Urusi inaigeuza Ukraine eneo la kutekeleza hukumu ya Kifo kwa raia wake Waharifu

Pearce

JF-Expert Member
Dec 15, 2018
577
1,381
Ivan Neparatov (36) ambae alikuwa jela akiwa na kesi tano za mauaji akitumikia kifungo cha miaka 25 jela.

Katika harakati za kuongeza jeshi la Urusi nae alikuwa mnufaika wa uhuru (parody) na malipo ya fedha kwa Kujiunga na Jeshi la Urusi upande wa Mamluki (Wagner Group). Na kupelekwa Mstari wa Mbele ambapo Kageuzwa kimiminika (kifo ambacho Maiti utoweka pia)

Anakumbukwa pia kwa kupata nishani mbalimbali za Heshima kutoka kwa bwana Putin pamoja na zile alizozipata kutoka kwa waasi wa Donesky.

Kwa Udhamini wa Na "log off Z" na yule Mwenzie wa "Nonsense"

download.jpg
 
Back
Top Bottom