International Forum

News and Stories from rest of the World

On JF:

Rais wa Uturuki Recep Tayyip Erdogan amesema kuwa Ankara inaweza kukubali Finland kujiunga na Nato, lakini si Sweden. Alikosoa hatua ya Uswidi kukataa kuwarejesha makumi ya watu wanaodaiwa...
2 Reactions
131 Replies
5K Views
Mkuu wa magaidi ya Islamic state aliyekua amejificha kwenye pango Somalia, ameuawa na makomando wa Marekani, pia washirika wake kumi wamewahishwa huko peponi. Poleni wenzetu humu JF ambao hutetea...
25 Reactions
364 Replies
17K Views
Siku zote nimekua na sikiliza hotuba za rais wangu felix tshisekedi akisema kuwa M23 ni wanyarwanda ambao wako Kongo kupora mali ya Kongo Na rais wa Rwanda ndo mfadhili mkuu wa kundi hili la M23...
1 Reactions
6 Replies
1K Views
Urusi imesema idadi ya vifo vya wanajeshi wake kufuatia shambulizi la Ukraine kwenye mkesha wa Mwaka Mpya katika eneo la Makiivka imepanda hadi 89. Moscow imesema mapema leo kuwa miili zaidi...
11 Reactions
45 Replies
3K Views
Ni mwendo wa kuua tu, Twenty-eight people have died in new attacks by suspected jihadists in Burkina Faso, including 15 who had been abducted at the weekend, the authorities said Tuesday...
0 Reactions
4 Replies
694 Views
Idadi ya waliouawa imeongezeka hadi watu 100 baada ya shambulio la bomu la kujitoa muhanga msikitini lililowalenga polisi katika mji wa Peshawar nchini Pakistan. Msikiti huo uko ndani ya eneo...
3 Reactions
13 Replies
833 Views
Umoja wa Mataifa (UN) imetoa angalizo hilo katika ripoti yake kuhusu biashara haramu ya bidhaa za matibabu. Biashara hiyo inaweza kusababisha dawa za kuua wadudu kutofanya kazi au maambukizi ya...
2 Reactions
7 Replies
881 Views
Katika hali iliyoonekana kama vile kuzidiwa na uzee au matatizo ya kusahau sahau Rais wa Cameron, mheshimiwa Paul Biya alijikuta akigeuka kichekesho wakati wa mkutano wa kimataifa wa US Africa...
13 Reactions
61 Replies
5K Views
Hii inaonyesha hali ilivyokua ngumu kwa Mtanzania aliyeuawa akimpigania Putin, yaani ni aidha usonge mbele ufe au unyofolewe sehemu nyeti...yaani mapum.bu The merciless tactics of the Wagner...
6 Reactions
62 Replies
4K Views
Kwa minajili ya Wikipedia, active personell wa JWTZ ni 28,000 sasa ukizingatia wanajeshi wa Urusi wameuawa 127,000 hiyo ni mara nne ya JWTZ, au kama vipi hapo ina maana wamefyekwa idadi ya...
1 Reactions
75 Replies
3K Views
Kwa sasa wanatumia diplomasia, ila kenge akisisitiza na kutokuskliza, basi itabidi kichapo tu.... Taifa lenye mizuka ya kidini na kigaidi gaidi haliwezi kuruhusiwa kumiliki nyuklia...
4 Reactions
23 Replies
2K Views
Mlipuaji wa Bomu hilo lililojeruhi watu 157 amefanya tukio hilo akiwalenga askari Polisi ambao ndio wamekuwa wakisali kwa wingi katika Msikiti uliopo Peshawar katika eneo linalotumiwa na...
1 Reactions
28 Replies
2K Views
Maelfu ya Wananchi wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo wameshiriki katika maandamano ya amani dhidi ya kundi la waasi la M23 wanaopigana mashariki mwa nchi hiyo Ni baada ya Kanisa Katoliki lenye...
6 Reactions
12 Replies
1K Views
Mzuka wanajamvi. Naomba mwenye ufahamu, Hivi vifaru vya leopard vina sifa gani special tofauti na vifaru vingine? Uwezo wake wa kushambulia bila shaka utakua mkubwa, lakini uwezo wake wa...
15 Reactions
92 Replies
9K Views
Mdhulumaji Mrusi anasakamwa kote kote.... ===== The European Court of Human Rights has ruled that complaints against Russia from Ukraine and the Netherlands should go to trial. They pertain to...
2 Reactions
36 Replies
3K Views
Takriban watu 32 wameuawa katika mlipuko uliotokea kwenye msikiti mmoja katika mji wa Peshawar nchini Pakistan. Mlipuko huo ulitokea wakati msikiti huo ukiwa umejaa waumini na zaidi ya watu 150...
0 Reactions
17 Replies
916 Views
Entomological warfare has been going on for decades using insects as vectors.How are we as a country prepared for this very inhuman harsh reality. Monday, January 30, 2023 by Biological...
0 Reactions
0 Replies
614 Views
Waziri mkuu wa Israel, Benjamin Netanyahu anatarajiwa Kupeleka mswaada Bungeni ambao utawaruhusu raia wa Israel kumiliki bunduki ili Kujilinda. Hayo yanajiri wakati kukiwa na majibizano ya...
8 Reactions
42 Replies
3K Views
Urusi iko desperate kwenye hii vita ya Ukraine. Kwa ukubwa wa Urusi na capabilities zake hii vita ilitakiwa iwe imekwisha kitambo. Putin hana huruma hata kwa raia zake wenyewe. Vijana...
1 Reactions
9 Replies
1K Views
Paul Kagame, rais wa Rwanda anayetunishiana misuli na Felix Tshisekedi wa Congo, wakitupiana maneno, ambayo yanaendelea kudhoofisha mahusiano ya majirani hao! Kwa haya yanayoendelea kubainika...
3 Reactions
13 Replies
2K Views
Back
Top Bottom