Mwanamke mmoja akiwa kichwa wazi bila kuvaa hijab, ameonekana akirusha mawe kwenye Jengo la Serikali linalohusika na Usimamizi wa Sheria za Kiislam ikiwemo uvaaji wa Hijab.
Chanzo: Verified...
International Red Cross suspends operations in Ukraine
The move comes after Russia launched missile strikes across the country
International Red Cross suspends operations in Ukraine
Emergency...
Biblia na Qur'an ziko pamoja na nchi ya Iran, unaweza usitamani kutembea uchi lakini ukawatetea wanaotembea uchi. Kufurahia mwanamke kutembea uchi elewa umefurahia mama wa mtu kuwa uchi.
Naanza...
ni dhahiri sasa Rusia wameamua kudeal na Soft targets.
makombora zaid ya 80 yalio rushwa hovyo hovyo mengine yameanguka barabarani mengine nyikani mengine kwenye majengo ya raia mengine...
Waandamanaji laki moja na elfu tisini na tatu wamwagika kwenye mitaa ya Uingereza wakipinga kulipia bili zao za umeme baada ya nishati hiyo kupanda juu zaidi kutokana na Urusi kutowapa gesi na...
Mashambulizi yao leo katika maeneo mbalimbali kama barabara zilizojaa watu, ofisi, maeneo ya biashara na sehemu za kucheza watoto Kyiv na miji mingine yaliandaliwa na kupangwa muda mrefu na...
Ripoti zinazotufikia hivi punde zinasema milipuko kadhaa imekumba mji mkuu wa Ukraine wa Kyiv.
Mashambulizi hayo yanajiri siku mbili baada ya daraja pekee linalounganisha Urusi na Crimea...
Kikao cha 18 cha wakuu wa nchi za Jumuiya ya Afrika Mashariki(EAC) kilichokaliwa Desemba 22, 2021 kimeikubali Jamhuri ya Kidemokrasia Congo kuwa mwanachama wa EAC
Hatua hiyo imekuja baada ya nchi...
Zaur Dadayev, who has been charged with involvement in the murder of Russian opposition leader Boris Nemtsov inside a defendant's cage inside a Moscow court building
An ally of the Russian...
Wanajaribu kutuangamiza Duniani' - Zelensky
Volodymyr Zelensky
Rais wa Ukraine Volodymyr Zelensky anasema.Rais wa Ukraine Volodymyr Zelensky anasema. Msururu wa mashambulio ya makombora...
Rais wa Urusi, Vladimir Putin ameahidi kuisaidia Belarus kwa kuwapelekea mifumo ya Iskander-M inayoweza kufyatua makombora ya nyuklia
Putin ameweka msimamo huo baada ya kukutana na Rais wa...
kuna mlipuko kwenye daraja la Crimea asubuhi hii, Crimea ni daraja muhimu sana linalounganisha urusi na Crimea , Taarifa zaidi zitakujia badae
nafkiri Ukraine army wameandaa special birthday Gift...
Huu uzi utunzwe kwa kumbukumbu za tabiri tashtiti zilizowahi kutokea hapa JamiiForums.
Itakuwa hivi. Asubuhi ya Jumatatu, mwili wa Putin utakutwa unaelea kwenye bwawa la kuogelea.
Sii walinzi...
President Samia Suluhu Hassan’s pro-business approach is sending positive signals across the globe, with Moody’s Investors Service changing Tanzania’s outlook from stable to positive.
“The...
Putin analalamika akisema Ukraine walitumia lori kulipua daraja lake Crimea, ila wataalam wanaokagua video za uharibifu huo wanasema lilipua pigo la drone inayosafiria kwenye maji....
Russian...
Ukraine yaripotiwa kufanya Mashambulizi ndani ya Crimea na kusababisha mlipuko kwenye ghala la silaha. Urusi yakanusha kwamba ni shambulio yasema ni ajali.
=============
KYIV, Aug 16 (Reuters) -...
MWAMBA
The demonstrations were sparked by what protesters called economic “disruption” and “energy and health restrictions”
Mass protests against NATO and EU hit Paris
streets (VIDEOS)
FILE...
Pale Crimea hapakaliki, milipuko ya ghafla hadi imekua kero, ndege za kivita zinalipuliwa zikiwa uwanjani, Urusi imeona isiwe tabu, yaanza kuzirejesha nyumbani.....
Sikujua supapawa anaweza...
Nahisi kuna ujumbe unatumwa kwa Putin kwamba popote kambi na kinaweza kikanuka hata sebuleni kwake kiaina bila kombora kutumwa kutoka Ukraina.....kwamba humo humo jeshini kwake wenyewe kwa wenyewe...
Shambulizi la bomu katika makazi ya raia lililofanywa na Russia katika mji wa Zaporizhzhia.
Takriban watu 17 wameripotiwa kuuwawa katika shambulizi la bomu lililolenga raia usiku katika mji wa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.