International Forum

News and Stories from rest of the World

On JF:

Huu ni unabii very simple lakini mtu mwenye kuchunguza maandiko kwa makini atang'amua maana yake iliyo pana. 1. Internet inasaidia 2. Vita za wenyewe kwa wenyewe zilizotokea nchi za Kiislamu na...
4 Reactions
108 Replies
2K Views
Jamaa wamesema sahivi wataanza kutumia yenye kubeba vichwa vya zaidi ya tani moja Sasahivi Iran anajipigia anavyotaka tu Hakuna cha Iron dome wala Arab Dome Taifa teule linatangwa bila huruma...
8 Reactions
20 Replies
591 Views
Echolima1 a.k.a mwenye majina 30+ kama utitiri Umejificha wapi au kazi za kusafisha vyoo zimekuzidi kule Tela Aviv. Umewaona Hezbullah au bado https://youtu.be/_d95LLJvZ7Y?si=KaozdYLUYtd555oI...
7 Reactions
38 Replies
714 Views
Katika mahojiano maalum, Mshauri wa Sera za Mambo ya Nje katika ofisi ya Kiongozi Mkuu wa Iran, Kamal Kharazi, alimwambia mwandishi wa CNN Frederik Pleitgen kuwa ni “simulizi la uongo” kudai...
0 Reactions
0 Replies
141 Views
CHANZO CHA PICHA,DIANA CHANDO Maelezo ya picha,Balozi wa vijana Umoja wa Afrika -AUMaelezo kuhusu taarifa Author,Na Esther Namuhisa Nafasi,BBC News, Dar es Salaam Saa 7 zilizopita "Unajua mimi...
4 Reactions
40 Replies
3K Views
Kumekuwa na wasiwasi kuwa vita dhidi ya Iran huenda ikadumu muda mrefu! Lahasha kwa vita hii kinyume na hofu iliyopo utadumu muda mfupi na usikute Wayahudi wakasherehekea Pesach bila ya Tishio...
2 Reactions
34 Replies
532 Views
Israel imekua ikitumia mbinu wa kuua viongozi wa juu kisiasa au kijeshi katika serikali[ Iran ] na makundi hasimu kama Hamas,Hezbollah,Houthi je, mbinu hii ina faida kimedani kwao au ipo tu...
4 Reactions
15 Replies
346 Views
Hili ni onyo Kwa watu na mataifa yote yenye chuki juu ya Taifa Israel waache wafanye mambo mengine Hili taifa Lina zaidi miaka elfu sita duniani na tangu kuanzishwa kwake ni vita tupu . Kwa...
4 Reactions
22 Replies
315 Views
Hii meli ilikua imejificha baharini, kazi yake kutuma mamia ya drones, imekutwa huko huko na kufutwa kwenye uso wa dunia. Yaani Iran imesambaratishwa na kuachwa hoi kabisa, kiasi kwamba hivi...
11 Reactions
17 Replies
576 Views
⭕️Kim Jong Un has appointed his 13-year-old daughter as head of North Korea's nuclear forces — The Chosun Daily. Experts believe that she will eventually take command of the People's Army. The...
3 Reactions
3 Replies
248 Views
Wakuu, Naona huko Zimbabwe napo wameanza kujifunza mbinu za Malawi. Yaani kuna huyu kiongozi wa upinzani hajulikani hadi sahivi. Kiongozi wa Jukwaa la Watetezi wa Katiba (CDF), Tendai Biti huko...
1 Reactions
7 Replies
214 Views
Mbona dunia haina usawa? Kwanini iwe ni Iran tu na sio nchi nyingine? Kwanini Iran inapangiwa cha kufanya, kwanini sio nchi nyingine?
8 Reactions
68 Replies
1K Views
Iran imerusha makombora yake ya kwanza kuelekea Israeli leo Jumatatu Machi 09, 2026 baada ya kuteuliwa kwa Kiongozi mpya mkuu wa Jamhuri ya Kiislamu, Ayatollah Seyyed Mojtaba Khamenei. Kituo cha...
4 Reactions
14 Replies
486 Views
Basi lililokuwa likibeba timu ya wanawake ya soka ya Iran lilipokuwa linatoka, hali ghafla ikageuka kuwa ya kutisha pale wachezaji walipoanza kutoa ishara ya kuomba msaada wakiwa ndani ya basi...
1 Reactions
4 Replies
237 Views
Baraza la Mapinduzi la Iran limemtangaza Mojtaba Khamenei (Mtoto wa Ali Khamenei- RIP) kuwa kiongozi mkuu wa Iran. Ali Khamenei alimlea akimlea na kumwandaa kwa miongo kadhaa mwanawe mwenye roho...
10 Reactions
78 Replies
2K Views
Ni kweli Meli ya Marekani ililipuliwa na makombora ya Irani kwa ushahidi wa vigezo vifuatavyo,unaweza kuondoa siraha muhimu katikati ya vita?na hii vita Mmarekani anaenda kupoteza na ndiyo utakuwa...
3 Reactions
11 Replies
477 Views
Magaidi waliokuwa wanatafutwa na Majeshi ya Israel kwa mauaji ya Oct 07,2023 hatimaye nao jana walipatikana na kuuwawa walipokuwa kwenye Gari lao. Adiosamigo gallow bird zitto junior na 100...
0 Reactions
1 Replies
137 Views
Hizi base zote ziliwekwa kwa ajili ya nini? Hata mtoto akiulizwa anajibu kwa urahisi
0 Reactions
2 Replies
157 Views
Chuo Kikuu cha Karachi (KU) nchini Pakistan Machi 7 2026 kimetangaza kuwa vipindi vyote ya asubuhi vitafanyika kwa njia ya mtandao kuanzia hadi mwisho wa mwezi wa Ramazan. Kwa mujibu wa msemaji...
0 Reactions
0 Replies
138 Views
Religion fanatics piteni mbali Hakika natangulia kusema ni kazi tukufu kweli kweli inayofanywa na haya mataifa mawili. Dunia ya sasa na ijayo ni dunia ya amani,uhuru na haki ile dunia ya zama za...
9 Reactions
20 Replies
328 Views
Back
Top Bottom