International Forum

News and Stories from rest of the World

On JF:

Mgogoro wa Armenia na Azerbaijan upo mbioni kufufuka tena baada ya Armenia na Azerbaijan kulaumiana kufanya mashambulizi. Armenia inailaumu Azerbaijan kufanya mashambulizi ya mizinga na drones...
1 Reactions
2 Replies
884 Views
Jameni aliyemshauri Putin kuchokonoa nyuki sidhani kama atasamehewa...... To move away from relying on Russian energy, the European Union are increasingly turning to Africa for natural gas...
6 Reactions
48 Replies
4K Views
Wanajeshi wa Urusi ambao wamekuwa wakiyakimbia Mapigano makali katika mji wa Kharkiv dhidi ya Majeshi ya Ukraine wameacha nyuma mamia ya Silaha nzito Kama Vifaru(Tanks), Magari ya kurushia...
6 Reactions
25 Replies
3K Views
Wakati nchi za Ulaya zikihaha kutafuta mbadala wa gesi toka Urusi nchi za Africa hasa Nigeria kufaidika baada ya mradi ambao ulikufa muda mrefu wa kujenga bomba la gesi kwenda Ulaya kufufuliwa...
4 Reactions
31 Replies
2K Views
Hawaamini macho yao, wengi waliaminishwa ni operesheni ya siku chache ila imekua aibua ya taifa lote, hamna kitu huwachukiza Warusi kama taifa lao kushindwa kwenye mapambano, huwa wana kiburi sana...
8 Reactions
61 Replies
4K Views
Sekta ya kilimo katika bara la Afrika ni muhimu sana na inapaswa kupewa kipaumbile zaidi kwani kwa hivi sasa imekuwa ikiendelea kukua na kuleta mabadiliko mengi ya kiuchumi. Sekta hii ndio...
0 Reactions
2 Replies
586 Views
Cc: let the caged bird sings Kwa mara nyingine tena jeshi la Ukraine limejaribu kufanya shambulizi la kushtukiza jana la kutaka kuukamata mtambo wa nyuklia wa Zaporizhzhia uliopo Ukraine...
9 Reactions
13 Replies
1K Views
Chapter Six The Modern Narcotics Economy While it has long been a significant illicit sector in the Afghan economy, the narcotics industry is now the largest industry in Afghanistan. Poppies...
0 Reactions
0 Replies
680 Views
Siku zote ukiwa dhalimu lazima yakukute..... Russian troops were blown up by their own mines while responding to a fake call from pro-Ukrainian partisans early Monday morning, according to...
3 Reactions
6 Replies
1K Views
WHO wameshtushwa na mlipuko wa ugonjwa wa ndui katika nchi ya Zimbabwe hasa kutokana na idadi ya vifi vilivyosababishwa na mlipuko huo. Mamlaka zimeanza kutoa chanjo dhidi ya ugonjwa huo =====...
0 Reactions
0 Replies
531 Views
Russia umeuvunja Moyo wangu sehemu 01 Utawala wa Western ambao unategemea uchumi wa kiunyonyaji chini ya kivuli cha demokrasia na ustaarabu wa kimangharibi. Kumezifanya nchi nyingi kuwa tegemezi...
26 Reactions
164 Replies
14K Views
Imekua kawaida kila panapotokea pambano, baadhi yao kwa uwoga wa kupambana wanajipiga risasi kwenye miguu ili waondolewe kwenye vita na kulipwa. Wengi hawapigani kizalendo maana huu ugomvi...
4 Reactions
14 Replies
1K Views
Asema ni kosa kubwa sana limefanyika na litagharimu pakubwa, haamini macho yake majeshi ya Urusi yanaacha silaha za kila aina na kutoroka. Chechen ambao ni wapiganaji wa kiislamu walijitokeza...
9 Reactions
35 Replies
3K Views
Wizara ya ulinzi ya Urusi imekiri kuondoa wanajeshi wake Balakliya na Izyum, hii ni kutokana na mapigo wanayopokea kutoka kwa wazalendo wa Ukraine na huu ushindi umewapa mzuka mpya raia wa Ukraine...
4 Reactions
16 Replies
2K Views
Waziri Mkuu wa New Zealand Jacinda Ardern, ametangaza kuwa ni "wakati wa kuanza ukurasa mpya na kurudi kwenye maisha ya kawaida kwa kuondoa Sheria za Covid-19." Kupitia kwenye tangazo hilo,Waziri...
2 Reactions
5 Replies
528 Views
Jamaa damu zinavuja, yuko hoi.... Jameni ifike hatua Warusi watafute namna ya kumshawishi Putin aachie ujinga ili hizi aibu zipungue, ageuze majeshi yarudi nyumbani... Ukrainian media outlets...
7 Reactions
76 Replies
6K Views
Russian President Vladimir Putin appointed a new general to direct the war in Ukraine as the Russian military pulled its troops from the northern part of the country following a failure to take...
0 Reactions
2 Replies
955 Views
Aishutumu USA kwa kuipa Ukraine silaha ambazo zinampa shida kwenye kujaribu kuparamia Ukraine. Sasa hivi Warusi wamekwama kwenye mahandaki inakua vigumu kupiga hatua maana mziki wa HIMARS umekua...
6 Reactions
28 Replies
2K Views
Katika kukwepa aibu ya wameshaanza kuficha mazingira ya kifo chake ,[emoji1787][emoji1787][emoji1787] Lt. Col. Nicholas D. Goshen dies of natural causes in Eastern Europe By Mor Daniel Mathews...
0 Reactions
2 Replies
920 Views
Chuo Kikuu cha Stanford cha Marekani hivi karibuni kilitoa ripoti iliyofichua kuwa Marekani inatumia mitandao ya kijamii kupotosha maoni ya umma duniani kuhusu Xinjiang. Ripoti hiyo iliyotolewa...
0 Reactions
1 Replies
706 Views
Back
Top Bottom