Israeli imeapa kuishambulia Iran

Israeli imeapa kuishambulia Iran

Mrengwa wa kulia

JF-Expert Member
Joined
Mar 21, 2022
Posts
1,145
Reaction score
3,765
Israel imeapa kuishambulia kijeshi Iran, ikiwa mazungumzo baina ya nchi hiyo na mataifa yenye nguvu duniani yatashindwa kuzuia mchakato wa Iran wa kuunda silaha za nyuklia.
lakini Iran husisitiza kuwa mpango wake wa atomiki ni kwa ajili ya matumizi ya amani.

Jenerali Hosseini Salami ametoa onyo kwa Israel akisema majibu ya Iran ni ya uchungu, na kwamba Israel inatengeneza ''mazingira ya kujiangamiza yenyewe.'' Kamanda huyo ameendelea kuitisha Israel, akisema inajua kitakachoisibu ikiwa itajaribu kufanya ''matendo maovu.''
maonyo hayo ametoa katika maandamano yaliyo fanyika Irani kuadhimisha siku ya quds ambayo iran huadhimisha kuiunga mkono Palestina inayokaliwa na Israeli.

Iran imekuwa na utamaduni wa kuiadhimisha siku hiyo kila Ijumaa ya mwisho ya mfungo wa Mwezi Mtukufu wa Ramadhani, tangu mwanzoni mwa Mapinduzi ya Kiislamu ya mwaka 1979, yaliyoongozwa na hayati Ayatollah Ruhollah Khomeini. Inajulikana rasmi kama siku ya Quds, neno Kiarabu kumaanisha Jerusalem.

Wakati huo huo.

Shirika la habari la IRNA limemnukuu mwanajeshi mmoja wa cheo cha jenerali kutoka kikosi cha Walinzi wa Mapinduzi, kijulikanacho kama jeshi la Quds, akisema kuwa Iran italiunga mkono kundi lolote lililo tayari kuipiga vita Israel.

''Tunaunga mkono mapambano yoyote ya kikosi kilichoundwa kwa ajili ya kupigana na uongozi wa kihalifu, na tuko tayari kushirikina na jumuiya yoyote iliyo tayari kuupiga vita uongozi huo dhalimu,'' amenukuliwa kusema Jenerali Esmail Ghaani katika mji wa Mashhad ulio kaskazini mashariki mwa Iran.

SOURCE:
RTRE, APE
DW.

Amsha amsha zimerudi duniani.
 
Nini kwa jino

Hayo ni maneno tu tulishayazoea. Israel inaitwa niguse ninuke. Hapo ni sawa na kuchezea sharubu au mboni ya USA kisha ukadhani utabaki salama.

Israel sio Ukraine useme utaitisha iogope mazma.
Israel kwa sasa imeimarika mno kuliko ile iliyochakaza mataifa ya kiarabu kwa muda wa wiki moja na kuyashinda yote.

Ngoja nisubiri waarabu na waajemi wa Tandahimba, Buhigwe na Kishimundu waje kunibana mbavu.
 
Israel hana uwezo kumpiga Iran. Ikiwa Hizbollah tu wa Lebanon wanawashinda,wataweza kupigana na Iran. Mwaka wa 40 huu anatishia tu. Si aende!
Sa si apigwe tu tuone[emoji23][emoji23]
Waarabu walipigwa ndani ya siku6 itakuwa huyo chizi Hezbollah ambaye kama alivyo Hamasi anajificha kwa raia.

Jiulize kama nchi kamili zaidi ya 5 ukijumlisha misaada ya nchi zoote za kiarabu zilipigwa in just six days wakasalimu amri Hezbollah ana uwezo gani?

Ubakizage hata kauwezo kadooogo kakuvukia road
 
Shirika la habari la IRNA limemnukuu mwanajeshi mmoja wa cheo cha jenerali kutoka kikosi cha Walinzi wa Mapinduzi, kijulikanacho kama jeshi la Quds, akisema kuwa Iran italiunga mkono kundi lolote lililo tayari kuipiga vita Israel.

''Tunaunga mkono mapambano yoyote ya kikosi kilichoundwa kwa ajili ya kupigana na uongozi wa kihalifu, na tuko tayari kushirikina na jumuiya yoyote iliyo tayari kuupiga vita uongozi huo dhalimu,'' amenukuliwa kusema Jenerali Esmail Ghaani katika mji wa Mashhad ulio kaskazini mashariki mwa Iran.

Sasa siwangeanza wao kupigana na izrael ili waungwe mkono na palestina na syria pia, kwanini kusubiri mbaka ajitokeze mtuaanzishe vita alafu ndio uje nyumanyuma.

That's cowardness!.
 
Wao wanajitengenezea nuclear kwa matumiz yao ,ya umeme na silaha Kama ambavo China ,Korea na mataifa mengine yameamua kutengeneza bila kusikiliza kelele za kimataifa,Kwan kunashida gani kutengeneza manati kwa ajili ya kuulinda mpunga wako??

