International Forum

News and Stories from rest of the World

On JF:

Mapigano katika mji wa Mashariki mwa Ukraine wa Bakhmut ambayo ni ngome muhimu, yanaongezeka na Rais Volodymyr Zelensky anasema hali huko inazidi kuwa mbaya. Rais huyo anasema wanajeshi wa Urusi...
3 Reactions
9 Replies
2K Views
Wahamiaji takriban 18 wanadaiwa kufariki na wengine kujeruhiwa wakati umati mkubwa ulipojaribu kuvuka mpaka kuingia eneo la Melilla, Uhispania Kaskazini, baadhi ya waliofariki walikuwa wanadaiwa...
2 Reactions
44 Replies
4K Views
Kiongozi wa Kanisa Katoliki Duniani, Papa Francis amerejea wito wake wa kutaka kusitishwa kile alichokiita vita vya "kipuuzi na kikatili" nchini Ukraine. Wito huo ameutoa Jumatano mjini...
8 Reactions
47 Replies
3K Views
Ziara hiyo ya Rais Emmanuel Macron imeanzia Nchini Gabon na kufanya mazungumzo na Rais Ali Bongo na baadaye ataelekea Angola, Congo-Brazzaville na DRCongo ambako tayari kumeibuka vurugu za...
1 Reactions
8 Replies
2K Views
Aliyekuwa Mgombea Urais kwa Chama cha Labour Party, Peter Obi ameahidi kupinga matokeo yaliyompa ushindi Rais Mteule, Bola Tinubu wa Chama Tawala cha APC. Obi alishika nafasi ya 3 amedai matokeo...
3 Reactions
4 Replies
926 Views
Chama tawala 37% Chama pinzani cha kwanza 29% Chama pinzani cha pili 25% Jumla ya upinzani 54% Hii inatoa funzo gani kwa upinzani nchini?
2 Reactions
31 Replies
1K Views
Miaka ya hivi karibuni wafuasi wa dini ya Kihindu huko India wamezidi kuchukua mrengo mkali wa kidini kitaifa dhidi ya wafuasi wa dini nyingine na wakosoaji wa dini yao. Wafuatiliaji wa India...
1 Reactions
6 Replies
936 Views
Tangu juzi Rais Zelensky amesikika akisema hali kwenye mji aliosema hautowaponyoka hata siku moja kuwa ni mbaya na inadorora kwa upande wao kila saa. Pamoja na malalamiko hayo lakini alikuwa...
21 Reactions
68 Replies
5K Views
Hivi karibuni, puto moja la China ambalo lilifika Marekani kwa bahati mbaya lilisababisha wasiwasi mkubwa kuhusu “tishio la China” nchini Marekani. Mwishowe, jeshi la Marekani liliangusha puto...
5 Reactions
10 Replies
1K Views
Yani hapa Tshisekedi hana ujanja! na akiendelea kuwa na kicha ngumu jamaa wanapewa eneo lao, maana wana mzidi siasa mala mia.
1 Reactions
0 Replies
355 Views
Huu sasa ni mwaka mzima yaani siku 360. Rais Putin ameweza kukabiliana na kibaraka wa Marekani na wenzao wa NATO. Rais wa Ukrane inabidi awaombe radhi wananchi wa nchi yake kwani ukibaraka wake...
22 Reactions
215 Replies
9K Views
Mashirika ya Kiraia yameandamana nje ya Ubalozi wa Ufaransa, kupinga ziara ya Rais Emmanuel Macron ambayo imepangwa kufanyika baadaye wiki hii Waandamanaji wanaishutumu Ufaransa kwa kuegemea...
1 Reactions
6 Replies
1K Views
Tuesday, February 28, 2023 A new, mind-blowing research about the Covid so-called “vaccinations” has been published recently in medical journals. Sadly, mRNA “technology,” not Covid, is...
2 Reactions
2 Replies
900 Views
JF SUMMARY Kupitia Sheria mpya iliyoanza kutumika Nchini humo na Wales ambako awali Watu walikuwa wakioana wakiwa na miaka 16 au 17 ikiwa watapata kibali cha Wazazi. Ndoa ilikuwa haramu endapo...
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Hawa Wahindi wa india ambao ni waamini wa dini ya Kihindu wanawachukia sana Waislam wanakwambia wangeweza wangewateketeza kwa bomu kama lile la USA kwenda Japan. Hii chuki inatokana na nini...
20 Reactions
211 Replies
18K Views
At least 32 people were killed and more than 85 injured when a passenger train carrying more than 350 people collided with a freight train on Tuesday evening in Central #Greece, the Greek Fire...
0 Reactions
1 Replies
391 Views
Wakuu habari za muda, Nimeshangazwa sana kuona sasa kamanda mkuu wa majeshi ya Urusi sasa anapokea amri kutoka kwa kamanda wa kikundi kidogo cha Wagner Group amacho sio jeshi rasmi ni kikundi...
11 Reactions
64 Replies
6K Views
Kwa muendekezo wa hivi vita asilimia kubwa ya wataalamu wa hizo mazana matukufu ni Watakatifu Wamerekani wanaobonyeza. Remote control kwenye mazana yao ya high technology. Baada ya UKRAINE kupata...
13 Reactions
62 Replies
4K Views
Baada ya kuendelea kupokea kichapo heavy kutoka kwa Urusi sasa Ukraine wameamua kutimua kamanda wao wa Jeshi! Kwangu naona kama hii ni dalili mambo hayaendi sawa kwa hawa vibaraka wa West!! NB...
10 Reactions
38 Replies
2K Views
Monday, February 27, 2023 Commenting on the Wuhan coronavirus (Covid-19) “vaccine” experiment this week, former National Institute of Allergy and Infectious Diseases (NIAID) head Tony Fauci...
1 Reactions
1 Replies
628 Views
Back
Top Bottom