International Forum

News and Stories from rest of the World

On JF:

Zaidi ya watu mia moja wamefanya maandamano hayo katika Mji wa Monrovia, yakiratibiwa na muungano wa vyama vya upinzani wakilalamika kupanda kwa bei ya vitu na uhaba wa mahitaji ya msingi...
0 Reactions
8 Replies
1K Views
Tafsiri kutoka gazeti la The Hindu INDIA imelaani vikali Jumuiya ya Ushirikiano wa Kiislam(OIC),ikisema kuwa Jumuiya hiyo imepoteza uaminifu kufuatia ziara ya Katibu Mkuu wake Hissein Brahim...
0 Reactions
3 Replies
812 Views
Vladimir Makey mwenye umri wa miaka 64 alishikilia wadhifa huo tangu 2012 Waziri wa Mambo ya Nje wa Belarus Vladimir Makey, alifariki ghafla siku ya Jumamosi, shirika la habari la Belta...
1 Reactions
4 Replies
1K Views
The Satanic nature of the US Government and other Western Governments hidden for many generations have now been exposed: They have VOTED AGAINST The United Nations Resolution to Combat...
5 Reactions
47 Replies
3K Views
Habari wadau, Nchi za Zambia na DRC Congo zimekuwa zinajitahidi kuepukana na makucha ya unyonyaji kutoka China ambae ameshika mamia ya migodi kwenye Nchi hizo Hadi kufikia Zingine kuelemewa na...
0 Reactions
48 Replies
3K Views
20 July 2022 Washington DC TAARIFA YA KIKAO KIJACHO CHA RAIS BIDEN NA VIONGOZI WA AFRIKA / US - AFRICA SUMMIT 2022 Rais Joe Biden awaalika Viongozi wa Afrika kwa Majadiliano Washington Taarifa...
7 Reactions
187 Replies
11K Views
Wapenzi wa Soka ambao watakuwa nchini Qatar kwa ajili ya Kombe la Dunia la Novemba 2022 wamepewa maagizo ambayo ni lazima wayafuate ili kufurahia kukaa kwao wakati wa mashindano ya kimataifa ya...
7 Reactions
99 Replies
9K Views
In mid-November, while the whole world was focused on the Ukraine crisis, the US midterms or whatever other “big story” the media decided was more important, a truly momentous shift took place in...
1 Reactions
8 Replies
955 Views
Kwa mara ya kwanza duniani, wanasayansi wa Marekani katika Maabara ya Lawrence Livermore katika jimbo la California kupitia process ya nuclear fusion wameweza kuzalisha nishati kubwa zaidi kwa...
3 Reactions
7 Replies
844 Views
Hukumu hiyo imetolewa na Mahakama ya Sharia, Jimbo la Kano baada ya Abduljabar Nasir Kabara kukutwa na hatia ya kumkufuru Mtume Muhammad na uchochezi kupitia baadhi ya mahubiri yake, ingawa...
1 Reactions
28 Replies
3K Views
Katika tukio lisilo la kawaida, Rais wa Sudan Kusini, Salva Kiir mwenye miaka 71 ameonekana akitokwa na haja ndogo wakati wa hafla ya Kitaifa na wimbo wa Taifa ukipigwa. Kitendo hicho kinaibua...
19 Reactions
198 Replies
17K Views
Shirikisho la Soka Ulimwenguni (FIFA) linadaiwa kuwa limekataa ombi la Rais wa Ukraine Volodymyr Zelensky kutaka kuhutubia kabla ya mchezo wa Fainali ya Kombe la Dunia kati ya Argentina na...
4 Reactions
49 Replies
4K Views
Nimefika hapa Qatar toka tarehe 11.12.2022 kwa ajili ya kushuhudia mechi ya France vs Morocco ila jambo moja nimeshuhudia hawa wenyeji washenzi wa tabia. Vijana toka Afrika wanadhalilishwa na...
6 Reactions
42 Replies
4K Views
Chama tawala nchini Afrika Kusini cha African National Congress kimewateua wajumbe wawili kugombea nafasi ya uongozi wa chama hicho. Mshindi wa kinyangànyiro hicho atagombea urais katika uchaguzi...
0 Reactions
0 Replies
467 Views
Rais wa Sudan Kusini: Tumeshafikia makubaliano na Machar ya kuunda serikali ya umoja Rais Salva Kiir wa Sudan Kusini amesema, yeye na aliyekuwa kiongozi mkuu wa waasi Riek Machar leo wamefikia...
1 Reactions
6 Replies
1K Views
Mwanamke huyo mwenye umri wa miaka 20 amehukumiwa kifungo cha miezi sita baada ya kukubali kosa, awali alihukumiwa kifo kwa kupigwa mawe, lakini baada ya malalamiko ya wanaharakati na taasisi...
0 Reactions
21 Replies
2K Views
Naona taarifa mbili zinarushwa kwa kurudiwa rudiwa sana na Al jazeera Moja ni Rais Biden akikutana na Viongozi wa Afrika Mbili, Rais Biden akisaini Sheria ya kuruhusu Ndoa za Jinsia Moja...
6 Reactions
17 Replies
2K Views
Twitter yasitisha akaunti za waandishi wa habari wanaoandika habari za Musk Twitter ilisimamisha akaunti Alhamisi ya zaidi ya wanahabari nusu dazeni waliokuwa wakiandika kuhusu kampuni hiyo na...
1 Reactions
10 Replies
1K Views
Kwa kweli hi hali inatisha na inashangaza sana sijui hi Dunia itakuwaje kwa vizazi vya kesho Maana Sasa tutashuhudia nyimbo na movie nyingi zikihamasisha haya mambo (CNN)President Joe Biden...
1 Reactions
14 Replies
1K Views
Back
Top Bottom