Mobior Garang mtoto wa rais wa kwanza wa Sudan Kusini, alikuwa waziri wa maji na alifanikiwa sana kuhakikisha kila mahali nchini kwake Kuna maji.
Hapa bongo kwa muonekano wa huyu mshikaji hata...
As for me I have this kind of a passion of going to a celebrity previous interview and do my analysis on how the celebrity is growing or maybe falling. I want to hear from you guys lets share...
Bunge la Afrika Kusini limepiga kura kumlinda Rais Ramaphosa kuondolewa madarakani.
Chama tawala ANC kimemkingia kifua huku wabunge wanne tu kutoka chama hicho waliounga mkono hatua ya...
Tofauti na "Ngozi nyeusi" wengi tunavyoamini au kuaminishwa, Hakuna mataifa yenye waarabu yalioyo barani africa hupenda kutambuliwa kama waafrika.
Haya mataifa hutumia uafrika tu pale kwenye...
Watoto kadhaa nchini Misri wanaripotiwa kufariki baada ya kupewa kimakosa antibiotics bandia.
Katika kisa kimoja mtoto wa umri wa miaka miwili aliyekuwa na joto kali alifariki baada ya madaktari...
Barua ya Dkt. VG Somani, Mdhibiti Mkuu wa Dawa iliyotumwa kwa Mkurugenzi Shirika la Afya (WHO) anayesimamia Udhibiti na Sifa za Dawa imesema dawa hizo zilizingatia Viwango vyote vya Usalama.
Dawa...
Donetsk kumewaka moto, Warusi wapoteana....viongozi wa Urusi wanasema hawajashuhudia aina hii ya mashambulizi kwa miaka mingi.
MOSCOW, Dec 15 (Reuters) - Ukrainian forces shelled the...
#AFG Taliban wamemshikilia na kumtesa mwandishi wa habari wa eneo hilo, Zabiullah Noori ambaye anafanya kazi katika Radio Takharestan katika jimbo la Takhar, Kaskazini-mashariki mwa Afghanistan...
takriban watu wanane wameuawa na makumi ya wengine hawajulikani walipo baada ya maporomoko ya ardhi kupiga eneo la kambi katika jimbo la Selangor nchini Malaysia, maafisa wanasema.
mamlaka...
Putin alipokua anapiga vyanzo vya umeme kule Ukraine, hakujua na kwake sio mbali kihivyo, kwamba hakufikiki, haya.
---
Another suspicious fire has started in Russia as the country struggles amid...
Caroline Nassoro
Hivi karibuni, serikali ya China ililegeza masharti na hatua za kukabiliana na maambukizi ya virusi vya Corona (COVID-19), na hii inatokana na mafanikio makubwa yaliyopatikana...
Congress Wants to Boot Russia From U.N. Security Council
The Biden administration is also interested in watering down Russia’s influence at the United Nations.
By Jack Detsch, a Pentagon and...
Tuliambiwa kwamba Ukraine akithubutu kulipua ndani ya Urusi ndio itakua mwisho wake, haya, imekua kawaida sasa kwa kambi za kijeshi kulipuka mabomu ndani ya Urusi.
Huyu Putin aguswe wapi ndio...
Mzaliwa wa Rwanda Suedi Murekezi ambaye inasemekeana kuwa ni - US airforce veteran alikamatwa na majeshi ya urusi katika mwezi June akiwa nchini Ukraine ni mmoja kati ya askari 64 wa Ukraine...
Vladimir Putin said Wednesday that Russia is rerouting trade to "reliable international partners" such as Brazil, India, China and South Africa as the West attempts to sever economic ties.
"We...
Ni baada ya Ripoti ya Shirika la kutetea Haki Za Binadamu la Amnesty International kubaini kuwa wahamiaji 37 badala ya 23 walifariki katika mpaka wa Melilla walipokuwa wakijaribu kuvuka kutoka...
Takriban watu 22 wamefariki na wengine kadhaa wamelazwa hospitali nchini India baada ya kunywa pombe yenye sumu.
Vifo hivyo vimetokea katika vijiji viwili kwenye jimbo la Bihar, ambapo uuzaji na...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.