International Forum

News and Stories from rest of the World

On JF:

Kutoka kuichukua kyiv 3days war had kuomba ihakikishiwe usalama wake. Hii ni baada ya meli za kivita za Russia kuonekana ni Ndoige baada ya kuzama kwa Moscova na sasa imezamishwa na meli ambayo...
5 Reactions
17 Replies
1K Views
Wanajeshi wa kikosi maalum cha Afghanistan ambao walipigana pamoja na wanajeshi wa Marekani na kukimbilia Iran baada ya machafuko ya kujiondoa kwa MarekanI wanaajiriwa na jeshi la Russia kupigana...
3 Reactions
8 Replies
1K Views
Wamemwekea vikwazo lukuki wakiamini kuwa uchumi wa urusi utakufa ghafla, kinyume chake uchumi wa nchi zao ndio unaoanguka!! Usicheze na nchi yenye maliasili zinazohitajika kwa lazima kwa maisha ya...
24 Reactions
54 Replies
4K Views
Urusi inataraji kupitisha muswada wa Marufuku yenye utata dhidi ya kueneza kile kinachoitwa "propaganda za wapenzi wa jinsia moja" inaonekana kuendelezwa kwa watu wazima wote. Hatua hiyo...
14 Reactions
94 Replies
4K Views
Wakati Warusi wanatumia drones za msaada wa Iran kupiga bembea za watoto wa Ukraine, ila Ukraine wanatumia drones kupiga vifaa vya kijeshi, tayari wamelipua meli moja ya kijeshi na zingine...
13 Reactions
150 Replies
11K Views
Putin aligoma kuruhusu melibza nafaka kutoka Ukrain, na akatishia kupiga blacksea blockade. Sasa Meli zimetoka Chini ya escort ya Turkey Navy Bila usumbufu wowote. Russian Navy base ilipigwa...
5 Reactions
21 Replies
2K Views
WAKATI NYIE MKO BIZE KUSHANGILIA KUHARIBU VYANZO VYA UMEME NA MAJI SIE TUNAENDELEA NA DOZI FLONTLINE Kherson Region Occupants elimination Ukraine War with Russia. The armed forces of the Russian...
3 Reactions
18 Replies
2K Views
Balozi Vincent Karega ameamriwa kuondoka Nchini ndani ya saa 48 kutokana na tuhuma za mara kwa mara za Rwanda kuunga mkono Waasi wa #M23, madai ambayo Rwanda imekuwa ikikanusha mara kwa mara...
4 Reactions
50 Replies
4K Views
Urusi uzuri wake husubiri achokozwe na ndipo hujibu.... Baada ya kuchokozwa na kushambuliwa meli zake kule baharini natabiri pale Kiev leo hakutalalika na tutarajie kichapo cha haja.
10 Reactions
42 Replies
4K Views
Mkutano Mkuu wa 20 wa Wajumbe Wote wa Chama cha Kikomunisti cha China (CPC) umemalizika hivi karibuni. Mkutano huu una umuhimu mkubwa kwa Wachina na hata jamii ya kimataifa. Akitoa ripoti katika...
0 Reactions
0 Replies
390 Views
Mkurugenzi wa Taasisi ya Utafiti wa Mambo ya China ya Chuo Kikuu cha Dar es Salaam Profesa Humphrey Moshi amesema, ziara ya rais wa Tanzania Samia Suluhu Hassan nchini China itaimarisha uhusiano...
1 Reactions
1 Replies
535 Views
"Unyanyasaji" wa Ukraine wa ukanda wa kibinadamu ulilazimisha Moscow kusimamisha, mjumbe ameliambia Baraza la Usalama. Ukraine "ilikiuka pakubwa" makubaliano ya Istanbul juu ya mauzo ya nafaka...
0 Reactions
1 Replies
869 Views
Wakati huo huo, waendeshaji wa gridi ya umeme Ukrenergy imeanzisha mgao wa umeme katika maeneo mengi Shirika kubwa la kibinafsi la umeme nchini Ukraine, DTEK Holding, lilisema Jumatatu kwamba...
0 Reactions
2 Replies
498 Views
Maafisa wa serikali ya Ukraine wasema kuwa Urusi imeshambulia na kuangamiza miundombinu muhimu zaidi ikiwemo ile ya umeme, maji, na reli kwenye majiji na miji mbalimbali nchini Ukraine kote...
5 Reactions
19 Replies
2K Views
Baada ya Rais Felix kuingia madarakani Wakongo tumejua mengi saana kuhusu nchi yetu, mwanzo tulikuwa tunafikiri labda Congo ni nchi dhaifu saana tena saana ndo maana nchi kama Rwanda na Uganda...
15 Reactions
11 Replies
1K Views
Hilo dude hilo. missles 46 kati ya 50 zimechakazwa. zilikua zinalenga miundo mbinu na makazi ya raia
5 Reactions
15 Replies
1K Views
Wanawake hawa ni "Masista wa eneo hilo," wanaojulikana zaidi kama Watawa wa bangi. Wakiongozwa na Mtawa Kate, wanawake hao ni wanachama wa kundi linalojiita watawa wanaojitambulisha kama watetezi...
0 Reactions
7 Replies
1K Views
Rais wa zamani Luiz Inacio #Lula da Silva ameshinda kiti cha Urais Kwa asilimia 50.9 ya Kura zote, dhidi ya Mpinzani wake Jair Bolsonaro. Rais Lula alishindwa kugombea katika Uchaguzi uliopita wa...
1 Reactions
14 Replies
2K Views
Bara la Ulaya sasa lina akiba kubwa sana ya gesi asilia tofauti na walivyotegemea hapo awali kufuatia kutiliwa ngumu na Russia ambayo imekuwa ikilipiza kisasi cha kuwekewa vikwazo na nchi za...
4 Reactions
29 Replies
3K Views
Rais wa Zimbabwe Emmerson Mnangagwa amezindua shamba la bangi kwa ajili ya dawa lenye thamani ya dola za kimarekani milioni 27. Shamba hilo limewekewa kiwanda cha kisasa cha usindikaji ambacho...
9 Reactions
35 Replies
3K Views
Back
Top Bottom