Mavindozii
JF-Expert Member
- Oct 20, 2012
- 2,110
- 2,787
Mwaka 2014 Russia iliitwaa Crimea kutoka Ukraine , Waukeain wakapotezea . Baada ya SHETANI Putin kunogewa na kujiona mbabe akawa anaiwazia kuichukua mazima Ukraine Yote , kumbe mipango Yote wanafuatiliwa na Taifa kubwa USA na kuwapa taarifa zote muhimu wanajeshi wa Ukraine Wakajipanga , Mnamo Tarehe 24 February Russia ilishusha kile kikosi hatari cha parachute mjini Kyiv Ili wateke mji mkuu wa Ukraine . Huwezi amini kikosi chote sasa ni mbolea ya Alizeti .