Najiuliza sipati majibu.
Hadi sasa Marekani na Israel wameharibu kwa kiasi kikubwa meli za kivita za Iran, ndege za jeshi la Iran, vituo vya makombora na drones, Ulinzi wa anga, vituo vya...
Idara Kuu ya Forodha ya China hivi karibuni ilitoa takwimu kuhusu biashara ya nje ya China katika miezi miwili ya kwanza ya mwaka huu, ikionesha kuwa, katika miezi hiyo, thamani ya biashara ya nje...
Baada ya magaidi wa Hezbollah kujiingiza kichwa-kichwa kwenye vita inayoendelea huko Iran magaidi hao ambao wako huko Lebanon Jana wamepata kipondo ambacho hawataki Saha baada ya majengo yao na...
Kwanini taifa teule la Mungu liliwasaidia Makaburu wa Africa kusini kuwaua watu weusi
Mfano ndo dola pekee lilipeleka misaada ya kijeshi ikiwemo Risasi na silaha za kibayolojia kama Sumu za...
Wameshambulia kanisa wakamlenga Padri na kumuua hapo hapo na kujeruhi waumini kadhaa
[emoji599][emoji1134][emoji1146][emoji1262] BREAKING: Israel attacks Catholics in Lebanon.
Qlayaa’s Catholic...
Wanaukumbi.
Video za IRGC za 2025 zinaonyesha vichuguu vya chini ya ardhi vilivyo na boti za mashambulizi ya haraka, makombora ya kuzuia meli na kile kinachoonekana kuwa migodi ya majini...
Iran leo hii imeanza kuzikwa Makamanda wake waliuliwa na Majeshi ya Israel wakati yana shambulio a maficho ya Gaidi Marehemu Ayatollah Ali Khamenei.
Mazishi haya yamefanikiwa baada ya kuficha...
Meli ya mizigo ya Thailand, Mayuree Naree, imeshambuliwa Jumatano ilipokuwa ikipita katika Strait of Hormuz baada ya kuondoka katika Khalifa Port nchini United Arab Emirates.
Kwa mujibu wa Royal...
My people,
Kwanza nianze kwa kusema Mimi ni shabiki namba moja hapa Afrika Mashariki wa Islamic Republic of Iran,na nina sababu za kufanya hivyo.
Ni Taifa ambalo limekuwa likiangaliwa katika...
Hiki ni kipigo cha usiku kucha cha makombora ya Iran
Wanapigwa kama mbele yaani wamechokoza nyuki sasa wanaplay Victim card
Na haya yote utasikia walokufa ni watano tu[emoji1787].....Wazee wa...
satellite station na kituo cha mawasiliano ''radar'' karibu na beit shemesh nchini israel zimelipuliwa na kusababisha moto mkubwa kuwaka siku ya jana mara baada ya msururu wa makombora na drones...
Makundi ya wataalamu wa kijeshi kutoka Ukraine yametumwa nchini Qatar, Falme za Kiarabu (UAE), na Saudi Arabia kusaidia mataifa hayo kujilinda dhidi ya ndege zisizo na rubani (droni) zinazorushwa...
Colonel Miniyothabo Baloyi, the wife of Zimbabwe’s Vice-President Constantino Chiwenga, has been removed from her post in military intelligence and reassigned to a less influential position...
Wanaukumbi.
Trump na Israel, wanachekesha sana wanasema imengamiza uwezo wa makombora ya Iran kwa asilimia 90 hawana tena huwezo wa kurusha makombora na wanadhibiti anga yote ya Iran. 😂...
Mataifa ya G7 yamesema yataunga mkono hatua ya pamoja ya kutoa mafuta kutoka kwenye akiba zao za kimkakati ili kukabiliana na kupanda kwa bei kwa kasi tangu kuanza kwa vita kati ya Marekani...
Watu wanne wamejeruhiwa baada ya ndege mbili zisizo na rubani "kuanguka karibu" na Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Dubai, Ofisi ya Vyombo vya Habari ya Dubai inasema.
Inasema raia mmoja wa India...
Telaviv jana usiku iliingia Gizani baada ya Iran kukishambulia kituo cha umeme cha Israel kinachotoa megawatts zaidi 2500 na kuifanya Telaviv kubaki Gizani
[emoji599][emoji1130] BREAKING: Iran...
JUST IN: Bellarmine Chatunga Mugabe and his cousin Tobias Matonhodze, who are facing attempted murder and immigration-related charges, have withdrawn their bail application at the Alexandra...
David Barnea ni Mkuu wa Mossad (Shirika la Ujasusi la Israel) tangu Juni 2021. Hapa kuna muhtasari wa CV yake kwa ufupi:
1. MAELEZO YA JUMLA:
Jina kamili: David (Dave) Barnea
Tarehe ya...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.