Iran ilikuwa ikijivunia kuficha na ku hifadhi Mabomu na Makombola yao chini ya ardhi mpango wao huo umebuma baada ya tecknolojia ya Israel kuyagundua yalipo na kuwaangamiza.
Hili ni pigo kubwa...
Wanaukumbi.
Waziri wa Nishati wa Marekani Chris Wright anasema kuwa jeshi la wanamaji la nchi yake haliko tayari kusindikiza meli za mafuta kupitia Mlango wa bahari wa Hormuz.
Hakuwa akisema...
Iliyoorodheshwa: Wauzaji Wakubwa wa silaha duniani.
Biashara ya silaha duniani imejikita zaidi miongoni mwa nchi chache, huku Marekani ikiwa mbele sana kuliko wasambazaji wengine wote. Kuanzia...
Marekani amekuwa anaiwaza na kujipanga na vita dhidi ya Iran kwa miaka zaidi ya 40 sasa.
Siku zimekwenda, nyakati zimefika, na vita nayo imefika. Pande zote mbili zipo kwenye "theater of war"...
Ukisoma Waamuzi 7 kuanzia 22, Wamidiani walidhamiria kuifuta Israel, wakaja wengi mno yaani kwa silaha na kwa walivyokua wamejiandaa, wangeifuta Israel isahaulike, ila Gidioni kwa idadi ya...
Kumekuwepo na propaganda nyingi sana Jamii forums
1. Serikali ya Iran haipendwi
2. Viongozi wamejificha kwa kuogopa USA.
3. Hakuna air defense wala chochote cha kulinda nchi dhidi ya...
Chama cha Scottish National Party (SNP) kimepitisha azimio linalounga mkono uhuru wa Scotland, likiitaka Serikali ya United Kingdom kuanza maandalizi ya kujitoa kwa Scotland katika Muungano wa...
Makampuni kadhaa makubwa ya mafuta pamoja na makampuni ya usambazaji wa mafuta na petroli yamesitisha kwa muda usafirishaji wa mafuta, petroli na bidhaa kupitia Strait of Hormuz kutokana na...
Ishu inaendelea kuwa serious....It seems kuna majasusi wa Mossad wanaofanya kazi kwa niaba ya Iran wamemuuza
Last public appearance yake ilikua alivyoenda kutembelea sehemu palipoathirika na...
Uajemi na umedi ni Dola kubwa lilotawala ulimwengu miaka mingi kabla ya Kristo
Baada ya hapo ndipo warumi wakatawala Dunia Kwa muda mrefu sana Hadi Leo alama zake tunaziona
Baada ya Rumi...
Trump anaomba mazungumzo wala sio Iran, sababu ya Trump kuomba mazungumzo silaha zao zimesambaratishwa na Iran. Pia kuna habari wanaficha kuongelea walio kufa na walio umia kuna nchi moja uarabuni...
Hotuba yake imesomwa kwenye vyombo vya habari na haya ndiyo yaliyojiri:-
Kiongozi Mkuu mpya wa Iran amezungumza sasa hivi, na ni mbaya zaidi kuliko nilivyotarajia. Kauli kuu:
1.“Vituo vyote vya...
Sri Lanka kurejesha mabaki ya wanamaji 84 wa Iran waliouawa katika shambulio la Marekani.
Sri Lanka inarejesha mabaki ya wanamaji 84 wa Iran waliokufa wakati frigate yao ilizamishwa siku tisa...
Chama cha SNP kimepitisha azimio linalotaka Serikali ya Uingereza ianze maandalizi ya kuondoka kwa Skotland kutoka Umoja wa Madola. Azimio hilo, lililotolewa na chama cha jimbo la Glasgow...
Nyumba za kifahari za kiongozi mkuu mpya wa Iran Mojtaba Khamenei jijini London zilinunuliwa kwa mkopo kutoka kwa kampuni inayomilikiwa na Israel na Uingereza kwa mujibu wa
uchunguzi wa Shomrim...
Rais Putin asaini waraka wa kuamuru majeshi ya Russia kuingia Ukraine kulinda amani ktk majimbo-yenye-uasi ya Luhansk na Donetsk
Rais Vladimir Vladimirovich Putin wa Russia amesaini tamko rasmi/...
Ikumbukwe kaka yake naye aliuwawa kishujaa wakati wa Entebe operation
Israel imekuwa na mashujaa tangu enzi za Daudi Samson na Leo Netanyahu ameingia kwenye hiyo historia ya mashujaa wakubwa wa...
Walijikusanya wote pamoja na kuanza kuandamana huku wakilaani Marekani na Israel na kule kubwatuka kwao akbar akbar, ghafla kukalipuka mlipuko wakapoteana.... hawa hawajifunzi kwamba Myahudi ni...
Kati ya Marekani na Jamhuri ya Kiislamu ya Iran. Nielezee kwa kifupi sababu halisi za vita hivi, ili mtu akijitia upumbavu iwe ni shauri yake. Maana kuna watu tayari wamejazwa punzi kuwa Iran ni...
HAPA KATI MH TRUMP ALISEMA BAADA YA IRAN KITUO KINACHOFWATA
CUBA
SASA RAIS MIGUEL KAONA ISIWE TABUU
HERI...NUSI SHARI KULIKO SHARI ZIMA
KITUO KINACHOFWATA KIMEGOMA
UNAHISI NANI ANAFWATA ??CUBA...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.