Iran inasema inaandaa silaha zao ambazo zitatumika wakivamiwa ,hii ndo inafanya Kila mtu kumuogopa mwenzie na kuzuia kuvamiana kishamba, ,
Sabab kubwa ya Palestine kupigwa Ni kuzuiwa kuimiliki silaha kubwa na mabom na mandege ya kivita , hii huwafanya wanapigwa siku zote yaan unampora panga af unamuwekea gun kisogoni ,u know
Ko wao hawana shida na mtu , hawawez kuvamia Palestine kutoa msaada Kwan wataonekana wachokoz, ila wanajitengenezea silaha zao ambazo watazitumia wakivamiwa ,shida ipo wapi hapo?

Kama rusia Wana zao, Israel Wana zao, USA Wana zao, China ,Japan na wengineo wanazao kwann Iran wasiwe na zao....ili duniani tuheshimiane lazima Kila mtu awe na silaha konk , Leo hii Kuna Aman kiaina baada ya Putin kutishia kuiachia nuclear , bila hivo wangesha mvamia na kupandisha Vita vya tat vya dunia, kaumbika silaha nzito hizo hzo ndo zilimaliza WWII ,

Mm naona Kila mtu awe na chake ili tuheshimiane bwana...nadhan Kama Palestine wangeruhusiwa na dunia japo kuimiliki silaha nzito kidg tu ,dunia ingesungumza vingine ..mnataka wasitengeneze silaha ili walipigwa tuseme wamepigana na taifa teule au.. mammaer Kila mtu akomae kivyake dunia so sehem salama Tena, Iran hawawez wasikiliza viongoz wa dunia akat mataifa yenye nguvu Yana silaha anazopigwa Pini , na hiki ndicho kimezifanya China ,Japan na Korea zote kutonsikiliza mtu Kwan Ni Kama unafiki tu
 
Mm naona mtu hata ukiwa na nyukilia watu wakiamua kukuchapa wanakuchapa tu hata nyuklia isikusaidie chochote mfano upo urusi
Amechimba biti la kusema ooh atakaye ingilia tu vita ya Ukraine namlenga na nyukilia lakini urusi anaendelea kupewa kichapo kama kawaida.
Kwahiyo iran kupitia urusi inabidi ajifikirie upya kuhusu kumiliki nyukilia.
 
Mwendawazimu haruhusiwi kucheza na panga...
 
Hayo ni maneno tu tulishayazoea. Israel inaitwa niguse ninuke. Hapo ni sawa na kuchezea sharubu au mboni ya USA kisha ukadhani utabaki salama.

Israel sio Ukraine useme utaitisha iogope mazma.
Israel kwa sasa imeimarika mno kuliko ile iliyochakaza mataifa ya kiarabu kwa muda wa wiki moja na kuyashinda yote.

Ngoja nisubiri waarabu na waajemi wa Tandahimba, Buhigwe na Kishimundu waje kunibana mbavu.
Kwani nani aliye mtishia mwenzake kati ya Iran na Israel ?
Israel ndio iliyo tishia kuishambulia Iran na Iran imejibu.

Sent from my TECNO BB4 using JamiiForums mobile app
 
Mm naona mtu hata ukiwa na nyukilia watu wakiamua kukuchapa wanakuchapa tu hata nyuklia isikusaidie chochote mfano upo urusi
Amechimba biti la kusema ooh atakaye ingilia tu vita ya Ukraine namlenga na nyukilia lakini urusi anaendelea kupewa kichapo kama kawaida.
Kwahiyo iran kupitia urusi inabidi ajifikirie upya kuhusu kumiliki nyukilia.
Kitu kama huna ufahamu nacho uwe unakaa kimia maana utaonekana kituko, hivi unaijua nyukilia au unaisikia tu?

Nchi ikisha kuwa na silaha za nyukilia hauwezi kuiletea mazoea ya ******* lasivyo yata kukuta ya kukuta.

Hivi unadhani Ukraine ingekuwa na silaha za nyukilia Urusi ingethubu kufanya hichi anacho kifanya sasa hivi?

Sent from my TECNO BB4 using JamiiForums mobile app
 
Sa si apigwe tu tuone[emoji23][emoji23]
Waarabu walipigwa ndani ya siku6 itakuwa huyo chizi Hezbollah ambaye kama alivyo Hamasi anajificha kwa raia.

Jiulize kama nchi kamili zaidi ya 5 ukijumlisha misaada ya nchi zoote za kiarabu zilipigwa in just six days wakasalimu amri Hezbollah ana uwezo gani?

Ubakizage hata kauwezo kadooogo kakuvukia road
Hizibulah na Israel wameshapigana 2006 kwa zaidi ya mwezi na kila mtu aliona kilicho tokea kwa hiyo hakuna jipya.

Sent from my TECNO BB4 using JamiiForums mobile app
 
Kitu kama huna ufahamu nacho uwe unakaa kimia maana utaonekana kituko, hivi unaijua nyukilia au unaisikia tu?

Nchi ikisha kuwa na silaha za nyukilia hauwezi kuiletea mazoea ya ******* lasivyo yata kukuta ya kukuta.

Hivi unadhani Ukraine ingekuwa na silaha za nyukilia Urusi ingethubu kufanya hichi anacho kifanya sasa hivi?

Sent from my TECNO BB4 using JamiiForums mobile app
Hivi unaweza ukaniambia imekuwaje urusi mpaka saiz imeshindwa kuwalushia makombola ya nyukilia hao anaosema wanaisaidia Ukraine.
 
Back
Top Bottom