International Forum

News and Stories from rest of the World

On JF:

Liz Truss has sacked Kwasi Kwarteng as chancellor following the disastrous reception to last months’ tax-cutting budget. The decision comes after unfunded tax cuts unveiled in the fiscal...
0 Reactions
5 Replies
727 Views
Rais huyo wa Urusi anatarajiwa kukutana na mwenzake wa Uturiki Recep Tayyip Erdogan baadae wiki hii kujadili pendekezo la mazungumzo kati ya Ukraine na Urusi. Katika hatua nyingine Rais huyo wa...
4 Reactions
20 Replies
2K Views
Hii yote ni kwa ajili ya kuzuia mashambulizi ya Putin ya mabomu anayopiga hadi bembea za watoto, ameikimbia frontline kaenda kushambulia makazi ya watu. Nchi yote ikilindwa vizuri dhidi ya haya...
4 Reactions
37 Replies
2K Views
Waziri mkuu mpya wa Uingereza bi Liz Truss jioni hii ameanza kuunda baraza lake la mawaziri na bwana Kwasi Kwateng ameteuliwa kuwa waziri wa Fedha huku bwana James Cleverly akichukua nafasi ya...
12 Reactions
61 Replies
4K Views
Mwafrika ni mwafrika tu na mzungu humuona mwafrika kama kiumbe dhaifu hata ufanyeje ,kilenuka mtaa wa chini ofisi ya 10 Mwanamama wa shoka liz Truss alemtumbua waziri wa baada ya kukaa kwenye...
1 Reactions
0 Replies
539 Views
Ni waz putin wameshamchoka ameshindwa kila sehemu ,china naona kamkacha kiaina. Nchi wanachama wa U.N wamepiga kura ya kutoyatambua majimbo yaliyochukuliwa kiharamu na dicteta putin. Ni nchi 5...
2 Reactions
40 Replies
3K Views
If the pharmaceutical drug cartels get their way, every human over the age of twelve in the planet will soon be advised to get screened for symptoms of any kind of anxiety ,mental health...
0 Reactions
5 Replies
808 Views
Russian military shares video of kamikaze drone strikes New footage captures the destruction of Ukrainian tanks and other armored vehicles © MoD Russia The Russian Ministry of Defense has...
4 Reactions
14 Replies
2K Views
Katika msimu wa joto uliopita, mashindano ya mpira wa kikapu ya vijijini katika wilaya ya Taijiang mkoani Guizhou, China yalivutia macho sana. Ingawa hakuna nyota na ufadhili wa kibiashara...
1 Reactions
2 Replies
455 Views
Baada ya Urusi kushindwa kwenye frontline na kukiuka miiko ya kivita na kuanza kupiga mabomu yake uswahilini, G7 wamekutana kwenye kikao cha dharula na kuazimia kuongeza juhudi ili kuhakikisha...
3 Reactions
115 Replies
6K Views
Nchi zinazosafirisha mafuta kwa wingi duniani OPEC zilitangaza mnamo mwaka 2020 hatua ya kupunguza kwa kiasi kikubwa usambazaji wake duniani huku kukiwa na wasiwasi juu ya ongezeko la mfumuko wa...
2 Reactions
42 Replies
3K Views
Malawi imeomba Msaada wa Chanjo zaidi za Ugonjwa huo kutoka Umoja wa Mataifa (UN), ikihofia Mlipuko mwingine kutokana na mvua kubwa zinazoendelea kunyesha Nchi hiyo imerekodi visa 4,420 vya...
1 Reactions
4 Replies
755 Views
EGYPTY - ITALY ON THE VERGE OF DIPLOMATIC STANDOFF: Mvutano mkubwa wa kidiplomasia baina ya Italia na Misri juu ya kifo cha mwanafunzi Giulio Regeni. Mnamo Septemba 5, Misri na Italia zilianza...
6 Reactions
61 Replies
9K Views
Nakumbuka nilikuwa naangalia Tv ilikuwa Channel ya kanisa flani la nje ya Nchi ingawa ni la hapahapa Afrika. Nakumbuka alisema kuna nchi flani ingawa haikutaja jina moja kwa moja itaivamia kuna...
1 Reactions
2 Replies
663 Views
Inapaswa waswahili mliopandikizwa chuki na waarabu za kuichukia Israel muanze kubadilika maana wenye dini zao huko wanaendelea kushikamana na kuingia makubaliano ya kindugu, mpunguze povu huko kwa...
2 Reactions
4 Replies
885 Views
G7- ambayo inajumuisha Canada, Ufaransa, Ujerumani, Italia, Japan, Uingereza na Marekani. Kumbe Urusi haipo kwenye huo mkumbo .
10 Reactions
78 Replies
4K Views
Watoto ambao ni wakimbizi huko Syria wamekuwa wakitengeneza videos ambazo wanaziweka Tiktok kisha watu wanaweza kuwatumia vitu vinaitwa diamonds ambavyo wanaweza kuvibadili kuwa pesa na kuitoa...
0 Reactions
4 Replies
750 Views
Sasa imekuwa rasmi kuwa Ellon Musk ameyakataa maombi ya Ukraine kutumia mifumo yake ya mawasiliano katika eneo la Crimea. Ellon amesema akiruhusu hilo itakuwa kama ameruhusu Urusi kutumia silaha...
6 Reactions
38 Replies
4K Views
INDIA imeshikilia msimamo hakuna jukumu la mtu wa tatu katika suala la Kashmir Kauli hiyo imetolewa na S.Jainshankar, Waziri wa mambo ya nje (India) alipokuwa akijibu maoni ya Waziri wa mambo ya...
0 Reactions
1 Replies
577 Views
Mbwa mmoja wa Polisi aitwaye Zanjeev amekuwa mbwa wa polisi nchini India kwa miaka mingi. Amewasaidia polisi kutatua kesi nyingi za jinai ambazo bila yeye wangeshindwa kuwatia hatiani wahalifu...
0 Reactions
2 Replies
763 Views
Back
Top Bottom