msaada wadau wa afya! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

msaada wadau wa afya!

Discussion in 'JF Doctor' started by andry surlbaran, May 16, 2011.

 1. a

  andry surlbaran Senior Member

  #1
  May 16, 2011
  Joined: Apr 13, 2011
  Messages: 166
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  ngugu zanguni mwaka jana mwezi wa kumi nilifanya mapenz na mwanamke fulani sasa kufikia mwezi december sehem zangu za siri zikaanza kutoka vipele vidooogo sana kama vya joto hivi ambavyo havikui wala kuongezeka nikadhani ni joto tu la dar! sasa sehem zangu za siri chini ya kichwa cha uume vile vipele bado vipo na sometimes vinawasha, nikajaribu kumuuliza mama akanambia nilipokua mdogo nilifanyiwa operation ya njia ya mkojo mbaya zaidi sikuhizi nime develop kitu hata sijui yani ile njia ya mkojo ina washa kwa ndani, sasa sielewi kama ni ugonjwa wa zinaa au ni impact ya ile operation ya utotoni, for the time being nina 21 yrs, naomben ushauri wadau!
   
 2. AlP0L0

  AlP0L0 JF-Expert Member

  #2
  May 16, 2011
  Joined: Apr 23, 2011
  Messages: 3,473
  Likes Received: 761
  Trophy Points: 280
  Kapime mkuu! Huwezi pata jibu sahihi hapa.
   
 3. M

  MWENDAKULIMA JF-Expert Member

  #3
  May 16, 2011
  Joined: Jul 17, 2009
  Messages: 961
  Likes Received: 23
  Trophy Points: 35

  Mkuu nadhani hii inafit zaidi JF doctor
   
 4. njiwa

  njiwa JF-Expert Member

  #4
  May 16, 2011
  Joined: Apr 16, 2009
  Messages: 11,075
  Likes Received: 1,811
  Trophy Points: 280
  Man hiyo inaweza ikawa syphilis .. nenda kapime na utibiwe! ukiiacha itapotea na bada ya mwaka itarudi as chronic na mwisho itakuuwa..!

  BTW acha uzinzi!
   
 5. K

  Kivia JF-Expert Member

  #5
  May 16, 2011
  Joined: Nov 2, 2010
  Messages: 278
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 35
  Wewe upo dar. Nakushauri uende pale polisi central kwenye parking ya brekingdown pale jirani kuna hospital ya serikali yaitwa "IDC" inajihusisha na matibabu ya zinaa, ngozi, nk. Watakupa ushauri na dawa bure.
   
 6. Mlimazunzu

  Mlimazunzu JF-Expert Member

  #6
  May 16, 2011
  Joined: Dec 14, 2010
  Messages: 420
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Nenda hospital mkuu
   
 7. a

  andry surlbaran Senior Member

  #7
  May 17, 2011
  Joined: Apr 13, 2011
  Messages: 166
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0

  poa ntafanya hivo asante
   
 8. a

  andry surlbaran Senior Member

  #8
  May 17, 2011
  Joined: Apr 13, 2011
  Messages: 166
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0

  asante
   
 9. WANALIZOMBE

  WANALIZOMBE Member

  #9
  May 18, 2011
  Joined: May 18, 2011
  Messages: 50
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 13
  Pole mkuu, hilo ni tatizo, wahi hospital ukacheki . Poa
   
 10. Visenti

  Visenti JF-Expert Member

  #10
  May 22, 2011
  Joined: Jul 24, 2008
  Messages: 1,031
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 133
  Hapa utapewa ushauri mbalimabli kwa nia nzuri lakini utachanganyikiwa, fanya jitihada za booking ya kuonana na mtaalamu UROLOGIST utapata jibu sahihi kwa garama nafuu (kama upo Dar, Urologist utampata ktk hospitali za Regency, Aghakan, HinduMandal, MNH, TUMAINI-Upanga n.k)
   
 11. Saint Ivuga

  Saint Ivuga JF-Expert Member

  #11
  May 22, 2011
  Joined: Aug 21, 2008
  Messages: 39,375
  Likes Received: 19,621
  Trophy Points: 280
  gonorea hilo==aids nayo hapo ni 99.9%
  made in Tanzania kam upo nchi za watu ndio sijui , wabeba mabox watakuja apa na data
   
Loading...