Hili daraja ndio hutumika sana kusafirisha mahitaji ya kijeshi, ila baada ya kipigo cha wana, itachukua karibia mwaka mmoja kulirekebisha irudi kwenye hali yake ya kawaida.
Na bado litaliwa...
Tukio hilo limetokea baada ya taswira ya mtu aliyevaa kinyago usoni kuonekana akizungumza kisha ikatokea picha ya Kiongozi Mkuu Ali Khamenei akiwa amezungukwa na Wanawake wanne waliouawa hivi...
Mbunge huyo, Burak Erbay, mwanachama wa chama cha upinzani cha Republican People's Party amefanya tukio hilo alipokuwa akizungumza bungeni akipinga mswada unaoungwa mkono na Serikali.
Chini ya...
Katika kipindi cha mwezi mumoja August to September, tulizoea kusikia HIMARS ni kiboko, ooh Ukraine inaichukua donbass yote na baada ya muda mfupi inayofuata ni Crimea. Sasa hizi kelele zimezimika...
Rais wa Urusi, Vladimir Putin amesema kuwa hawana uhitaji huo kwa sasa, kauli ambayo ameitoa siku chache tangu jeshi lake lifanye mashambulizi mazito Nchini Ukraine.
Amesema kuwa hiyo ni kwa kuwa...
Kauli zao zatofautiana kuhusu Ukraine ikishambuliwa kwa nuclear
UK defense secretary rebukes Macron over nuclear comments
The French leader should not have revealed his hand to Russia, Ben...
Sergei Surovikin: Mfahamu jenerali mpya wa Urusi maarufu kwa ukatili wake
Rais wa Urusi Vladmir Putin alimpatia kazi mmojawapo ya watu wake maarufu katika mstari wa mbele wa vita nchini Ukraine...
Tajiri namba moja duniani anayemiliki mtandao wa Starlink ameiambia wazi wizara ya ulinzi ya Mareknani kuwa sasa itabidi waanze kugharamia mawasiliano hayo kwa Ukwani.Amesema kama ni sadaka...
Kutokana na mgogoro wa kifedha unaoendelea nchini Lebanon, Benki zimeweka masharti magumu kwa watu kutoa fedha kwenye akaunti zao.
Baadhi ya watu hulazimika kufanya uvamizi ili kutoa fedha kwenye...
Mabeberu yameshamgundua china kuwa ni chui wa karatasi! Chui wa karatasi ana sura ile ile ya chui na ametoa meno lakini hawezi kuuma!! Ni sawa na nyoka wa kibisa ambaye hata watoto huwa wanaweza...
JE Russia ataishiwa silaha.?
Je Pro Ukraine countries wanaweza kupenyeza majeshi yao Kwa Jina la Ukraine wakamtembezea moto Russia Hadi Kremlin.
JE Russia anaweza kutumia mbinu za kikatili za US...
Kutoka Vladimir Saldo kushoto, mkuu wa jimbo la Kherson aliyeteuliwa na Mosco , Yevgeny Balitsky mkuu jimbo la Zaporizhzhia aliyeteuliwa na Moscow, Rais wa Urusi Vladimir Putin, katikati, Denis...
Kampeni ya kutoa huduma ya chakula kwa wazee wanaokumbwa na tatizo la maisha imefanyika katika eneo la Luyang mjini Hefei, China. Migahawa 36 imefunguliwa katika eneo hilo, na kila mzee anaweza...
Breaking News: Waziri wa fedha wa Uingereza Kwasi Kwarteng amejiuzulu.
Serikali ya Uingereza chini ya waziri mkuu Liz Truss na waziri wake wa fedha bwana Kwasi Kwateng ipo matatani kwa kushindwa...
Uhusiano kati ya China na mataifa ya Afrika una miaka zaidi ya 60 sasa, msingi wa uhusiano huo ni urafiki wa kindugu, na mara kadhaa China huitaja Afrika au waafrika kama marafiki wa kweli...
Huyu kamanda wetu mpya wa SMO Ukraine ni moto wa kuotea mbali aisee. Yaani leo tu kachoma jumla ya majiji na miji 40 ya Ukraine.
Australia yalalamika kuwa kamanda huyo katumia makombora...
Leo Mrusi kamvamia Ukraine, sio kwa sababu ni mkatili, bali maslahi yake yaliwekwa hatarini na NATO kuwa Ukraine.
Marekani anamuua Gadafi, Sadam sio kwamba ni katili, bali hao wote walihatarisha...
Katika vita vya pili vya dunia 1945 Japan ilipigwa kwa silaha mbaya ya nyulkia na Marekani na ikabidi isalimu amri.
Silaha hiyo ndiyo ilikuwa mara ya mwanzo kutumika kwenye visiwa vyake vya...
Ukizungumzia tiba asili kwa watu wengi picha inayokuja haraka ni kwa watu waishio vijijini au jamii ambazo hazijapiga hatua katika masuala ya matibabu, lakini ukweli ni kwamba imani hii sio...