana mafuta na ndio yaliyokunenepesha probably.
 
Back
Top Bottom