Maswahiba wa Putin wameanza kuchoka kumsubiri, walitegemea ataparamia Ukraine kwa siku chache ila kwa ambavyo anapokea za uso, wameanza kumsema sema. India imejitokeza wazi, bado China na Iran...
Nimekuawa nikijiuliza sana, kwann russia anapoteza muda mwingi na kuingia gharama za vita ya muda mrefu wakati anauwezo wa kuimaliza kwa kuangusha makombora mazito na kuifuta kiev!!
Wajuzi wa...
Mashambulizi yaUkraine ya kukabiliana na Urusi hayatabadili mipango ya Urusi – Putin
Mashambulio ya hivi karibuni ya kukabiliana na vita vya Urusi hayatabadili mipango ya Urusi, Vladimir Putin...
Kwenye hili, Ukraine walifanya babkubwa yaani, waliwaacha Warusi waingie na silaha zao ndani kwa ndani, na Warusi walivyo wajinga wakaingiza silaha zao Ukraine kichwa kichwa, ghafla Ukraine...
Japo kwa cheo QUEEN ELIZABETH wewe ulikuwa malkia kwa maana kiongozi hakosei.
ila kwa upande wengine tukitoa cheo chako wewe Elizabeth Alexandra Mary Windsor ulikuwa ni binadamu kama binadamu...
Hali imebadilika mwanzo wa hii operation Urusi ndio wakiionya Ukrain wanajeshi wake kujisalimisha lakini baada ya miezi 7 sasa Rais wa Ukrean Zelensky amekuja na kauli hii yeye kuwaambia...
Dah nimeshangaa sana hii habari ,hivi kati ya US na Germany nani kavuka mstari mwekundu .Germany kila siku analalamikiwa na zelesky kwamba amekua akitoa ahadi hewa, juzi kaahid kutoa magari 50 ...
Kiongozi Mkuu wa Jimbo la Luhansk linalotaka kunitenga nchini Ukraine amelishutumu Jeshi la Ukraine kwa Mlipuko ulimuua Mwendesha mashitaka Mkuu wa Jimbo Hilo. Mwendesha mashitaka huyo Pamoja na...
Ratu Meli Bainimarama, 36, ambaye ni Mtoto pekee wa Waziri Mkuu wa Fiji, Frank Bainimarama anakabiliwa na tuhuma za unyanyasaji wa kijinsia alizofanya akiwa Nchini Australia.
Ratu amefunguliwa...
Kiufupi
HIMARS ni mfumo mzima wa kurusha maroketi pia Makombora.
Ina Rocket za M31 ambazo ndo Ukraine imepewa, zina range 80km.
Pia inaweza kurusha Makombora makubwa kama Army Tactical Missile...
Wizara ya Mambo ya Nje ya Urusi imesema iwapo Marekani itaamua kuipatia Ukraine makombora ya masafa marefu, itakuwa imevuka mpaka na kuwa ‘mshiriki katika mzozo’ baina ya mataifa hayo mawili...
Ukraine walitumia mkakati wa ajabu sana, kuwaacha Warusi waingize vifaa vya maana kisha kuwatoa nduki....
Hili hapa ni dubwasha lenye uwezo mkubwa kimitambo....
Ukraine Just Captured Another...
Mtu mmoja amekufa na Wengine 6 kujeruhiwa baada ya Makombora ya HIMARS kutoka Ukraine kupiga kituo Cha kufua Umeme katika mji wa Belgorod wa Urusi ambao upo umbali wa 45km kutoka kwenye mpaka na...
Jamaa anaishi maisha magumu sana kama kibaka, anaogopa hadi kivuli chake ndani ya nchi yake pamoja na utajiri wote ule. Anawindwa kuuawa kila siku tena ndani ya nchi yake supapawa ambapo ndiye...
Mwanachama wa kikosi cha mamluki wanaoitwa Wagner, ambao Putin anawatumia kupigana huko Ukraine, anaonekana hapa kwenye video akigombana na wanajeshi wa Urusi, kisha ghafla akapokea kichapo cha...
Haya hapa ni baadhi ya makampuni ya kibabe ya Korea ya KUSINI. Thamani yake ni billions of dollars. Kila kampuni hapo ukiigusa ina brand ya kibabe.
KIDUKU Yuko busy na vi nuclear vyake Saba...
Hapa kaz tuu kwenye anga Ukraine siyo maboya ,tafuten mmekosea wap
Russians launch 12 missiles on eastern Ukraine, 9 of them shot down by air defence units
Ukrainska Pravda
Sun, September 11...
New Zealand itaacha kuwa chini ya ufalme wa Uingereza, itajitangaza Jamhuri
Sep 14, 2022 02:12 UTC
Waziri Mkuu wa New Zealand amesema nchi hiyo hatimaye itaacha kuwa chini ya mfumo wa kifalme wa...
Wenzetu naona hawapo kama sisi...Huku kwetu Mkuu wa nchi akidondoka tv zote na redio hukesha zikipiga kwaya za maombolezo..huku wasanii wakikesha studio kutunga nyimbo maalum za msiba..lakin Kwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.