Breaking bad
JF-Expert Member
- Jun 12, 2019
- 1,464
- 3,497
Katikati ya vita vya Urusi na Ukraine kulikuwa na uchaguzi huko Ufaransa. Mpinzani wa rais Macron alikuwa na sera ya kuitoa ufaransa nato na eu lakini wafaransa wakamkataa kwenye box la kura.
Leo mnaandamaana eti hali ngumu inayosababishwa na hivyo vita,mbona hamueleweki? Tulieni dawa iwangie, si mliyataka wenyewe? mnakuwa kama wana ccm bwana?
huko uingereza nako hali sio shwari, inawezekana madam anaweza asifike krismasi atakuwa kaondolewa ofisini, walimchagua kwa sera alizonadi na leo kwenye utekelezaji mnamgeuka, mlikuwa hamyajui hayo?
Mnatuaibisha nyie wazungu sisi watetezi wenu huku nanjilinji ndanindani huku.