Vifaru chapa leopard vina kitu gani hasa special?

Vifaru chapa leopard vina kitu gani hasa special?

Mrengwa wa kulia

JF-Expert Member
Joined
Mar 21, 2022
Posts
1,145
Reaction score
3,765
Mzuka wanajamvi.

Naomba mwenye ufahamu,

Hivi vifaru vya leopard vina sifa gani special tofauti na vifaru vingine? Uwezo wake wa kushambulia bila shaka utakua mkubwa, lakini uwezo wake wa kujikinga na mashambulizi upoje?

Je, uwezo wa kua sported kwenye uwanja wa vita na kua target ya kuviangamiza hauhofiwi?

Nimeona Serikali ya Kyiv inavipambania kuvipata na inauhakikishia ulimwengu kua itakomboa maeneo yote ilio pokonywa na russians. Nimeona hadi Poland inatishia kuvipeleka hata kama German watakataa kuidhinisha.

Najiuliza inauspecial gani hasa? Inabeba makombora gani?

Ninachokijua mimi ni kuwa. Vinatengenezwa German na uzalishaji wake ni kwaajili ya ujerumani na inaviuza kwa nchi maalumu tu. Na german haitaki visambae kwenye mataifa ambayo haijachagua kusambazwa huko.

Pia najua mataifa mengi wanavililia. Hicho tu ndicho nacho kijua. So mwenye maelezo ya ziada atujuze tupate elimu.

Sijaandika kishabiki.

Wasalaam.
 
Unazani kwa nini hataki Polans avipeleke Ukrine? Hahaaa vita angamizwa na soko litaishia hapo, Yaani pale Ukrine hakuna nchi inataka ipeleke Silaha zakw ambazo inazioma ni very advance kwa sababu zinaweza haribiwa na soko likaisha
 
Unazani kwa nini hataki Polans avipeleke Ukrine? Hahaaa vita angamizwa na soko litaishia hapo, Yaani pale Ukrine hakuna nchi inataka ipeleke Silaha zakw ambazo inazioma ni very advance kwa sababu zinaweza haribiwa na soko likaisha
Hata Mrusi hataki kuingiza hapo ndege zake zinazosifiwa kila mara.
 
Wabongo bhana ya ndani tu hauyajui hata utaratibu wa mapato na faida za kodi unazokatwa hujui alafu unataka kujua vifaru vya huko ujerumani[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Nini tusicho jua kuhusu fedha zetu ...tunajua kila kitu kuwa kodi zetu ni toilet paper ya wahuni wa msoga na waarabu koko wenye wajomba omani kina rostam azizi ...tunajua kuwa kodi zetu zipo kuwa nenepesha wahuni wa sisiemu hakuna kipya
 
Nini tusicho jua kuhusu fedha zetu ...tunajua kila kitu kuwa kodi zetu ni toilet paper ya wahuni wa msoga na waarabu koko wenye wajomba omani kina rostam azizi ...tunajua kuwa kodi zetu zipo kuwa nenepesha wahuni wa sisiemu hakuna kipya
😂😂😂😂 Basi umefeli jua kwanza ya nchi yako ndipo leopadi utamjua
 
Hakuna kitu pale make vilipelekwa Syria na viliharibiwa vibaya sana, Wazungu utawaweza? na hofu ya Ujerumani ni kwamba endapo vitaharibiwa na Urusi basi watakosa soko kabisa
Ujerumani huwa inaringa kuuza vifaru, wewe uko hapa unasema inaogopa kukosa soko. Poland imelazimika kununua K2 Black Panther vya South Korea ambavyo vimetengenezwa kwa msaada wa Ujerumani na vinafanana na Leopald 2. Ni baada ya Ujerumani kukwepakwepa kuuza.

Ujerumani huwa haibembelezi kuuza silaha. Ni makampuni binafsi ila serikali ina masharti kuja kukuuzia silaha.
 
What is a Leopard 2 tank?

The Leopard 2 is one of the world’s leading battle tanks, used by the German Army for decades and by the militaries of more than a dozen other European nations, as well as by the armies of countries as far apart as Canada and Indonesia. It has seen service in conflicts in Afghanistan, Kosovo and Syria.

The tank, which is powered by a diesel engine, features night-vision equipment and a laser range finder that can measure distance to an object, enabling it to better aim at a moving target while traveling over rough terrain. There are multiple iterations of the Leopard 2 with different features and designs.

How could the tank help Ukraine?

Until now, both Ukraine and Russia have used Soviet-era tanks in battle, and the Leopards would offer a big step forward in capability. Ukraine’s government has been calling for tanks on top of earlier packages of military aid from allies in the United States and Europe that included aircraft, air defense systems to protect against Russian missile and drone attacks and longer-range artillery.

Supplies of the Leopard 2 would help offset Russia’s superiority in artillery firepower, which aided Moscow in seizing two cities in eastern Ukraine’s Luhansk Province over the summer. They could be of particular value as the war approaches its second year and Ukraine looks to reclaim lost territory and expects a Russian spring offensive.

What are the advantages of Leopards over other tanks?

Britain has promised to supply Ukraine with 14 of its Challenger 2 tanks, and two U.S. officials said on Thursday that Washington planned to supply nearly 100 Stryker combat vehicles, though it has not committed to sending American-made M1 Abrams tanks, which require constant upkeep and generally run on special fuel.

Military experts said that the chief advantage of the Leopard 2 was the quantity that could be sent to Ukraine and the relative ease of repair and logistics.

“The Leopards are in Europe, they are easy to get to Ukraine and several European countries use them, so they are readily available,” said Minna Alander, a research fellow at the Finnish Institute of International Affairs. “Logistics and maintenance would be easier. Spare parts and know-how are here in Europe, so the training of Ukrainians would be easier.”

In addition, because several European countries use the vehicles, multiple nations could contribute either the tanks themselves, or spare parts, training capacity or logistics, said Ms. Alander, an expert in northern European security and German foreign policy.
 
Nini tusicho jua kuhusu fedha zetu ...tunajua kila kitu kuwa kodi zetu ni toilet paper ya wahuni wa msoga na waarabu koko wenye wajomba omani kina rostam azizi ...tunajua kuwa kodi zetu zipo kuwa nenepesha wahuni wa sisiemu hakuna kipya
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] Duh kodinia kwenye ubora wake bora niende kujiunga na wagner group tu kuliko kubaki TZ
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom