Analogia Malenga
Platinum Member
- Feb 24, 2012
- 5,292
- 10,842
Kikao cha 18 cha wakuu wa nchi za Jumuiya ya Afrika Mashariki(EAC) kilichokaliwa Desemba 22, 2021 kimeikubali Jamhuri ya Kidemokrasia Congo kuwa mwanachama wa EAC
Hatua hiyo imekuja baada ya nchi hiyo kuomba kuwa mwanachama kwa barua iliyoandikwa Februari 27, 2021 ikielekezwa kwa Baraza la Mawaziri wa EAC
Dr-Congo inakuwa ni nchi ya kwanza kwa ukubwa ndani ya Jumuiya ya Afrika Mashariki ikifuatiwa na Tanzania yenye kilometa za mraba 947,000