Life2
JF-Expert Member
- Jun 8, 2016
- 3,387
- 4,881
Je, ni akili zinawarudi, je wamechoka kuwekewa Serikali za mchongo na watawala wenye maslahi binafsi, je wanatumika, vipi wamehoka kuishi au pia vita ni jadi yao, I mean wanapenda kupigana.
Hizi nchi zilizounda Soviet kila siku zinakuja na habari mpya mbaya, habari za kurushiana risasi wakigombea mipaka.
Ukraine Vs Russia hapa mrusi kwa ubabe wake mwanzoni alitaka kuichukua Ukraine yote ila baada ya kushindwa anataka kumega nchi ya watu anataka Crimea, Kherson, Luhansk, Donestic...nk amebaki kuua raia wasio na hatia.
Tajikistan Vs Uzbekistan hawa nao wameanza kurushiana risasi wakigombea mipaka.
Armenia vs Arzbeijan hawa wamelianza upya tena baada ya mwaka jana kurushiana risasi wameanza tena mwaka huu ishu kubwa nao ni mipaka Nagorno Karabhak mpaka sasa karibia wanajeshi 150 wameuliwa kwa pande zote mbili.
Natumai jamii forum kuna wataalamu wanaweza kunipa shule juu ya chanzo hasa cha migogoro hiyo
Karibuni