International Forum

News and Stories from rest of the World

On JF:

Putin anamaanisha nini anavyosema siyo vita nchini Ukraine?
2 Reactions
26 Replies
2K Views
Agosti 30, 2022, Kathmandu, Nepal, waumini wanawake wa dini ya kihindu walisherehekea Tamasha la Teej(siku ya wanawake), wakitoa heshima katika Hekalu la Pashupatinath kwa Mungu Shiva huku...
0 Reactions
5 Replies
671 Views
Rais wa Afrika kusini Cyril Ramaphosa Jumanne amekabiliwa na maswali makali bungeni, wakati wabunge walipotaka majibu jinsi anavyokabiliana na wizi wa mamilioni ya dola kutoka kwenye shamba lake...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Majeshi ya Urusi yamewanywa wanajeshi wa Ukraine zaidi ya 1200 ktk masaa 24 yaliyopita katika majaribio ya Ukraine kutaka kurejesha miji iliyokombolewa na Urusi toka kwenye utawala wa waNazi...
10 Reactions
43 Replies
4K Views
Shirika la Ndege la Ufaransa, limewasimamisha kazi marubani wake wawili wa Air-France kwa kosa la kupigana wakati wakirusha ndege ya Airbus A320 kutoka Geneva kwenda Paris mwezi Juni. Wafanyakazi...
2 Reactions
12 Replies
2K Views
Ofisi ya Waziri Mkuu wa zamani Mahathir Mohamad imethibitisha kuwa kiongozi huyo amekutwa na maambukizi hayo na leo asubuhi amelazwa katika Taasisi ya Kitaifa ya Moyo kwa uchunguzi kama...
0 Reactions
0 Replies
650 Views
Agosti 30, wakazi wa mji wa Jackson kwenye jimbo la Mississippi, Marekani ambao hivi karibuni walikumbwa na mafuriko, sasa wanakabiliwa na tatizo lingine la ukosefu wa maji ya bomba. Kwa mujibu...
1 Reactions
1 Replies
657 Views
Waziri wa ulinzi wa UK amesema kuwa mmpango wa Rusia wa kuongeza idadi ya wanajeshi ikijumuisha kuwabembelea wafungwa kuingia vitani hakutarajiwi kuongeza mafanikio katika mzozoz wake na Ukraine...
1 Reactions
12 Replies
2K Views
Video inayonyesha vikosi vikielekea kufanya counter-offensive ila mwisho wake umekuwa mbaya kwao.kwa mujibu wa vyanzo vya habari kikosi hiki asilimia 90 ni R.I.P kwa sasa. Mpaka sasa uwongozi wa...
4 Reactions
131 Replies
6K Views
Watu 18 wamekufa huku darzeni wengine wakijeruhiwa nchini Madagascar ,baada ya polisi kufyatua risasi ili kutawanya kundi la watu waliokuwa wamekasirishwa kwa kutekwa nyara kwa mtoto mwenye...
0 Reactions
0 Replies
647 Views
Mpaka sasa Putin anaendelea kusaka misaada kutoka kote ili adhulumu kainchi kadogo jirani yake, lakini kila msaada anaopewa unaangukia pua, drones alizopewa na taifa la kidini la Iran zimepata...
1 Reactions
5 Replies
782 Views
Na Pili Mwinyi Pendekezo la “Ukanda Mmoja, Njia Moja” ni mpango kabambe uliotolewa na rais Xi Jinping wa China kwa ajili ya kuwa na mtandao wa reli, barabara na bandari duniani pamoja na miundo...
2 Reactions
0 Replies
746 Views
Aiseee hii habari ya Taleban imenshangaza Sana. Taleban wanataka kuongeza kikosi kingine maalum cha wanaojitoa muhanga (hawa ni wale wanaojilipua) ndani ya Jeshi Lao. Wanasema watatumika kwenye...
6 Reactions
74 Replies
4K Views
Wakati vita ikiendelea Vizuri na malengo yetu kutimia bwana Putin amemuweka Pembeni waziri wake wa Ulinzi Shoigu. Na majenerali wameanza kumruka kutoa ripoti (Chain of Command) hivyo anabaki kama...
4 Reactions
10 Replies
1K Views
Utawala wa Biden umeomba idhini Bunge la Congress kuruhusu kuiuzia Taiwan Makombora ya kuzamisha Meli, Makombora ya kulipua ndege pamoja na Rada za kisasa za uchunguzi kwenye dili la thamani ya...
2 Reactions
21 Replies
2K Views
Katika kuendelea kukiwasha kwa wana Magharibi amepitsha amri akishirikiana na Bunge ndio Mzee la Urusi (DUMA) Kuwafungia kabisa kuingia katika ardhi takatifu ya wavaa kobazi. Mmiliki wa Meta Mark...
5 Reactions
23 Replies
2K Views
Yess! Mwamba huyu hapa Sasa, ukimuona tu unajua kazi kazi, "Wanajeshi wa Urusi lazima watoroke ikiwa wanataka kunusurika" Rais Zelensky amesema.
2 Reactions
14 Replies
1K Views
Mamlaka za Ghana zinachunguza kifo cha Mwanaume mmoja kilichotokana na kushambuliwa na Simba katika bustani ya Wanyama Jijini Accra ikidaiwa alikuwa na lengo la kuiba Watoto wa Simba. Uongozi wa...
0 Reactions
3 Replies
872 Views
Aisee, hii ni kufuru sasa! Majeshi ya Ukraine yamejaribu kushambulia majeshi ya Urusi huko Kherson, matokeo yake Zelensky kapoteza wanajeshi zaidi ya 560, vifaru 26, armoured vehicles 32 na ndege...
12 Reactions
86 Replies
6K Views
Takriban watu 15 wameuawa na makumi kujeruhiwa katika mapigano kati ya vikosi vya usalama vya Iraq na wafuasi wa kiongozi mwenye nguvu wa Kishia Muqtada al-Sadr, baada ya wafuasi hao kuvamia ikulu...
2 Reactions
3 Replies
828 Views
Back
Top Bottom