Mlipuko wa msikiti Pakistan: Watu 100 wathibitishwa kufariki

Messenger RNA

JF-Expert Member
Jul 24, 2022
1,105
3,026
Idadi ya waliouawa imeongezeka hadi watu 100 baada ya shambulio la bomu la kujitoa muhanga msikitini lililowalenga polisi katika mji wa Peshawar nchini Pakistan.

Msikiti huo uko ndani ya eneo lenye ulinzi mkali na uchunguzi unaendelea kuhusu jinsi mshambuliaji huyo aliingia.
Shambulio hilo ambalo ni mojawapo ya matukio ya umwagaji damu zaidi nchini Pakistan kwa miaka mingi, limeacha watu wengi kujeruhiwa.

Madai ya Taliban ya Pakistani kutekeleza shambulio hilo yalikataliwa baadaye na kundi hilo la wanamgambo, ambalo lililaumu kundi lililotengana.

Huko nyuma Taliban wa Pakistani walijizuia kudai baadhi ya mashambulizi dhidi ya misikiti, shule au masoko kwa sababu wanasema wanapigana na vikosi vya usalama na sio watu wa Pakistani, lakini wengi wanatilia shaka ukanaji huo.

Siku ya Jumanne, waokoaji walihangaika kuwachukua waumini waliokuwa wamefukiwa kwenye vifusi, na kuwatoa watu tisa wakiwa hai lakini wakapata nafuu zaidi. Hakuna aliyebaki amenaswa, maafisa wa eneo hilo walisema.

"Magaidi wanataka kujenga hofu kwa kuwalenga wale wanaotekeleza jukumu la kuilinda Pakistan," Waziri Mkuu Shehbaz Sharif alisema. Alitangaza siku ya kitaifa ya maombolezo.

BBC iliona ambulensi zikiingia na kutoka nje ya boma kila baada ya dakika chache.Zaidi ya 50 wamesalia kujeruhiwa, baadhi yao wakiwa mahututi.
 
Hawa wapumbavu bora waendelee kupunguzana wenyewe na kutupunguzia kubanana hapa duniani na kureduce carbon emissions.

Hatuwezi kuwa na watu mpaka leo hii wanaamini jua linazama matopeni kisa kuna bwege mtozeni wao alisemaga miaka elfu kadhaa iliyopita. Wajinga wakubwa hawa
 
Watadai wanampigania mungu wao eti hiyo ndio namna wanavyo mpigania, kumbe afadhali umchague yule Mungu asiyehitaji kupiganiwa na mwanadamu.
 
Back
Top Bottom