International Forum

News and Stories from rest of the World

On JF:

Serikali ya Japani imewataka wakazi wa Tokyo na eneo linaloizunguka kupunguza matumizi ya umeme kwa kuzima taa zisizo za lazima lakini pia watumie kiyoyozi ili kukabiliana na kuongezeka kwa joto...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Jeshi la Sudan limeshutumu jeshi la Ethiopia kwa kuwanyonga wanajeshi saba wa Sudan na raia mmoja waliokuwa mateka nchini humo na kuonyesha miili yao kwa umma. Mvutano kati ya Sudan na Ethiopia...
0 Reactions
1 Replies
957 Views
Mandhari ya Barabara ya Yuqie jangwani katika mkoa wa Xinjiang inavutia katika upigaji picha wa kutoka angani baada ya mvua. Barabara hiyo inayounganisha wilaya ya Yuli na wilaya ya Qiemo...
2 Reactions
2 Replies
1K Views
Tarehe 25 mwezi Juni mwaka 2022 fainali ya mashindano ya 21 ya “daraja la kichina” la wanafunzi wa vyuo vikuu duniani ilifanyika nchini Ufaransa kwa njia ya mtandaoni na nje ya mtandao, kaulimbinu...
0 Reactions
0 Replies
494 Views
Polisi nchini humo wanachunguza chanzo cha vifo takriban 22, katika kilabu cha usiku katika kitongoji cha Jijini East London, vilivyotokea usiku wa Juni 25 Unathi Binqose, Afisa wa Idara ya Afya...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
BUDGET ya ULINZI ya MAREKANI ni USD 778 billion. Anafuata mchina Kwenye 240 USD billion. Ukijulisha BADGET zote za ULINZI ulimwenguni hatufiki 778 billion USD. Anaebisha lete facts sio blah blah...
7 Reactions
69 Replies
4K Views
Rwanda wameandaa Mkutano Mkuu wa Jumuiya ya Madola ambao unakaribisha wakuu wa nchi na serikali wapatao 54. Tuna ya kujifunza toka kwa jirani zetu hawa. Fikiria wameuana yapata milioni 1 mwaka...
5 Reactions
27 Replies
3K Views
Jeshi limewataka raia kuondoka katika maeneo yanayotajwa kuwa na maslahi ya kijeshi katika Mikoa ya Kaskazini na Kusini Mashariki mwa Nchi hiyo kabla ya oparesheni zinazolenga kudhibiti ghasia...
0 Reactions
1 Replies
629 Views
I don't care 'speech' Pro-life vs pro-choice battle rages on. Synthesis /combination of opposites leading to higher truth.
0 Reactions
1 Replies
533 Views
Hawa jamaa ukipigana nao wakiona unawashinda wanakimbilia kuharibu makazi ya watu,mahosptali ,mashule,ilimrad tuu kukomoa. Waziri wa ulinzi wa Russia kuna kipind alinukuliwa akidai wakichokozwa...
10 Reactions
78 Replies
4K Views
Kiongozi wa upizani nchini Urusi Navalny ambaye rufaa yake dhidi ya hukumu yake imekwama leo hii Mahakamani amemuita Putin mwendawazimu kutokana na Uvamizi wake nchini Ukraine...
2 Reactions
17 Replies
2K Views
Wafaransa washenzi sana, walipoitawala Mali waliamua kufanya majaribio yao ya nyuklia kwenye ardhi ya Algeria miaka ya 1960s ili athari zitakazotokana na nyuklia ziwaathiri waafrika tu. Yaani...
3 Reactions
4 Replies
947 Views
M23 waonyesha kuwa na leadership kuliko Serikali ya Kinshasa. Wafungua mpaka wa Bunagana na kuruhusu wakimbizi kurudi. Kisekedi hapa kapigwa kitu kizito.
2 Reactions
56 Replies
4K Views
Lack of confidence in troops Such a high number of casualties at that level of Generals suggests several things -- one being a lack of confidence among Russian military leaders in their troops...
4 Reactions
14 Replies
1K Views
NEWSSPORT Stay in touch Ukrainians joining Warsaw Pride parade won’t stop fighting for LGBTQ+ people Comment Sean SeddonSaturday 25 Jun 2022 7:15 pm 190SHARES Ukrainians at today’s Pride...
1 Reactions
0 Replies
925 Views
Mh! Hii vita au operesheni itakuja kuibua mambo makubwa tusiyokuwa tunatarajia inaweza kuwa chanya au hasi!! Muda utaamua upi ukweli au uongo. ======= Ukraine war: 80% of troops killed or...
3 Reactions
4 Replies
983 Views
Tumwombe Mungu vita hii ikome kwa maana mfaidika wa vita hii ni mmoja tu naye anaitwa shetani. Biblia imeweka wazi lengo la shetani ni KUCHINJA. KUUA na KUHARIBU na ndicho kinachofanyika kwenye...
3 Reactions
19 Replies
2K Views
Hii vita (Ukraine vs Russia )inaonekana ndogo kwa macho madogo, lakini kwa macho makubwa inaenda kuwa kubwa!! Tuombe Mungu aiepushie mbali London will be bombed first in World War Three, Putin...
19 Reactions
73 Replies
5K Views
Urusi imesema kuanzia sasa meli zitakazopenda kwenda na kuondoka bandari za bahari nyeusi zilizokuwa za Ukraine ni ruhusa kufanya hivyo na zitapatiwa kila aina ya ulinzi ili zibaki salama. Hayo...
22 Reactions
31 Replies
3K Views
Back
Top Bottom