Kila penye ugomvi duniani unaohusu ndugu na majirani lazima Marekani atakuwepo upande mmoja wapo wa watu hao.
Ukienda Pakistan na Afghanistan utamkuta Mmarekani,Ukienda Urusi na Ukraine ni hivyo...
Haya kumekucha Ulaya baada ya kujazwa upepo na USA sasa wanapambana misituni kuokoteza kuni kwa ajili ya kupasha nyumba hasa ikizingatiwa msimu wa baridi ndio umekaribia.
Putin anawarudisha enzi...
Katika hali ya kushangaza, inaripotiwa kwamba waziri huyo mkuu wa zamani ambaye kwa sasa anaipa serikali iliyoko madarakani upinzani mkubwa ameshambuliwa kwa risasi akiwa kwenye maandamano karibu...
Ubelgiji na Ufaransa Wamekuwa wakivuna shamba la Madini la Jamuhuri ya Kidemokrasia ya Congo na kulifaidi pasipo kupanda kitu.
Nchi ya Congo ni moja katika ya nchi duniani zenye utajiri mkubwa wa...
Nimefanya uchunguzi wa ndani kuhusu vita hii nimegundua vita hivi ni vya ukabila tu
Mnyarwanda si dhani kama anahusika au hahusiki
Ila ukabila ndo chanzo cha vita hii
Na serekali ya Kongo...
By Rajeev Ramachandran Nov 2/2022
IT’S no longer a news that Cochin International Airport, one of the busiest airports in India in terms of international traffic, is running fully on solar...
Hii inaweza kuwa Hotuba yake ya Pili inayovunja Rekodi ya Hotuba yake ya Kwanza ya Munich 2007, hotuba Makini, yenye utulivu inayohitaji Utulivu kumuelewa.
Kuna Nchi zina Marais bwanaa, watu...
Ni ukweli usiopingika majirani hawa kihistoria walikuwa wanakula pamoja wanacheka pamoja wanacheza pamoja lakini sasa wamekuwa paka na panya Korea Kaskazini na Korea Kusini sababu ni wewe...
Iran wanataka kudiriki kuvamia kule ambako ndiyo chimbuko la dini ya Mwarabu, japo Marekani wamesema watailinda Saudia kwa vyovyote vile.
=========
Saudi Arabia has shared intelligence with...
Operesheni maalum" ya Putin haijaenda kulingana na mpango. Kile kilichopaswa kuchukua siku au wiki kadhaa tayari imechukua miezi kadhaa.
Kremlin inaonekana kabisa haikuchukulia upinzani wa...
Gianna Amani
Wadau mbalimbali wameeleza kuwa Chama cha Kikomunisti cha China (CPC) kinajali mstakabali wa watu wote duniani, amani haki na ushiriki wa pamoja katika kutatua changamoto...
Elon Musk amevunja bodi ya Twitter na kujifanya "mkurugenzi pekee" wa kampuni hiyo.
Wanachama wote wa awali wa bodi hiyo wameondolewa kwenye jukumu hilo, na kumwacha Bw Musk pekee kama...
Ziara ya hivi karibuni ya Olaf Scholz nchini China ni ujumbe kwamba Washington haiwezi kulazimisha sera ya nje ya Berlin.
Kansela wa Ujerumani Olaf Scholz anatazamiwa kuzuru China wiki hii. Ni...
Ndege hiyo ya UAV iliangushwa katika mji wa Raska, karibu na mkoa unaozozaniwa wa Kosovo.
Wanajeshi wa anga wa Serbia wameidungua ndege ya kibiashara isiyo na rubani karibu na mpaka wa Kosovo...
Wajuvi karibuni na wanahistoria tupate elimu. Historia ya kumegwa Kosovo toka Serbia kwa msaada wa NATO na kumegwa kwa CRIMEA&Co(Luhansk,Donetsk,Donbass) kwa msaada wa Urussi.Je umegaji upi ni...
Kyiv. Rais wa Ukraine Volodymyr Zelensky amekiri rasmi nchi yake imepokea mifumo ya ulinzi wa anga NASAMS kutoka serikali ya Marekani.
The National Advanced Surface to Air Missile System...
Uchina yasema 'haitatafuta uzushi'
Beijing ilijibu baada ya Mkakati mpya wa Kitaifa wa Ulinzi wa Washington kutaja Uchina kama tishio kuu la Amerika
Uchina yasema 'haitatafuta ukuu wa ulimwengu”'...
Halafu Morocco ni Waarabu kiaina, ukizingatia namna ambavyo tunapenda kuponda Wazungu na ambavyo Waafrika wanateseka wakijaribu kuingia uzunguni, vijana kama hawa kwenye hii video wanafikirisha...
Are you a foreigner and tired of using #Google #Maps to reach premises you desire in #Dar- es-salaam?
Here a guy who will accompany you to all your movements and you will enjoy a new experience...
Brits italazimika kulipa mara mbili zaidi kwa nishati katika miezi ijayo, opereta ameonya
Kaya za Uingereza zinakabiliwa na msimu wa baridi 'ngumu sana' - Gridi ya Kitaifa
Kaya nyingi za...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.