Chinyere Igwe ameshikiliwa akituhumiwa kutakatisha fedha hizo ambazo ni Dola 500,000 zilizokutwa kwenye gari lake muda mfupi kabla ya Uchaguzi Mkuu.
Polisi wamesema Igwe ni Mwanasiasa wa upinzani...
Rais wa Urusi Vladimir Putin amekuwa akilihutubia Bunge la la nchi hiyo.
Ametumia mwanzo wa hotuba yake kurudia nadharia ambazo amekuwa akitumia mwaka mzima uliopita: anadai kuwa ni Washington...
Mask mandates now revealed to be a complete waste of time, junk science, fraud and dumb but have politicians leanred from the error of their ways?
Friday, February 24, 2023
Late last month, the...
Rais wa zamani wa Marekani Donald Trump ameahidi kuimaliza vita kati ya Ukraine na Urusi ndani ya saa 24 tu endapo akipewa tena Urais wa Marekani.
Trump ambaye tayari ameonesha nia ya kugombea...
Msemaji Mkuu wa Wizara ya Mambo ya Nje ya China — Wang Wenbin Ametoka hadharani na kuzungumza ukweli wote kuhusu uhusika wa taifa la Marekani katika migogoro na uanzilishi wa vita duniani. Wang...
Marekani yasema wamarekani wanaopinga sera za vita za Washington wameandamana kwenda Ikulu ya Marekani (White House) massa kadhaa baada ya Biden kufika Kyiv wakipinga serikali yao kutengeneza na...
Kwa mujibu wa Taarifa ya Ikulu ya #WhiteHouse, ziara hiyo inayoanza leo Februari 22, 2023 inalenga kuimarisha uhusiano kati ya #Afrika na #Marekani, kuangalia hali ya Usalama wa Chakula na...
Tangu tetemeko la ardhi lenye ukubwa wa 7.8 liikumbe Uturuki na Syria tarehe 6 Februari, na kuua zaidi ya watu 44,000, kumekuwa na mamilioni ya machapisho kwenye Twitter yakishiriki habari, picha...
Prigozhin (C) alidai mwezi uliopita kuuteka mji wa Soledar wa Ukraine kabla ya jeshi la Urusi kutangaza kwamba wanadhibiti eneo hilo
23 Februari 2023
Mkuu wa mamluki wa Urusi Yevgeny Prigozhin...
Hivi Africa kweli tulipatiwa uhuru au ilikuwa ni hadaa? Angalia congo watu wake wanavyouawa kisa nchi za magharibi zinataka kuchota Mali kwa kupitia kwa kagame na mseveni thru M23. Hawa M23...
Tunaweza kuliweka kisiasa na kiushabiki sana kuhusu silaha hatari za nyuklia kama kuongea kujifurahisha.
Silaha za nyuklia ni hatari sana kimatumizi na kama zikitumika zote tusitegemee kuwepo...
Watafyekwa sana hawa.
The head of the Wagner group, Yevgeni Prigozhin, who commands in Ukraine a network of mercenaries allied with the Russian Armed Forces, has intensified his criticism of the...
Rais wa Marekani Joe Biden amekutana na viongozi wa nchi za upande wa mashariki mwa Ulaya, ambao ni wanachama wa jumuiya ya Kujihami ya NATO.
Kwenye mkutano huo wa Jumatano huko Warsaw Poland...
Kugunduliwa kwa chuma kikubwa cha mviringo kinachofanana na mpira wa miguu katika mji wa pwani ya Japan wa Hamamatsu, takriban kilomita 200 kusini magharibi mwa Tokyo, kumezua wimbi kubwa la...
Vikosi vya Israel vimewauwa Wapalestina tisa, wakiwemo watatu waliojihami kwa silaha, raia watatu, na kuwajeruhi wengine zaidi ya 90, katika Ukingo wa Magharibi.
Watu walioshuhudia na madaktari...
Sijajua kwanini Urusi ilikua inamshobokea sana Museveni hadi kutuma viongozi kwake, hata hivyo hali imebadilika, Museveni na Zelensky waingia kwenye makubaliano.
========
President Yoweri...
Supapawa amechanganyikiwa mpaka mizinga inachukuliwa kizembe, tena mizinga ya gharama sana....
R-37M ni babkubwa ya mizinga yenye uwezo mkubwa sana ya kipekee...
Ukrainian forces recovered one of...
Nyaraka za siri zilizovuja kutoka utawala wa Kremlin nchini Urusi zinaonyesha Urusi iko katika mpango mkakati wa kuifanya Belarus sehemu kamili ya Urusi kufikia mwaka 2030.
Nyaraka hizo ambazo...
Taarifa mpya ya Wizara ya Afya imeonesha Maambukizi yamefikia Watu 46,219 kutoka Wilaya zote 29 za Nchi hiyo huku Watu wenye mahitaji maalumu yakiwemo ya Maji Safi wakifikia Milioni 4.
Umoja wa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.