Picha: Jumatatu ya majonzi mji wa Kiev unatanda moshi tu Urusi kweli kapania

kimsboy

JF-Expert Member
Oct 17, 2016
8,991
17,888
Picha:Jumatatu ya majonzi mji wa Kiev unatanda moshi tu Urusi kweli kapania jiji limepigwa kiberiti

Mosi, leo kituo cha train mjini kiev kilshambuliwa kwa drones za kamikaze

Anga ya jiji la kiev leo limetanda kwa vumbi, moshi na milipuko ya moto.

Kuna video kadhaa zikionyesha jeshi la ukraine likijaribu kudungua drone ya kamikaze mjini kiev bila mafanikio.

Pia iran inatarajia kupeleka drone mpya za ayash nchini urusi hivi punde

Hali iliyopo Kiev ni mbaya sana leo anga lote limetanda moshi tu, Kiev ishaanza kupigwa kiberiti na warusi

1665989121514.jpg

Update:KITUO CHA NGUVU ZA UMEME MJINI KIEV CHATEKETEZWA KWA SHAMBULIZI LA DRONES ZA KAMIKAZE.
 
Sijawahi kucomment chochote humu JF kuhusu huu mgogoro, ila kwa muda mrefu nimekua nikifuatilia jinsi watu wanavyojadili kwa kina kuhusu huu mgogoro hapo ukraine.

Niseme tu ukweli wangu wakuu,,ni kweli Russia nayeye kuna pahala alikua anachezea kichapo BUT ukweli ni kwamba UKRAINE anachapika vibaya mno,,Tatizo watu wameegemea upande mmoja wa western propaganda ila kwa ground ZELE boy anachezea kichapo heavy tena pale pale KIEV sebuleni kwake . Waajemi (Iran) pamoja na kupigwa sunctions kwa miaka mingi ila bado unaambiwa wameweza kutengeneza Silaha ambazo zinawaacha wamagharibi midomo wazi.

NOTE
Tujitahidi kufuatilia habari za pande zote mbili, tuache kuwa Biased. zipo platforms nyingi tu zinatoa habari nyeti kabisa kutoka Jikoni.

Ni maoni yangu tu kwa leo japo sifungamani na upande wowote.

Am OUT.
 
We ni pro Russia acha uoga una uhuru na haki hio wala hakuna atakayekushangaa acha uvuguvugu
 
Picha:Jumatatu ya majonzi mji wa Kiev unatanda moshi tu Urusi kweli kapania jiji limepigwa kiberiti

MOSI, LEO KITUO CHA TRAIN MJINI KIEV KILSHAMBULIWA KWA DRONES ZA KAMIKAZE

ANGA YA JIJI LA KIEV LEO LIMETANDA KWA VUMBI, MOSHI NA MILIPUKO YA MOTO.

KUNA VIDEO KADHAA ZIKIONYESHA JESHI LA UKRAINE LIKIJARIBU KUDUNGUA DRONE YA KAMIKAZE MJINI KIEV BILA MAFANIKIO.

PIA IRAN INATARAJIA KUPELEKA DRONE MPYA ZA AYASH NCHINI URUSI HIVI PUNDE

Hali iliyopo Kiev ni mbaya sana leo anga lote limetanda moshi tu, Kiev ishaanza kupigwa kiberiti na warusi

View attachment 2389827
aaaaah kumbe hawa urusi hawafai hata kuwaomba vita ya kirafiki hawana dogo hawa
 
Picha:Jumatatu ya majonzi mji wa Kiev unatanda moshi tu Urusi kweli kapania jiji limepigwa kiberiti

MOSI, LEO KITUO CHA TRAIN MJINI KIEV KILSHAMBULIWA KWA DRONES ZA KAMIKAZE

ANGA YA JIJI LA KIEV LEO LIMETANDA KWA VUMBI, MOSHI NA MILIPUKO YA MOTO.

KUNA VIDEO KADHAA ZIKIONYESHA JESHI LA UKRAINE LIKIJARIBU KUDUNGUA DRONE YA KAMIKAZE MJINI KIEV BILA MAFANIKIO.

PIA IRAN INATARAJIA KUPELEKA DRONE MPYA ZA AYASH NCHINI URUSI HIVI PUNDE

Hali iliyopo Kiev ni mbaya sana leo anga lote limetanda moshi tu, Kiev ishaanza kupigwa kiberiti na warusi

View attachment 2389827
Huu mji unaenda kuwa kama Aleppo...
 
Vita hata mwaka haujaisha super-power wa mchongo ameanza kuomba silaha kwa Iran inamaana kaishiwa silaha
Ni Kama tu ambavyo US anapoenda kupigana Vita lazima awashirikishe allies wenzake (Tumeona mfano wa Afghanistan, Iraq, Libya etc)

Je, Russia yeye kuwashirikisha allies wake kuna ubaya gani?

Au kwa US "it's okay" lakini kwa Russia "it's big No".
 
Unajua ni ela kiasi gani marekani anatumia kwa allies wake mpaka trump akawaambie wabebe mzigo wake

Unajua hizo military base zilizotapakaa kwa allies wake zinagharamiwa na American tax payer
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom