Putin asema hawana nia ya kufanya mashambulizi mazito Ukraine

JanguKamaJangu

JF-Expert Member
Feb 7, 2022
2,308
5,458
Rais wa Urusi, Vladimir Putin amesema kuwa hawana uhitaji huo kwa sasa, kauli ambayo ameitoa siku chache tangu jeshi lake lifanye mashambulizi mazito Nchini Ukraine.

Amesema kuwa hiyo ni kwa kuwa maeneo 22 kati ya 29 waliyoyalenga wameshashambulia na nia yao siyo kuiharibu Ukraine yote.
___

Ukraine war: Putin says no more massive strikes - for now

Russian President Vladimir Putin has said there is no need for more massive strikes on Ukraine, days after the heaviest bombardment of the country since the war began.

He said most designated targets of the strikes had been hit, adding that it was not his aim to destroy Ukraine.

Moscow's goal of mobilising 300,000 men would be met within two weeks, he said.

It comes as Russian forces are mostly in retreat and Ukraine advances, almost eight months since the invasion.

Speaking to journalists after a summit with regional leaders in Kazakhstan's capital Astana, the Russian leader said that the recent strikes had destroyed 22 out of the 29 targets in Ukraine set by the military and that "they are getting" the remaining seven.

"There's no need for massive strikes. We now have other tasks," he said.

From Monday onwards, Russia unleashed a wave of strikes on cities across Ukraine, in what Mr Putin said was retaliation for a blast which damaged a key bridge between Russia and annexed Crimea.

Dozens of people were killed and injured in the strikes, which also damaged infrastructure. Central areas of Kyiv were targeted for the first time since the invasion.

But Mr Putin said it was not Russia's intention to destroy Ukraine, but he did not regret the invasion.

"What is happening today is not pleasant, to put things mildly," he said. "But all the same, [if Russia hadn't attacked] we would have been in the same situation, only the conditions would have been worse for us. So we're doing everything correctly and at the right time."

President Putin said 220,000 men had been mobilised, of whom 16,000 were already in combat. He saw no need for additional mobilisation, he added.

However, the call-up has caused widespread discontent in Russia, with tens of thousands of men fleeing to neighbouring countries. The BBC has also found evidence of the poor level of training such conscripts or recruits receive before being sent to the front.

Meanwhile, the BBC Russian service says it has identified more than 7,500 Russian service personnel who have died in the Ukraine war. The actual level of casualties is believed to be much higher, and there are reports that some recently mobilised troops have been killed.

Source: BBC
 
kama nia sio mashambulizi mazito.
feb 24 walienda kufanya nini kyiv?
naona sasa andunje anatafuta Tundu. *****
Tulienda kuwapoteza maboya matutusa ya Ukraine ili tuchukue donbass wote wakakimbilia kulinda Kiev sisi tukabeba donbass na blast nyingine mbili za ziada. Saivi nasikia mnapigana vile vita vya kizamani mnaenda wengi kama manyumbu sehemu mmoja mtaisha
 
Yani mimi wa huku kiguza mkuranga nishamuelewa sana put in kama mnakumbuka mwanzo alisema hataingiza jeshi ukaraini ghafla watu wakastukia pichu zimejaa mbolea sasa ngoja aseme hana mpango huo alafu watu wajilie zao maharage yao kwa raha ghafla midude mizito mizito kama kiwanda cha azam yawashukie nimekaa paleeee
 
Rais wa Urusi, Vladimir Putin amesema kuwa hawana uhitaji huo kwa sasa, kauli ambayo ameitoa siku chache tangu jeshi lake lifanye mashambulizi mazito Nchini Ukraine.

Amesema kuwa hiyo ni kwa kuwa maeneo 22 kati ya 29 waliyoyalenga wameshashambulia na nia yao siyo kuiharibu Ukraine yote.
___

Ukraine war: Putin says no more massive strikes - for now

Russian President Vladimir Putin has said there is no need for more massive strikes on Ukraine, days after the heaviest bombardment of the country since the war began.

He said most designated targets of the strikes had been hit, adding that it was not his aim to destroy Ukraine.

Moscow's goal of mobilising 300,000 men would be met within two weeks, he said.

It comes as Russian forces are mostly in retreat and Ukraine advances, almost eight months since the invasion.

Speaking to journalists after a summit with regional leaders in Kazakhstan's capital Astana, the Russian leader said that the recent strikes had destroyed 22 out of the 29 targets in Ukraine set by the military and that "they are getting" the remaining seven.

