International Forum

News and Stories from rest of the World

On JF:

Endapo Sheria hiyo itapitishwa, nchi hiyo itakuwa ya pili barani Afrika baada ya Zambia kuwapa wanawake likizo ya hedhi na itaanza kwa awamu ya wafanyakazi wa serikali ili kutathmini ufanisi wake...
0 Reactions
1 Replies
531 Views
Septemba Mosi, mji wa Moscow ulipata mshituko baada ya magari yenye rangi ya njano(Cabs) kufurika city centre baada tax zote kupata call kutoka kwa mtu mmoja kupitia app ya Rusian Andex, ambaye...
5 Reactions
4 Replies
1K Views
That's right, kuna kajamaa kamoja jana kaliuliza "Russia atakula nini" 😂😂😂😂 Ukisikia nguvu ya intelligence kabla ya maamuzi ndio hii, unafanya INFORMED DECISION, Ndio faida ya kuwa na kiongozi...
7 Reactions
31 Replies
2K Views
Serikali ya Gambia inachunguza iwapo vifo vya Watoto vilivyosababishwa na figo ndani ya miezi mitatu iliyopita kama vimesababishwa na dawa ya kushusha homa na kutuliza maumivu (paracetamol). Bado...
0 Reactions
0 Replies
722 Views
Kuna video inasambaa ikionyesha Putin anavyopata mrejesho wa vita kutoka kwa jenerali, huku amekumbatia meza kwa huzuni, huyu mwana kaanzisha shughuli ambayo inamtesa sana kwa kweli.....
3 Reactions
24 Replies
3K Views
Na humo wameuawa kweli kweli pamoja na zana zingine lukuki, ni mwendo wa mbele kwa mbele, Ukraine wanajitoa mhanga vizazi vya kesho vitaendeleza jamii ila lazima wakomboe ardhi yao.... HIMARS...
3 Reactions
15 Replies
2K Views
Putin ametishia pia kusitisha kabisa usambazaji wa nishati kwenda Ulaya iwapo Umoja wa Ulaya utaweka ukomo na hatimaye kushusha bei ya gesi ya Urusi. Katika hotuba iliyokuwa na hisia kali...
6 Reactions
18 Replies
1K Views
Mamlaka za Jimbo la Assam lililopo Kaskazini-Mashariki mwa Nchi hiyo zimefikia uamuzi wa kufunga shule 34 baada ya Wanafunzi wengi kufanya vibaya katika mitihani na kuwahamishia katika shule...
0 Reactions
1 Replies
985 Views
Haya maeneo yanaendelea kumtoka Mrusi puani, kajiingiza kwenye nchi ya watu kijinga jinga.... Silaha za Korea Kaskazini hazitomsaidia kitu... Russian Telegram channels are lighting up with...
6 Reactions
32 Replies
3K Views
Na Pili Mwinyi Ni miaka tisa sasa tangu rais wa China Xi Jinping atangaze pendekezo la “Ukanda Mmoja, Njia Moja” duniani, ambalo mbali na mambo mengine pia linajikita zaidi katika uwekezaji wa...
0 Reactions
3 Replies
982 Views
Na Fadhili Mpunji Moja kati ya mambo ambayo China iliyataja mwanzoni wakati wa kuanzishwa kwa baraza la ushirikiano kati ya China na Afrika FOCAC, ni kuanzisha maeneo maalum ya uchumi (Special...
0 Reactions
0 Replies
561 Views
Wakati nikitafakari viongozi wa kiafrika dhidi ya miradi inayowahusu wananchi wa kawaida huko mtaani, kwa mfano miradi kwa sehemu mbalimbali huko mikoani, utasikia choo au bafu limetumia 230...
10 Reactions
42 Replies
5K Views
Reuters.com This content was produced in Russia, where the law restricts coverage of Russian military operations in Ukraine. * Russia will be stronger – Putin * Putin says the future is in Asia...
7 Reactions
33 Replies
3K Views
Israel imeapa kuishambulia kijeshi Iran, ikiwa mazungumzo baina ya nchi hiyo na mataifa yenye nguvu duniani yatashindwa kuzuia mchakato wa Iran wa kuunda silaha za nyuklia. lakini Iran husisitiza...
11 Reactions
96 Replies
6K Views
Wakati hali ikionekana kuwa shwari, mvutano wa kisiasa umeongezeka tena, kufuatia tuhuma za baadhi ya Viongozi Wakuu kupanga njama ya kumng'oa madarakani Rais Evariste Ndayishimiye Mnamo Agosti 2...
1 Reactions
19 Replies
3K Views
Super pawa la Kibisa. linapelekeshwa Walishindwa kuiteka kyev ilio lindwa Kwa Javellina tu. Wamekimbilia sehem ambapo palishaoza napo bado wanahenya kupachukua. Walitegemea Ukraine itaweka nguvu...
10 Reactions
44 Replies
3K Views
Ivan Neparatov (36) ambae alikuwa jela akiwa na kesi tano za mauaji akitumikia kifungo cha miaka 25 jela. Katika harakati za kuongeza jeshi la Urusi nae alikuwa mnufaika wa uhuru (parody) na...
1 Reactions
2 Replies
713 Views
Putin atoa msimamo wake kuhusu Urusi, asema anaifikiria Urusi kama nchi ya Kikristo Putin ameendelea kuweka wazi kuhusu Urusi.Katika siku za hivi karibuni kabisa,amesema anaifikiria Urusi kama...
4 Reactions
62 Replies
4K Views
Kipindi Cha corona wote tulishuhudia ulimwengu wote ukilazimishwa kutii maagizo ya kukaa ndani (lockdown) na nguvu inayotenda Sirini ya mpinga Kristo. Mdogo mdogo tumeshuhudia jinsi Russia...
2 Reactions
4 Replies
747 Views
Ujerumani ndiyo itakuwa nchi ya kwanza kuomba poo kwa Urusi kwa namna hali ya mfumuko wa bei unavyo hatarisha uchumi wa nchi yao. Kwa mfano kuanzia leo mabango yote ya matangazo yatawashwa...
24 Reactions
54 Replies
4K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…