International Forum

News and Stories from rest of the World

On JF:

Hali ni mbaya mno huko Israel, Iran anazidi kuipasua hilo taifa vipande vipande.. Jamaa wanashusha kipigo kama kile cha Sodoma na Gomora Jana wamerusha kombora hatari la kohramshahr 4 lenye...
13 Reactions
97 Replies
2K Views
Kupitia taarifa iliyotolewa na Wizara ya Tawala za Mikoa, ilieleza kuwa vyama hivyo vimeshindwa kutimiza wajibu wao wa kisheria, na kuamuru kusitishwa kwa shughuli za vyama hivyo pamoja na...
1 Reactions
8 Replies
278 Views
China imesema inapinga hatua yoyote ya kumlenga kiongozi mpya wa juu wa Iran, Mojtaba Khamenei, kufuatia vitisho vilivyotolewa na jeshi la Israel dhidi ya mrithi huyo wa baba yake aliyeuawa, Ali...
1 Reactions
10 Replies
493 Views
Kamanda Mkuu Wa Jeshi🇮🇱. "Tumeangamiza asilimia 60% ya makombora ya Iran tunaingia kwenye hatua nyingine ya mashambulizi ya kushangaza"
1 Reactions
10 Replies
328 Views
Jeshi la Walinzi wa Mapinduzi ya Iran (IRGC) limetangaza kufunga mfereji maarufu wa Harmuz (Strait of Hormuz) ambao ni maalum kwa kupitisha meli za mafuta kwa meli zinazotoka Marekani, Israel na...
5 Reactions
19 Replies
1K Views
Jeshi la Israeli lime toa tishio jipya dhidi ya viongozi wa Iran, likisema litawafuatilia wote watakaofuata Khamenei, ambaye aliuawa katika mashambulizi ya Marekani-Israeli mnamo Februari 28...
3 Reactions
5 Replies
213 Views
Jamaa wameanza kutumia makombora mapya na yenye kasi aina ya Hypesonic [emoji599] BREAKING: Iranian President Masoud Pezeshkian: We have entered a new phase of the war. Tehran has finished its...
6 Reactions
19 Replies
720 Views
Jamaa alikuwa anaelekea Airport kukimbia ili arudi Telaviv Mimi binafsi siwezi visasi na wairan wana visasi kinoma Jamaa kalipuliwa vibaya mnoo mkono wa Iran unafika popote 🚨 BREAKING...
3 Reactions
6 Replies
358 Views
Simu moja toka ikulu ya dodom...aa,, hello captain natumai ni mzima// Habari za mashariki nadhani unaziona,, Ziko tofauti usifaninishe na Goma// Ripoti kikosi cha anga kile cha kigoma,, Usiage mtu...
1 Reactions
8 Replies
440 Views
Rais wa Marekani, Donald Trump, amesema hajafurahishwa na taarifa kwamba Mojtaba Khamenei amepewa nafasi ya kuwa Kiongozi Mkuu mpya wa Iran baada ya kifo cha Ayatollah Ali Khamenei. Trump...
6 Reactions
16 Replies
662 Views
Kwenye vita inayoendelea kati ya Israel na Iran, Kuna mambo yananishangaza Sana, lakini hili moja limezidi mengine. Kila Israel ikishambuliwa zinaonekana juhudi za kuficha madhara yanayotokana na...
11 Reactions
20 Replies
640 Views
Kwanza nianze kwakusema hakuna anayefurahia mauaji yanayotokea kwa raia wasio na hatia pande zote mbili Iran na Israel,kwakuwa wao ni victim tu au wahanga tu Twende kazi..... Mzee wa hovyo Trump...
13 Reactions
66 Replies
1K Views
Rais wa Marekani, Donald Trump, ameashiria kuwa serikali yake bado inalenga kuiondoa madarakani serikali ya Cuba, licha ya vita vinavyoendelea kati ya Israel na Marekani dhidi ya Iran kuingia wiki...
2 Reactions
11 Replies
471 Views
George Galloway anasema askari 173 kutoka katika kikosi hatari cha Delta force wametekwa na Jeshi la Iran.
9 Reactions
43 Replies
1K Views
Nimekaa na kuwaza kwa kina pamoja na ukweli kwamba imani yangu haifungamani na upande wowote, ni vizuri ukajiuliza. Wengi wa wachambuzi wanakimbilia maandiko yamesema kwamba iran itapotea kwenye...
3 Reactions
11 Replies
267 Views
  • Redirect
Nyumba ya Waziri Mkuu wa Israel Bwa Benjamin Netanyahu imepigwa na kombora la Iran Leo tarehe 10 March 2026. Inasemekana Kaka wa Benjamin amekufa ila hatma ya Waziri Mkuu mwenyewe hajulikani...
0 Reactions
Replies
Views
  • Redirect
Televisheni ya Iran imetangaza kwamba Mojtaba Khamenei amejeruhiwa vibaya. Conspiracy Theory, "Inawezekana Mojtaba Khamenei, mwana wa Ali na kiongozi mkuu mpya, TAYARI AMEKUFA na alikufa katika...
1 Reactions
Replies
Views
Nchi za Mashariki ya Kati na Ghuba, pamoja na Marekani, zimeiomba Ukraine iwauzie vifaa vya kuzuia ndege zisizo na rubani ili kukabiliana na ndege zisizo na rubani za "Shahed" za Iran. Lakini Kiev...
3 Reactions
3 Replies
339 Views
Back
Top Bottom