Msemaji wa White house amesema kwamba miezi michache ijayo Marekani itatuma vifaru aina ya M1 Abrams nchini Ukraine. Wanajeshi wa Ukraine wataanza kupatiwa Mafunzo ya vifaru hivyo nchini Poland...
Mizoga ya Warusi inaendelea kutapakaa Ukraine.
=========
The General Staff of the Ukrainian Army has indicated that 910 Russian servicemen have been killed during the last 24 hours and added...
Marekani imepiga hesabu zake imeona kuwa Putin atamdaka Rais wa Ukraine ndani ya siku chache mno. Kufuatia hivyo, imeona bora imchukue kibaraka wake huyo (rais wa Ukraine) kwa kumtorosha toka...
Wizara ya mambo ya nje ya Ufaransa ilisema Alhamisi kuwa inamwita nyumbani balozi wake nchini Burkina Faso, ikitaja muktadha wa matukio ya hivi karibuni, siku moja baada ya Paris kutangaza kuwa...
Mara nyingi USA na NATO wamekuwa wakilalamika kuhusu hili kundi la Wagner Group ambalo linasemekana chimbuko lake urusi limekuwa likiwanyima usingizi.
sasa hivi taarifa kutoka kwenye taasisi za...
A dollar collapse is now in motion and it is Saudi Arabia which has initiated the end of the petro dollar status.
Wednesday, January 25, 2023
The decline of a currency’s world reserve status is...
Kama mpaka sasa Jeshi la Ukraine limeweza kuwapa upinzani wa kiwango hiki, ni wazi Jeshi la Russia sio strong kama linavyoelezewa na ni wazi lisingeweza kuhimili majeshi ya NATO kama tu Jeshi la...
Wizara ya Afya ya #Malawi imesema wanakabiliwa na uhaba wa chanjo na kuwa idadi ya watu kwa jumla walioambukizwa Kipindupindu tangu Mwaka 2022 mpaka Januari 24, 2023 ni 30,600.
Novemba 2022 Nchi...
Mpaka sasa Urusi imepoteza idadi ya wanajeshi sawia na active personel wote wa EAC na uchee.....na wameambulia asilimia 15% ya Ukraine ambayo na yenyewe inawatokea puani wanaikimbia...
Russia's...
Wakati sehemu kubwa ya dunia ilipopitia mdororo mkubwa wa uchumi mwaka 2008-2009, China, kupitia juhudi kubwa za matumizi ya serikali, iliweza kukabiliana na dhoruba na kuinua uchumi wa dunia...
Ni kufuatia Mauaji ya Martinez Zogo, na mwili wake kutupwa Nje kidogo ya Mje Mkuu Yaoundè, Jan. 22, 2023 baada ya kutekwa nyara na watu wasiojulikana
Siku chache kabla ya kifo chake, Mwandishi...
Putin anaendelea kuachiwa apambane na hali yake, wanaume, wengi wao wakiwa vijana barubaru wameikimbia nchi..... Maana hawaoni tija ya kuburuzwa kwenda kupigana na jirani ambaye hana uadui na...
Jameni Warusi wanapitia mateso sana, mtu amejeruhiwa amepasuka pasuka analazimishwa arudi vitani akapigane na kufia huko, hii aibu itaisha lini maana kama inazidi kuwa mbovu.....
Severely injured...
maudhui ya kutisha - kwenye Halloween. Muigizaji huyo mwenye umri wa miaka 22 alifanya onesho mara kwa mara kwenye klabu ya usiku ya queer huko St Petersburg inayoitwa Gender Blender.
Lakini...
Mmoja wa wasaidizi wakuu wa Rais wa Ukraine Volodymyr Zelensky amejiuzulu kabla ya mabadiliko ya serikali yanayotarajiwa.
Kyrylo Tymoshenko alikuwa naibu mkuu wa ofisi ya rais na alimshukuru Bw...
Ushahidi wa kwanza wa kuangamizwa kwa silaha ya mfumo wa kinga ya anga ya Urusi maarufu kama (S-400 Air Defence System) umepatikana.
Hii ni mara ya kwanza kwa Ukraine kutoa ushahidi wa wazi...
Watu wanashindwa kumuelewa Donny. Nafikiri kinacho fanya anakuwa controversial ni kwa sababu njia yake ya kutimiza mambo, yupo aggresive na egoistic. Ila kwa mambo aliyokuwa akiyafanyia kazi...
Namnukuu Jenerali Milley:
"Kwa mtazamo wa kijeshi, haya ni mapigano magumu mno kwa ukraine".
"Nasisitiza tena, kwa huu mwaka itakuwa ni ngumu, ngumu sana kuviondoa kijeshi vikosi vya Urusi katika...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.