International Forum

News and Stories from rest of the World

On JF:

Jambo la kawaida kwa mataifa tajiri kama USA na URUSI kusikia kauli hii" NDEGE VITA AINA HII ILISTAFISHWA" Je ndege za aina hii zinauzwa chuma chakavu au huwa wanazipeleka wapi? Wataalam wa...
4 Reactions
18 Replies
388 Views
Wameambiwa wasipoondoka ndani ya masaa 24 watakutana na hatma yao!! Aisee mambo yanaenda kuwa serious zaidi [emoji837] [emoji732]️URGENT [emoji837][emoji1130][emoji1134] EVACUATION NOTICE FOR TEL...
5 Reactions
22 Replies
492 Views
Kulingana na taarifa rasmi za kijeshi la wanamaji la Marekani US NAVY zilizotolewa kuhusiana na tukio la kuzuka kwa moto ndani ya meli ya USS Gerald R. Ford (CCVN-78): Moto huo ulitokea tarehe 12...
3 Reactions
44 Replies
917 Views
Kamandi la Jeshi la Marekani (CENTCOM) imesema Machi 2, 2026 kuwa mfumo wa ulinzi wa anga wa Kuwait kwa bahati mbaya ulitungua ndege tatu za kivita za Marekani ikiwa vita dhidi ya Iran na Israel...
1 Reactions
67 Replies
1K Views
Imekuwa too much sasa, kila kona uwakutapo waarabu wa Mbwinde utawakuta wakipeana habari za Netanyahu kuuawa. Ni wapi wanazitoa hizi habari ?
0 Reactions
12 Replies
267 Views
Maandamano makubwa yameanza Israel ya kutaka Regime Change Video zinazosambaa mitandaoni zimewaonyesha wananchi wakifanya maandamano makubwa Polisi wanaonekana kutumia mabomu ya kurushwa kwa...
1 Reactions
4 Replies
243 Views
Ripoti za uhakika zinadai Majitaka Khamenei alihamishiwa Moscow kwa siri baada ya kujeruhiwa vibaya katika mashambulizi ya Israeli mnamo Februari 28. Kulingana na Al-Jarida, Vladimir Putin alitoa...
7 Reactions
23 Replies
435 Views
🇷🇺🇷🇺🇷🇺🇷🇺🇮🇷🇮🇷🇮🇷🇮🇷 Bunge la shirikisho la Russia (DUMA) limepitisha na kuongeza muda wa ushirikiano wa Kijeshi na Iran ikiwa na vipengele vya kuingilia Vita yoyote endapo mshirika atashambuliwa na...
21 Reactions
125 Replies
5K Views
Iran wamerusha makombora kwa nguvu zao zote na kuelekeza kwenye makazi ya raia wa Israel, ila mpaka sasa wamefaulu kuua mama mmoja tu, hata hivyo upande wa Iran hakuna kiongozi aliyesazwa hadi...
3 Reactions
19 Replies
382 Views
Baraza kuu la majaji la shirikisho (federal grand jury) limetoa hati ya mashtaka yenye makosa mawili dhidi ya raia wa Ghana kwa tuhuma za kuwaibia wazee zaidi ya dola milioni 8 kupitia utapeli...
1 Reactions
2 Replies
195 Views
Anasema utawala wa Iran utaona tu bendera ya Marekani yenye nyota na mistari pamoja na nyota ya Daudi ya Israel, ambazo anasema ni ndoto mbaya zaidi kwao. Hegseth amesema mashambulizi ya...
5 Reactions
22 Replies
490 Views
Wale tunaopenda mambo ya geopolitics, vita, na siasa za kimataifa, hebu tufikirie hatua inayofuata. Mara nyingi humu tunakesha kujadiliana, kubishana na kuchambua matukio ya dunia kuanzia migogoro...
2 Reactions
4 Replies
164 Views
Hyo ndege ilodondoka na kuua wanamgambo 6 wa kimarekani ilitunguliwa na kombora la wanaharakati wanaoungwa mkono na Iran Na walitumia drone mpya za Iran ambazo zina shape ya kombora la kutungulia...
3 Reactions
4 Replies
167 Views
Watanzania ni watu hatari na hamstahili kusikilizwa na sitahili yenu ni kulaaniwa kabisa Wakati wa tetesi za vita kabla ya vita inayoendelea Watanzania wengi hasa kutoka Misikitini, walikuwa...
4 Reactions
16 Replies
341 Views
Miongoni mwa marabi maarufu na wenye misimamo mikali dhidi ya Wapalestina na wasiokua wayahudi Jamaa alitamani Gaza ifutwe yote, sio hivyo tu aliamini watu wasio wayahudi waliumbwa kuwa watumwa...
7 Reactions
22 Replies
587 Views
Kuna taarifa nzito kutoka Washington. Mpango wa tuzo wa Wizara ya Mambo ya Nje ya Marekani umeweka zawadi kubwa kwa yeyote atakayetoa taarifa zitakazosaidia kuwabaini au kuwafuatilia viongozi wa...
2 Reactions
1 Replies
89 Views
Mtu kajenga military base kubwa kazijenga kwa karibia miaka 45 na kaspend mabilioni ya dollar halafu Iran anatumia kombora moja tu la Korramshahr 4 lenye kubeba vichwa 80 na uzito wa tani 15...
2 Reactions
7 Replies
420 Views
South Africa’s leading low-cost airline, FlySafair, will introduce a temporary fuel surcharge as it grapples with a sharp rise in global jet fuel prices triggered by escalating tensions in the...
1 Reactions
1 Replies
158 Views
Shirika la la habari la Kimataifa Al Jazeera imetoa ripoti inayoonyesha kiasi gani Iran imeathirika katika mashambulizi yanayoendelea dhidi yake katika mashambulizi yaliyoanzishwa na Israel pamoja...
2 Reactions
5 Replies
191 Views
Jamaa wamelipua ndege 5 za US kwenye base ya US iliyopo Saudi Arabia https://x.com/i/status/2032598219906044416 BREAKING: Iranian missiles struck the Prince Sultan Air Base in Saudi Arabia...
5 Reactions
16 Replies
385 Views
Back
Top Bottom