China bega kwa bega na Russia

China bega kwa bega na Russia

Termux

JF-Expert Member
Joined
Oct 7, 2017
Posts
433
Reaction score
1,067
Msemaji Mkuu wa Wizara ya Mambo ya Nje ya China — Wang Wenbin Ametoka hadharani na kuzungumza ukweli wote kuhusu uhusika wa taifa la Marekani katika migogoro na uanzilishi wa vita duniani. Wang Wenbin amesema

Ni kweli kabisa.

Tatizo sio Marekani. Tatizo ni jamii za binadamu huwa haziwezi kukaa bila mbabe. Ni lazima awepo mbabe wa kutawala wengine.

Akianguka Marekani kutakuwa na wakorofi wengine wengi wataibuka kugombea nafasi ya mbabe wa dunia na mchokonozi wa dunia ambayo itakuwa imeachwa wazi na anguko la Marekani.

Binadamu ndo tulivyo. Wema wetu ni katika kuhakikisha tunakula zaidi na zaidi. Kuhakikisha tunatajirika zaid na zaidi.
 
Upuuzi
 
Msemaji Mkuu wa Wizara ya Mambo ya Nje ya China — Wang Wenbin Ametoka hadharani na kuzungumza ukweli wote kuhusu uhusika wa taifa la Marekani katika migogoro na uanzilishi wa vita duniani. Wang Wenbin amesema

Mbooona kama ulikuwa unawahi kuwa wa kwanza kuipost!?
Ingekuwa vyema ukaisikiliza wewe kwanza kisha ukatuandikia hicho alichokisema.
mbona umeleta taarifa muhimu kwa mtindo wa umbeya! Hebu funguka vizur na zaid bhana
 
Back
Top Bottom