"There's no need for massive strikes. We now have other tasks," he said.

From Monday onwards, Russia unleashed a wave of strikes on cities across Ukraine, in what Mr Putin said was retaliation for a blast which damaged a key bridge between Russia and annexed Crimea.

Dozens of people were killed and injured in the strikes, which also damaged infrastructure. Central areas of Kyiv were targeted for the first time since the invasion.

But Mr Putin said it was not Russia's intention to destroy Ukraine, but he did not regret the invasion.

"What is happening today is not pleasant, to put things mildly," he said. "But all the same, [if Russia hadn't attacked] we would have been in the same situation, only the conditions would have been worse for us. So we're doing everything correctly and at the right time."

President Putin said 220,000 men had been mobilised, of whom 16,000 were already in combat. He saw no need for additional mobilisation, he added.

However, the call-up has caused widespread discontent in Russia, with tens of thousands of men fleeing to neighbouring countries. The BBC has also found evidence of the poor level of training such conscripts or recruits receive before being sent to the front.

Meanwhile, the BBC Russian service says it has identified more than 7,500 Russian service personnel who have died in the Ukraine war. The actual level of casualties is believed to be much higher, and there are reports that some recently mobilised troops have been killed.

Source: BBC
Apeleke jeshi kule donbas alichokipigia kura kukipeleka Urusi jamaa wanakirejesha kwa nguvu Kharson tayari miji 5 na zaidi imesharejea mahali pake, ukitoa ule wa Layman ambayo ulichukuliwa siku 2 tu baada kupiga kura
 
Wambie Nato wamuingize Ukraine basi katika Nato kama wao wanaume.

Tulizeni pupa Mrusi atawamaliza Ukraine sababu kwanza kisha kata mawasiliano na front line ya Ukraine na inasemekana hata BBC wanakiri kuwa kimbunga kinakuja sababu front line wa Ukraine wanalalamika hawana rest mda wa miezi miwili wako hoi, na wanasema Russian yuko katika position ya kuji defended wao ndio wanatumia nguvu zaidi kwa hio wanawasi wasi Mrusi atawafanya chambo katika hizi week tatu zijazo.

Vita ni akili ndio sababu Mrusi anasema hana haja ya kukutana na Biden kisha jua vita anashinda

Dalili jamaa anaye wasaidia Ukraine kuwapa free mawasiliano anasema hana uwezo tena na kumbuka siku hizi hata rocket na technology za kijeshi zinatumia Internet Elon Musk hawezi tena kuwasaidia kaitupia Pentagon mzigo na Pentagon inakwepa hapo.
 
Anakimbia vita
Kabisa anakimbia vita

NATO na Marekani wamesema atakoma
Anatoroka vita .Mtu mzima kijijini porini akienda Kunya kichakani huaga akisingizia anaenda porini vichakani kuangalia mitego yake aliyotega wanyama kama imenasa chochote kumbe anaenda kunya
 
Anayemdharau mrusi ajifikirie upya.sio mechi ya yanga na al-hilal hii.
 
Wambie Nato wamuingize Ukraine basi katika Nato kama wao wanaume.

Tulizeni pupa Mrusi atawamaliza Ukraine sababu kwanza kisha kata mawasiliano na front line ya Ukraine na inasemekana hata BBC wanakiri kuwa kimbunga kinakuja sababu front line wa Ukraine wanalalamika hawana rest mda wa miezi miwili wako hoi, na wanasema Russian yuko katika position ya kuji defended wao ndio wanatumia nguvu zaidi kwa hio wanawasi wasi Mrusi atawafanya chambo katika hizi week tatu zijazo.

Vita ni akili ndio sababu Mrusi anasema hana haja ya kukutana na Biden kisha jua vita anashinda

Dalili jamaa anaye wasaidia Ukraine kuwapa free mawasiliano anasema hana uwezo tena na kumbuka siku hizi hata rocket na technology za kijeshi zinatumia Internet Elon Musk hawezi tena kuwasaidia kaitupia Pentagon mzigo na Pentagon inakwepa hapo.
Issue ni wapiga kura. Kuna idadi ya kura ambazo lazima zifikiwe na wanachama ili nchi kuingia NATO. Hilo sio zoez la wiki moja, ni zoezi linachukua hata mwaka.

