Mlipuko watokea kwenye kambi ya jeshi Korea kusini

Mlipuko watokea kwenye kambi ya jeshi Korea kusini

Axel Lloyd

JF-Expert Member
Joined
Sep 10, 2017
Posts
4,170
Reaction score
9,502
Mlipuko umetokea kwenye kambi ya jeshi Korea kusini muda mchache uliopita.

Taarifa za awali zinadai kwamba ni ajali.

#BREAKING: There has been an explosion at an Airbase in South Korea.

Early reports suggest it is an accident. The base is the closest air base to North Korea.

#9Today | WATCH LIVE 5.30am

 
UPDATE:
Kuna taarifa zinadai kwamba Korea kusini walikua wanafanya majaribio ya Siri ya Makombora,yakafeli moja ya kombora likadondokea kwenye kambi hiyo ya jeshi na kusababisha mlipuko.

NB; Hii ni Kwa mujibu wa media za South Korea
 
Back
Top Bottom