Jeshi la Sudan laishutumu Ethiopia kunyonga wanajeshi wake waliokuwa mateka nchini humo

Lady Whistledown

JF-Expert Member
Aug 2, 2021
1,017
1,606
Jeshi la Sudan limeshutumu jeshi la Ethiopia kwa kuwanyonga wanajeshi saba wa Sudan na raia mmoja waliokuwa mateka nchini humo na kuonyesha miili yao kwa umma.

Mvutano kati ya Sudan na Ethiopia umeongezeka katika miaka ya hivi karibuni, kutokana na kuenea kwa mzozo katika eneo la kaskazini la Tigray la Ethiopia na ujenzi wa Ethiopia wa bwawa kubwa la kufua umeme kwenye Mto Blue Nile.

Hadi sasa, hakuna majibu yoyote kutoka mamlaka za Ethiopia kuhusiana na tuhuma hizo

………………

Sudan’s military has accused the Ethiopian army of executing seven Sudanese soldiers and a civilian who were captives.

In a statement on Sunday, the Sudanese military also accused the Ethiopian army of displaying the bodies of those executed to the public and promised that there would be “an appropriate response”.

“This treacherous act will not pass without a response,” it said.

There was no immediate response from Ethiopian authorities to a request for comment.

Tensions between Sudan and Ethiopia have run high in recent years because of a spillover of the conflict in Ethiopia’s northern Tigray region and Ethiopia’s construction of a giant hydropower dam on the Blue Nile.

Tens of thousands of refugees have fled into eastern Sudan, and there have been military skirmishes in an area of contested farmland along the border between Sudan and Ethiopia.

SOURCE: Al Jazeera
 
Wapuuzi wengine hao wanatafutana waongezeane matatizo, akili ya kutafuta suluhu na kutatua matatizo yao ya ndani hakuna ila akili ya kutafuta ela za kununua silaha na kubuni matatizo mapya wanazo,war mongers and disgrace kwa rangi nyeusi.
 
Back
Top Bottom