International Forum

News and Stories from rest of the World

On JF:

Katikati ya vita vya Urusi na Ukraine kulikuwa na uchaguzi huko Ufaransa. Mpinzani wa rais Macron alikuwa na sera ya kuitoa ufaransa nato na eu lakini wafaransa wakamkataa kwenye box la kura...
8 Reactions
9 Replies
959 Views
Ulaya inaendelea kushuhudia maandamano ya kupinga Urusi kuwekewa vikwazo hasa sekta ya nishati. -- Tens of thousands of people have protested in Paris against the high cost of living and for a...
5 Reactions
25 Replies
4K Views
Vikosi vya Urusi vimeanzisha mashambulizi mapya katika eneo la Kyiv kwa kutumia ndege zisizo na rubani za Kamikaze zilizotengenezwa na Iran, maafisa wa Ukraine wamesema. Vifaa muhimu vya...
19 Reactions
194 Replies
13K Views
BREAKING NEWS: ndege ya jeshi la urusi imeanguka kwenye jengo la ghorofa huko Yeysk, urusi na kusababisha mlipuko mkubwa. Moto mkubwa uliosababishwa na kuanguka kwa ndege ya kivita ya urusi...
10 Reactions
34 Replies
3K Views
Uamuzi huo umechukuliwa ili kudhibiti idadi ya wageni pamoja na wale wanaotarajiwa kuwasili kwaajili ya kushuhudia Kombe la Dunia linaloanza Novemba 20. Mkuu wa Idara ya Vibali vya Ukaazi, Saad...
0 Reactions
6 Replies
779 Views
Mataifa ya NATO yaanza mafunzo na maandalizi ya jinsi watacheza iwapo vita vya nyuklia vitaibuka..... The 30-nation alliance has stressed that the "routine, recurring training activity", which...
4 Reactions
22 Replies
3K Views
Somalia iliwasilisha ombi la kuwa mwanachama wa Afrika Mashariki katika kikao cha wakuu wa nchi walipokaa kumuidhinisha Congo D.R kuwa mwanachama kamili wa Jumuiya hiyo. Stay tuned.
2 Reactions
46 Replies
3K Views
Ukraine wasiingie huu mkenge, vita vilianzia Crimea inapaswa viishie Crimea. Mrusi kwa sasa ameachwa bila kete, amejaribisha mabomu yake yakapanguliwa, akabaki kupiga maeneo ya raia, madubwana...
7 Reactions
37 Replies
3K Views
Picha:Jumatatu ya majonzi mji wa Kiev unatanda moshi tu Urusi kweli kapania jiji limepigwa kiberiti Mosi, leo kituo cha train mjini kiev kilshambuliwa kwa drones za kamikaze Anga ya jiji la kiev...
24 Reactions
200 Replies
16K Views
Ukraine leo amenyukwa balaa kila mahali Russia anapiga Tayari nchi nyingi zimeanza kuwaondoa watu wake na mabalozi washaanza kufunga virago Wingu la vita lazidi kuwa nyeusi nchini Ukraine mara...
19 Reactions
29 Replies
3K Views
Russia itakuwa hoi bin taabani baada ya miaka 3 wakiwa kwenye hii vita . ACHANA na vita vya kuwekewa vikwazo vya uchumi. Kwa watu wanafikiria na ubongo watanielewa.
3 Reactions
19 Replies
1K Views
Wanaofahamu maana ya SMO watashangaa sana ,huu uvamizi kuitwa SMO, kwanza SMO lazima ifanywe na special force(SF). Kwa putin tumeshuhudia kikosi ambacho kiukweli ni jeshi lisilo na mafunzo...
5 Reactions
11 Replies
2K Views
Iran ni adui mkuu wa Israel kwa sasa. Na Israel inekuwa ikuhujumu mikakati ya kisiraha hatarishi ya Iran miaka yote. Ikumbukwe Moja ya sababu kushindwa kutoa mifumo ya Ulinzi Kwa Ukraine, Israel...
10 Reactions
72 Replies
6K Views
Mrusi ameshindwa frontline hadi ameamua kushambulia maeneo ya bustani yenye bembea za watoto, alishambulia kwa mabomu 75, ila 41 yalipanguliwa maana yalielekezwa kwenye miundo mbinu ya kijeshi...
5 Reactions
58 Replies
4K Views
Biden is busy funding American proxy war with Russia while his citizens lives on dropouts and sleeping rough. I wonder if organizations for human right are seeing this level of poverty or It's...
3 Reactions
12 Replies
806 Views
Rais wa Iran, Ebrahim Raisi ametoa shutuma hizo na kudai kuwa Rais wa Marekani, Joe Biden anahamasisha machafuko baada ya kifo cha Mahsa Amini, mwamnamke ambaye inadaiwa alikufa katika mikono ya...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Nchi za Opec Plus zimekubaliana kupunguza uzalishaji wa mafuta kwa sababu za kiuchumi. Lakini marekani yakurupuka na kusema Saudia amefanya njama na Urusi ili kupitisha azimio hilo. Matokeo yake...
14 Reactions
48 Replies
4K Views
kuna msemo kuwa muda ni mwalimu mkuu. Kila jambo wewe lipe muda ukweli utajulikana tu. Makandokando ya chanzo za covid yaanza kujitokeza. Mkurugenzi wa Kampuni ya Pfizer akihojiwa na kamati ya...
9 Reactions
20 Replies
3K Views
Mwenye ufaham kuhusu siasa za DRC Naomba anifafanulie, kuhusu hawa Marais wawili Hayati Roula Kabila na Joseph Kabila. Ninavyojua mim Laurent Kabila aliuawa kwa risasi na nchi ikatawaliwa kwa...
0 Reactions
20 Replies
2K Views
Baada ya Hamas kuwepo Gaza sasa kuna kundi jipya la silaha huko West bank israel kupigwa pande zote Wazayuni watiwa kiwewe na kundi la "Arin al Usud" la Ukingo wa Magharibi Kundi jipya la...
2 Reactions
5 Replies
1K Views
Back
Top Bottom