Ghana ni Taifa namba mmoja mzalishaji wa dhahabu Africa. Ni mojawapo ya wazilishaji wakubwa wa mafuta Africa na pia ni mojawapo ya wazalishaji wakubwa zaidi wa Cocoa duniani.
Kwa sasa uchumi wao...
Supapawa anazidi kutia huruma, amesaidiwa na Syria, Iran, Korea Kaskazini, wafungwa kwenye gereza zake wakiwemo baadhi ya Waafrika, ameokoteza hadi wanywa gongo mtaani ila bado anapigwa tu...
Mashirika ya Serikali yameanza kupiga marufuku matumizi ya huduma maarufu ya mitandao ya kijamii ya TikTok kwenye vifaa vinavyodhibitiwa na serikali kwa kuhofia kwamba China inaweza kuitumia...
Korea kaskazini imekana kuwa haimpi mrusi siraha wala haina mpango huo baada ya ripoti ya marekani kuwa korea ambaye ni mshirika wa karibu wa urusi imeombwa na urusi kumpa siraha.
=========...
Akiwahutubia wana usalama, amesema ngoma ni ngumu sana pale Donetsk na Lugansk, yaani huyu jamaa ni kama huvuta bangi, nakumbuka alipompa Zelensky masaa 24 aihame nchi, leo analia lia...
Na...
Kwa mara ya mwanzo tangu vita vianze raisi Zelensky wa Ukraine ameondoka nchini mwake kuelekea Washington ili kukutana na Rais Biden.
Huku safari ikiwa imeiva nchi nzima ilisikika ving'ora...
Super power anafundishwa jinsi ya ku hit Target. Hii ni baada ya mashambulizi ya Russia kwenye soft target nchini Ukraine kupungua wakambembe wazee wakazi wameona watoe darasa kidogo.
taarifa ni...
Naibu waziri mkuu wa Zamani wa Urusi, Dmitry Rogozin ajeruhiwa baada ya Makombora ya HIMARS kupiga Hotel moja mji wa Donetsk na kusababisha vifo vya makamanda wengine 2 wa kijeshi wa Urusi. Katika...
In a sudden turn of events,the snake spits it's vernom:WHO declares war on unvaccinated people, likens them to murderers by calling them “a major killing force globally.” So what is next,is force...
Ukraine wametoa taarifa walivyotumia kombora aina ya Neptune kuipiga meli kubwa ya kivita ya Urusi, yaani kombora moja tu, limeli lote chali, gharama yote hiyo, hasara yote hiyo, Mrusi bado...
Hali imekua tete kwa makundi ya kigaidi ya waislamu, Iran iliyokua ikiwafadhili imeishia na haitumi hela tena....
Na maandamano Iran bado yako pale pale ili kupinga dhuluma zinazofanywa na...
Sasa sijui wanalia nini, kwani rais wa Ukarine hana uhuru wa kufanya ziara ya nchi nyingine aitakayo???
Subirini mfumo wa Patriot usimikwe vizuri ili show iendelee...
The Kremlin said that...
Yaani masaa machache baada ya Putin kusheherekea kumbukumbu ya kuzaliwa kwake (birthday), wazalendo wa Ukraine wakamtumia salamu kwa kulipua daraja ambalo lipo moyoni mwake, alilotumia hela ndefu...
Jenerali wa Kiukraine na kiongozi mzoefu, ambaye yuko kwenye mstari wa mbele wa mapigano. Amekili wazi katika mahojiano na chombo cha habari na kusema Urusi siyo mjinga, pia siyo mdhaifu...
Iran imemnyonga Majidreza Rahnavard ambaye ni Mtuhumiwa mwingine aliyetiwa hatiani kutokana na vurugu kwenye maandamano yanayopinga utawala wa Kiislamu Iran.
Amekutwa pia na kosa la kutangaza...
Akizungumza kwenye Mkutano na Rais Joe Biden wa Marekani na Marais takriban 50 wa Afrika, Rais Nana Akufo-Addo amesema Afrika lazima iache kutegemea nchi za Magharibi ili kubadili mitazamo duni...
Asubuhi ya leo Jimbo la Urusi la Siberia ambalo ndilo lenye utajiri mkubwa wa Mafuta limekumbwa na milipuko 2 katika viwanda 2 vya kusafisha Mafuta.
Milipuko hiyo imesambaratisha kabisa...
Dimitri Zakarchenko,Mkuu msaidizi wa Kitengo cha Kudhibiti Rushwa wizara ya mambo ya ndani ya Urusi akutwa na ameficha rundo la noti ikiwemo dola za kimarekani milioni 120($120),Pound milioni 2(€...
Mkutano wa pili wa wakuu wa Marekani na nchi za Afrika umekamilika hivi karibuni mjini Washington. Vyombo vya habari vya kimataifa vinaona baada ya miaka minane, Marekani inatupia macho yake tena...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.