Kama urusi angekuwa amekata mawasiliani front vikos vya ukraine wangepoteana na wasingefanya mawasiliano yoyote mpaka sasa? Why wanaendelea kusonga mbele?

Unaweza weka link ya BBC kwa hiyo habari?
 
Hivi we huwa unadhani mimi naongea kitu bila evidence kama wewe haya hi habari we tafuta hata BBC utaipata.
 
Rais wa Urusi, Vladimir Putin amesema kuwa hawana uhitaji huo kwa sasa, kauli ambayo ameitoa siku chache tangu jeshi lake lifanye mashambulizi mazito Nchini Ukraine.

Amesema kuwa hiyo ni kwa kuwa maeneo 22 kati ya 29 waliyoyalenga wameshashambulia na nia yao siyo kuiharibu Ukraine yote.
___

Ukraine war: Putin says no more massive strikes - for now

Russian President Vladimir Putin has said there is no need for more massive strikes on Ukraine, days after the heaviest bombardment of the country since the war began.

He said most designated targets of the strikes had been hit, adding that it was not his aim to destroy Ukraine.

Moscow's goal of mobilising 300,000 men would be met within two weeks, he said.

It comes as Russian forces are mostly in retreat and Ukraine advances, almost eight months since the invasion.

Speaking to journalists after a summit with regional leaders in Kazakhstan's capital Astana, the Russian leader said that the recent strikes had destroyed 22 out of the 29 targets in Ukraine set by the military and that "they are getting" the remaining seven.

"There's no need for massive strikes. We now have other tasks," he said.

From Monday onwards, Russia unleashed a wave of strikes on cities across Ukraine, in what Mr Putin said was retaliation for a blast which damaged a key bridge between Russia and annexed Crimea.

Dozens of people were killed and injured in the strikes, which also damaged infrastructure. Central areas of Kyiv were targeted for the first time since the invasion.

But Mr Putin said it was not Russia's intention to destroy Ukraine, but he did not regret the invasion.

"What is happening today is not pleasant, to put things mildly," he said. "But all the same, [if Russia hadn't attacked] we would have been in the same situation, only the conditions would have been worse for us. So we're doing everything correctly and at the right time."

President Putin said 220,000 men had been mobilised, of whom 16,000 were already in combat. He saw no need for additional mobilisation, he added.

However, the call-up has caused widespread discontent in Russia, with tens of thousands of men fleeing to neighbouring countries. The BBC has also found evidence of the poor level of training such conscripts or recruits receive before being sent to the front.

Meanwhile, the BBC Russian service says it has identified more than 7,500 Russian service personnel who have died in the Ukraine war. The actual level of casualties is believed to be much higher, and there are reports that some recently mobilised troops have been killed.

Source: BBC
na si alisemaga anafanya mazoez tu hatoivamia Ukraine
 
Tulienda kuwapoteza maboya matutusa ya Ukraine ili tuchukue donbass wote wakakimbilia kulinda Kiev sisi tukabeba donbass na blast nyingine mbili za ziada. Saivi nasikia mnapigana vile vita vya kizamani mnaenda wengi kama manyumbu sehemu mmoja mtaisha
na crimea mbona hamkuwapoteza maboya kwa kuivamia Kiev , kubali tu utam wa crimea uliwadanganya mkahisi mtaiteka Ukraine ni mwepes
 
Wambie Nato wamuingize Ukraine basi katika Nato kama wao wanaume.

Tulizeni pupa Mrusi atawamaliza Ukraine sababu kwanza kisha kata mawasiliano na front line ya Ukraine na inasemekana hata BBC wanakiri kuwa kimbunga kinakuja sababu front line wa Ukraine wanalalamika hawana rest mda wa miezi miwili wako hoi, na wanasema Russian yuko katika position ya kuji defended wao ndio wanatumia nguvu zaidi kwa hio wanawasi wasi Mrusi atawafanya chambo katika hizi week tatu zijazo.

Vita ni akili ndio sababu Mrusi anasema hana haja ya kukutana na Biden kisha jua vita anashinda

Dalili jamaa anaye wasaidia Ukraine kuwapa free mawasiliano anasema hana uwezo tena na kumbuka siku hizi hata rocket na technology za kijeshi zinatumia Internet Elon Musk hawezi tena kuwasaidia kaitupia Pentagon mzigo na Pentagon inakwepa hapo.

BBC ya Tandika kwa Mchambia Chupa.
 
Back
Top Bottom