Taasisi nyeti nchini Rwanda sasa zaongozwa na Wataalamu kutokea Ulaya, Marekani na Israel

Uzalendo wa Kitanzania

JF-Expert Member
Mar 8, 2020
2,206
4,696
Taasisi nyeti nchini Rwanda ikiwemo mamlaka ya Usimamizi wa Hifadhi ya Jamii sasa inaongozwa na Wataalamu wa kigeni.

• Christopher John Wales (Uingereza)
Mwenyekiti wa Rwanda Social Security Board (RSSD)

•Philipe Watrine (Uingereza)
Naibu Mkurugenzi Mkuu anayesimamia uendeshaji wa Mfuko

•Itzhak Fisher (Israel)
Mwenyekiti wa Bodi ya Benki ya Maendeleo ya Rwanda

•Ron Weis (Israel)
Mtendaji Mkuu wa Rwanda Energy Group

•Marck Holitzman (US)
Chairman of Bank of Kigali

•Patricia Campbell (US)
Mkuu wa Chuo Kikuu cha Rwanda


Dkt David Himbara

FB_IMG_16191674273276935.jpg
 
KWA HIYO AKILI KWAKO NI KUWAONA WANYARWANDA HAWATOSHI, NA YEYE NDIO MJAAA PEKEE
Akili yako haina uwezo wa kujadili masuala kama haya. Haya masuala yapo nje ya upeo wako. Unaelewa kuwa dunia itakuwa katika better position zaidi kama tutaweza kuondoa ukabila, utaifa, ubara, na urangi moja kwa moja? Unaelewa kuwa kuna siku dunia haitakuwa na ukabila wala utaifa wala ubara wala urangi?
 
Kuuza Nchi ndiyo akili ndefu!? Hivi watu wengine utumwa wa fikra utawatoka lini humo vichwani mwenu!?
Akili yako haina uwezo wa kujadili masuala kama haya.Haya masuala yapo nje ya upeo wako.Unaelewa kuwa dunia itakuwa katika better position zaidi kama tutaweza kuondoa ukabila,utaifa,ubara,pamoja na urangi moja kwa moja?Unaelewa kuwa kuna siku dunia haitakuwa na ukabila wala utaifa wala ubara wala urangi?
 
Bongo umuwekee Mzungu kama boss wa mifuko ya fedha za wastaafu unadhani atawezana na watawala wanaokuja kuchota fedha kwny mifuko hio huku wakisema hizo ni fedha za ndani?

Umuweke boss wa Tanesco mzungu halafu uje kumuamrisha eti leo kuna mikutano ya Chadema/Ukawa kateni umeme unadhani itawezekana?
 
Back
Top Bottom