Putin awashushia kitu kizito Mmiliki wa Facebook na Mtoto wa Biden

Pearce

JF-Expert Member
Dec 15, 2018
577
1,381
Katika kuendelea kukiwasha kwa wana Magharibi amepitsha amri akishirikiana na Bunge ndio Mzee la Urusi (DUMA) Kuwafungia kabisa kuingia katika ardhi takatifu ya wavaa kobazi. Mmiliki wa Meta Mark Zuckeberg na Hunter mtoto wa Biden.

Wakijumuisha na raia wengine zaidi ya 900 wa Marekani na nchi za Magharibi

Bwana Putin ambae amekuwa akijinasibu "mahali ambapo ugomvi haukwepeki kuwa wa kwanza kurusha ngumi" ajabu hata kurusha konzi kwa kanchi kadogo tena ambaye ni jirani yake Estonia(amemvimbia kwa kujirudia) ameshindwa.

Si ajabu baada ya interejensia yake kumwambia Nuclear za nchi za Magharibi na Marekani zimeelekezwa miji yote ya Urusi.

Huku akiendelea tafuta namna yoyote ya kurusha ngumi akajaribu kuwekea Mabomu kinu cha Nyuklia cha Zaphorizhzhia akilipue halafu atumie Janja ya Ngedere kulaumu Ukraine, bila kupepesa akatonywa akithubutu atakuwa kaamsha articles namba 5 ndoto yake ya kutisha ya Jinamizi kumjia.

Bado akiendelea kutafuta askari wa kusogeza vita mpaka muujiza tegemezi wa msimu wa baridi kuanza ila mambo yabadilike. Bado anawahitaji warusi wa Buza Tandika na wa Kwamnyamani waende kujitolea katika mapambano

Na log off Z
Salamu kwa Mrusi wakupurizwa
 
Chanzo cha taarifa please
Na log off Z
Screenshot_20220829-143225.jpg
 
Vipi umetafuta cha kuposti umekosa nini??Habari ya lini hii wewe??
 
Meanwhile, Ukraine has accused Russian troops of shelling the grounds of the Zaporizhzhia nuclear power plant again over the past 24 hours. But Moscow in turn says Ukrainian forces have been shelling the plant.

The head of the plant's Ukrainian operator, Petro Kotin of Enerhoatom, has warned that radiation could be released locally if missiles hit the spent fuel stored beside the reactors.
"As a result of periodic shelling, the infrastructure of the station has been damaged, there are risks of hydrogen leakage and sputtering of radioactive substances, and the fire hazard is high," Enerhoatom said on Telegram.
Local officials have also reported that Russian artillery is firing at Ukrainian towns across the Dnipro river from the plant.

Also on Sunday, the Ukrainian army shelled a factory in the Russian-occupied town of Nova Kakhovka in Kherson region. Serhiy Khlan, a senior Ukrainian official in the region, said Russian troops were using it as a military base.
The BBC is unable to independently verify the claims on either side.
 
Katika kuendelea kukiwasha kwa wana Magharibi amepitsha amri akishirikiana na Bunge ndio Mzee la Urusi (DUMA) Kuwafungia kabisa kuingia katika ardhi takatifu ya wavaa kobazi. Mmiliki wa Meta Mark Zuckeberg na Hunter mtoto wa Biden.

Wakijumuisha na raia wengine zaidi ya 900 wa Marekani na nchi za Magharibi

Bwana Putin ambae amekuwa akijinasibu "mahali ambapo ugomvi haukwepeki kuwa wa kwanza kurusha ngumi" ajabu hata kurusha konzi kwa kanchi kadogo tena ambaye ni jirani yake Estonia(amemvimbia kwa kujirudia) ameshindwa.

Si ajabu baada ya interejensia yake kumwambia Nuclear za nchi za Magharibi na Marekani zimeelekezwa miji yote ya Urusi.

Huku akiendelea tafuta namna yoyote ya kurusha ngumi akajaribu kuwekea Mabomu kinu cha Nyuklia cha Zaphorizhzhia akilipue halafu atumie Janja ya Ngedere kulaumu Ukraine, bila kupepesa akatonywa akithubutu atakuwa kaamsha articles namba 5 ndoto yake ya kutisha ya Jinamizi kumjia.

Bado akiendelea kutafuta askari wa kusogeza vita mpaka muujiza tegemezi wa msimu wa baridi kuanza ila mambo yabadilike. Bado anawahitaji warusi wa Buza Tandika na wa Kwamnyamani waende kujitolea katika mapambano

Na log off Z
Salamu kwa Mrusi wakupurizwa
Soma na hii ya leo. Ubongo uchangamke vzr.

mkuu unawez muona kichaa ebu tusubir tuone hatma na mtu kama yule hatoi mawazo peke yake nilazim aketi ndio azungumze muhimu.nikutulia
hata ww huwaz kwenda Urusi , jiuliz huyo mtoto wa Biden anafuata nn Urusi ? Ulaya ataenda nan ? warus wenyew wanapambana kwenda either Marekan au Ulaya
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom