Financial Analyst
JF-Expert Member
- Nov 27, 2017
- 2,409
- 5,715
Watu wanashindwa kumuelewa Donny. Nafikiri kinacho fanya anakuwa controversial ni kwa sababu njia yake ya kutimiza mambo, yupo aggresive na egoistic. Ila kwa mambo aliyokuwa akiyafanyia kazi yaliprove kuleta matunda.
Trump sio mbaguzi ila Trump ni Pro-American. Kwa maana Trump alipenda na alitaka kuilinda pride, usalama na identity ya Marekani.
Jiulize kama ingekuwa wewe nchi yako ina janga la uingiaji haramu la watu kwenye mipako yako. Sio tu watu wa kawaida ila vijana ambao wanajihusisha na vitendo vya uharifu wa magenge na usambazaji wa dawa za kulevya. Kweli usinge leta sheria kai katika mipaka na ujenzi wa ukuta (fency)? Je usingewakamata kwa nguvu na kuwarudisha kwao?
Jiulize kama wewe ungekuwa nchi yako inapokea kesi nyingi za ugaidi kutoka kwa watu watokao katika mataifa flani. Je usingeweza kutengeneza utaratibu mkali wa upatikanaji wa visa katika mataifa haya? Je usinge zuia safari za watu kuja nchini kwako kutoka kwa nchi hizi?
Kwani ni uongo nchi zetu za watu weusi sio shithole. Angalieni tunavyopelekeshwa na viongozi wetu, angalia wanavyokula pesa za grants na mikopo. Mnaelewa vizuri corruption za wazi wazi za nchi zetu.
Trump kwa muda mfupi aliweza kurudisha hadhi ya Marekani katika soko la kimataifa, aliweza kuongeza employment kwa kiwango kikubwa, Aliweza kuvipatia nguvu viwanda vya uzalishaji ambavyo vilikuwa vimeanza kuwa overshadowed na China, usalama mipakani na mengine mengi.