Huyu mwamba namwaminia sana kwenye ,ukweli anasema hana biashara za kinafk amemwambia kabisa puttin kama unataka kufanya biashara achana na hiyo vita ,haikusaidii achana nayo tukae tupige michongo...
Ikiwa ni siku chache tangu habari zisambae kuhusu Ukraine kuwarudisha nyumba askari wa Urusi na kukombolewa kwa kilomita mraba zaidi ya 8000 imefahamika kuwa hizo ilikuwa ni habari za...
Hamna namna....imebidi
The German government has taken control of three oil refineries operating in Germany and owned by Russian oil giant Rosneft in an effort to forestall potential damage to...
Igweeee taarifa zisizo Rasmi kesho ni siku itakuwa ngumu kuanzia kwenye masoko ya hisa ya dunia sector ya mawasiliano.
Taarifa zinasema uwenda system zika down kwa masaa kadhaa wakati wa mazishi...
Michelle De Pacina
Mvulana mwenye umri wa miaka 10 amekamatwa nchini China kwa kumweka nyanyake kwenye kitanzi cha kichwa na kumnyonga hadi kufa.
Katika video inayosambaa mitandaoni, bibi huyo...
Ndege zimekua zinadunguliwa kila ikijichomoza moja, sasa hivi imekua hatari kupaa kwenye anga za Ukraine na imesababisha wana anga wa nchi hiyo kujitazamia kwenye TV kama mechi vile....
====...
Jibu Fupi:
Ukraine ilionyesha Urusi jinsi upotoshaji kwenye vita unavyofanya kazi licha ya kuwa urusi ni kinara wa upotoshaji.
Jibu refu zaidi:
Baada ya urusi kushindwa kuuteka mji mkuu wa...
Nilikua sijui mnavyonichukulia kwamba mimi ni shia duuh
Kuna washikaji tulijuana huku tumekutana moshi jana mahali tunapata moja moto moja baridi wananiuliza habari za imani ya kishia...
Germans could be ‘left without a country’ soon – Trump
Ex-president says he warned Angela Merkel that Berlin’s dependence on Russian energy could lead to a “surrender”
Germans could be ‘left...
Mkutano wa kimazungumzo baina ya Vatican [ Pope Francis ] na China [ President Xi Jinping ] umeshindwa kufanikiwa .
Reuters imeripoti kuwa “ Vatican iliiambia China kuwa papa Francis alikuwa...
Mwanaume mmoja ameshtakiwa kwa kukwepa kupanga mstari wakati waombolezaji wakipita kwenye jeneza kuaga mwili wa Malkia Elizabeth II.
Mwanaume huyo ambaye anatoka Tower Hamlets mashariki mwa...
Akuna asiyejua Trump na Putin ni maswaiba walioshibana na iliaminika Russia walihusika katika kuhakikisha Trump anaingia white House, na hata uvamizi wa Russia kwa Ukraine Trump alihojiwa akadai...
Je, ni akili zinawarudi, je wamechoka kuwekewa Serikali za mchongo na watawala wenye maslahi binafsi, je wanatumika, vipi wamehoka kuishi au pia vita ni jadi yao, I mean wanapenda kupigana.
Hizi...
Marekani na washirika wake wanatarajia kukaa kikao kujadiliana namna ya kuweza kutuma ndege za kivita Ukraine. Kumbuka hitaji Hili Ukraine wamekua wakilihitaji kila siku.
Pia Ukraine anahitaji...
Rais wa marekani amempa onyo kali raisi wa Russia ,kwamba kamweasijaribu kutumia silaha za kemikali au maangamiz makubwa maana itageuza mwenendo mzima wa hii Vita.
Kumbuka US siyo mandonga huwa...
'Eti' ni kweli????????
In Friday's comments, Mr Putin threatened a "more serious" response if Ukrainian attacks continue.
"I remind you that the Russian army isn't fighting in its entirety...
Hatari sasa inakuja baada ya papa Francis kutoa tamko kuwa ni jukumu la nchi kuipatia Ukraine silaha ili ijikomboe kutokana na uvamizi wa Urusi.
Hayo aliyasema juzi kwa waandishi wa habari akiwa...
Jamaa anaishi maisha magumu sana, anasakwa kwa kila namna, wamekamatwa hadi walinzi wake wa karibu baada ya jaribio la kumuua...
=======
Vladimir Putin has survived an assassination attempt...
Sheria pana ya mabadiliko ya watoto inayoendana na binadamu aliyestaarabika kwa kiwango cha juu katika karne ya 21 imesainiwa na Rais Hakainde Hichilema.
Mojawapo ya mambo katika sheria hiyo...